SOCIAL POP NETWORK
Socialpop ni nini? Huu ni mtandao wa kijamii ambao unawakutanisha watu kutoka sehemu mbali mbali kwa kubadilishana mawazo na Kujuana zaidi. FAIDA ZA SOCIALPOP Zipo faida nyingi za Socialpop •Kupata point kwenye maudhui au shughuli unazozifanya kwenye mtandao huu, Kupost, Ku like na Ku comment  lakini pia ku view maudhui ya watu wengine unajitengenezea Pointi ambazo unaweza...
Like
Love
7
2 Comments 0 Shares 2K Views