"Diamond Platnumz hakuwahi kuwa mshikaji wangu isipokuwa alikuwa akiniita kaka kipindi nakutana nae, Queen Darleen ndie alinikutanisha nae na kumtambulisha kwangu. Pia naweza kusema mimi ndio nilitoa ruhusa kwa Bob Junior ampe nafasi ya kurekodi kwenye studio za Sharobaro Records na kipindi hicho Bob Junior na mimi tulikuwa na kabineti yetu
Bob Junior alikuwa hawezi kufanya kazi na mtu studio bila kutoa ruhusa yangu kutokana na utaratibu tuliojiwekea pale studio lakini pia Diamond Platnumz kuwa juu kimuziki hainiumi wala kunikera isipokuwa l'm so proud Kwa kazi nzuri anazofanya" - Alikiba, Msanii wa muziki wa Tanzania via Crown FM.

·286 Views