"Simba walitumia kanuni ya 17 (45) kuto kuja uwanjani ila hiyo kanuni ina muongozo wake ambao uliwataka Simba kutoa faarifa ya kutumia uwanja.
Kwa kigezo hicho hakukuwa na sababu ya Simba kutoleta timu uwanjani
Leo nimetazama kiwango cha Simba,wachezaji walikuwa sharp,walikuwa na utashi na uwezo wa kufanya mambo yatokee,nahisi wangeweza kushinda hata goli 10.
Nyie msimu huu Simba wana timu na sielewi kwanini waliogopa kuleta timu uwanjani siku ya tarehe 8
Sielewi tarehe 8 kwanini hawakuleta timu uwanjani,sielewi,sielewi" - Hans Rafael, Mchambuzi.
FT': Simba SC 6-0 Dodoma Jiji

Kwa kigezo hicho hakukuwa na sababu ya Simba kutoleta timu uwanjani✍️
Leo nimetazama kiwango cha Simba,wachezaji walikuwa sharp,walikuwa na utashi na uwezo wa kufanya mambo yatokee,nahisi wangeweza kushinda hata goli 10.
Nyie msimu huu Simba wana timu na sielewi kwanini waliogopa kuleta timu uwanjani siku ya tarehe 8🙌
Sielewi tarehe 8 kwanini hawakuleta timu uwanjani,sielewi,sielewi🖐️" - Hans Rafael, Mchambuzi.
FT': Simba SC 6-0 Dodoma Jiji
0 Reacties
·0 aandelen
·46 Views