Upgrade to Pro

“Kocha ni sehemu ya timu na timu ndio inayosajili mchezaji , lakini pia kama timu mnapata ripoti mnakuwa mnajua kabisa ni wachezaji gani mnawataka na wachezaji gani wataondoka”

“Anayetafuta wachezqji sio kocha ni scout , scout ndio ambaye anatafuta wachezaji wanaokidhi mahitaji yako ndio maana unaona Simba kuna MVP wa Ivory Coast “ - Imani Kajula, Mtendaji Mkuu wa wa klabu ya Simba SC.

#PapillonTz
“Kocha ni sehemu ya timu na timu ndio inayosajili mchezaji , lakini pia kama timu mnapata ripoti mnakuwa mnajua kabisa ni wachezaji gani mnawataka na wachezaji gani wataondoka” “Anayetafuta wachezqji sio kocha ni scout , scout ndio ambaye anatafuta wachezaji wanaokidhi mahitaji yako ndio maana unaona Simba kuna MVP wa Ivory Coast “ - Imani Kajula, Mtendaji Mkuu wa wa klabu ya Simba SC. #PapillonTz
·153 Views