Atualizar para Plus

"The Unforgetable THROW BACK
Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa

NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa
Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
"The Unforgetable THROW BACK šŸ”„šŸ”„šŸ”„ Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa šŸ‘‘ NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawašŸ’ŖšŸ’ŖšŸ’Ŗ Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
Like
1
Ā·38 VisualizaƧƵes