Upgrade to Pro

Timu ya taifa ya Uganda imefanikiwa kufuzu AFCON 2025 kwa mara ya tisa (9) katika historia ya Timu hiyo. Uganda imefikia hatua hiyo baada ya Timu ya Congo Brazaville kufungwa mabao 3-2 na Timu ya Taifa ya Sudan Kusini kisha kuondoa kabisa uwezekano wa Congo kufuzu.

Ikumbukwe kwamba kwenye kundi la Uganda, Timu hiyo imefuzu na pamoja na Timu ya Taifa ya Afrika Kusini huku ikiwa na michezo miwili mkononi.

FT': Sudan Kusini 3-2 Congo Brazzaville
FT' : Burundi 0-0 Malawi

#PapillonTz
Timu ya taifa ya Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ imefanikiwa kufuzu AFCON 2025 kwa mara ya tisa (9) katika historia ya Timu hiyo. Uganda imefikia hatua hiyo baada ya Timu ya Congo Brazaville πŸ‡¨πŸ‡¬ kufungwa mabao 3-2 na Timu ya Taifa ya Sudan Kusini πŸ‡ΈπŸ‡Έ kisha kuondoa kabisa uwezekano wa Congo kufuzu. Ikumbukwe kwamba kwenye kundi la Uganda, Timu hiyo imefuzu na pamoja na Timu ya Taifa ya Afrika Kusini huku ikiwa na michezo miwili mkononi. FT': Sudan Kusini 3-2 Congo Brazzaville FT' : Burundi 0-0 Malawi #PapillonTz
Β·154 Views