HIZI HAPA MECHI TATU ZA SIMBA ZIJAZO ZA NBC PRIMER LEAGUE
Kulingana na maboresho ya ratiba, Simba atacheza mechi tatu za ligi kuu katika kipindi cha wiki moja kabla ya mapumziko ya kalenda ya FIFA.
Baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, kikosi cha kocha Fadlu Davids kitaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Septemba 29 na Oktoba 04 Simba itakuwa Dar es salaam kuikabili Coastal Union katika mchezo utakaopigwa KMC Complex.
#paulswai

HIZI HAPA MECHI TATU ZA SIMBA ZIJAZO ZA NBC PRIMER LEAGUE ⛳
🔗 Kulingana na maboresho ya ratiba, Simba atacheza mechi tatu za ligi kuu katika kipindi cha wiki moja kabla ya mapumziko ya kalenda ya FIFA.
Baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, kikosi cha kocha Fadlu Davids kitaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Septemba 29 na Oktoba 04 Simba itakuwa Dar es salaam kuikabili Coastal Union katika mchezo utakaopigwa KMC Complex.
#paulswai
![Like](https://socialpop.online/content/uploads/photos/2024/04/socialpop_2100e9799e24bf10897fb46fe676a97d.png)