Upgrade to Pro

#DoneDeal Tumefikia makubaliano na klabu ya @mcalger.officiel ya Algeria kumuuza kiungo mshambuliaji wetu, @kipre_junior10.

Kipre Jr, tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo baada ya kufaulu vipimo vya afya.

Azam FC tunamshukuru @kipre_junior10, kwa mchango wake ndani ya klabu kwa misimu miwili aliyokaa nasi na tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka.

Adieu @kipre_junior10!

#weareazamfc #timuborabidhaabora

#cktvtanzania
#DoneDeal Tumefikia makubaliano na klabu ya @mcalger.officiel ya Algeria kumuuza kiungo mshambuliaji wetu, @kipre_junior10. Kipre Jr, tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo baada ya kufaulu vipimo vya afya. Azam FC tunamshukuru @kipre_junior10, kwa mchango wake ndani ya klabu kwa misimu miwili aliyokaa nasi na tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka. Adieu @kipre_junior10! 🙏🙏🙏 #weareazamfc #timuborabidhaabora #cktvtanzania
Like
2
·465 Views