Upgrade to Pro

Pichani ni mwanamama, muuguzi (nurse) mstaafu mwenye umri wa miaka 65, alizaliwa tarehe 22 Januari mwaka 1954.

Ni mama wa watoto sita, kati ya hao wawili ni madaktari, wawili wengine walimu, mmoja ni ofisa wa polisi na mwingine ni mfanyabiashara mkubwa. Mwanamama huyo ni kutoka Los Angeles, Marekani. Licha ya umri wa miaka 65 anaonekana kama binti wa miaka 25. Picha unayoiona ilipigwa tarehe 22 Januari 2019 alipoadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Sema jambo hapo.
Pichani ni mwanamama, muuguzi (nurse) mstaafu mwenye umri wa miaka 65, alizaliwa tarehe 22 Januari mwaka 1954. Ni mama wa watoto sita, kati ya hao wawili ni madaktari, wawili wengine walimu, mmoja ni ofisa wa polisi na mwingine ni mfanyabiashara mkubwa. Mwanamama huyo ni kutoka Los Angeles, Marekani. Licha ya umri wa miaka 65 anaonekana kama binti wa miaka 25. Picha unayoiona ilipigwa tarehe 22 Januari 2019 alipoadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Sema jambo hapo.
Like
1
·26 Ansichten