Upgrade to Pro

"Kwa niaba ya Wachezaji wenzangu kwa upande wetu tuna lengo moja na lengo hilo ni kuendelea kwenye hatua inayofuata. Ili kufanikisha hilo, tunapaswa kucheza kwa bidii zaidi kesho hili ni jukumu letu na tutafanya kila kitu kuhakikisha tunafanikiwa" Aziz Ki

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
"Kwa niaba ya Wachezaji wenzangu kwa upande wetu tuna lengo moja na lengo hilo ni kuendelea kwenye hatua inayofuata. Ili kufanikisha hilo, tunapaswa kucheza kwa bidii zaidi kesho hili ni jukumu letu na tutafanya kila kitu kuhakikisha tunafanikiwa" Aziz Ki #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
2
1 Comments ·66 Views