" Kabla ya mimi kusajili Simba nilipata ofa kutoka Yanga ila kwangu mimi nilichagua kuja kucheza Simba,nilikua naifahamu Simba pekee yake Tanzania tofauti na timu zingine, Yanga nawafahamu ila sio sana Kama Simba SC, mchezaji wa Yanga niliyekuwa namfahamu ni Aziz Ki, Azam siwafahamu"
Leonel Ateba mbele ya waandishi wa habari kwenye Simba Media Day.
#paulswai

🗣️ Leonel Ateba mbele ya waandishi wa habari kwenye Simba Media Day.
#paulswai
·444 Views