(9/21) Kanuni za msamaha.
Kama tulivyoona awali kuwa msamaha si jambo kimwili bali ni jambo la kiroho.
*Na kila jambo la kiroho lazima likupe matokeo yaweza kuwa chanya au hasi ila lazima upate matokeo .*
Aina ya matokeo yanachagizwa na aina ya kanuni uliyo chagua kuifuata ,,,
Kiufupi msamaha wowote ule lazima uambatane na kanuni za msamaha .
*Ukijua kanuni za msamaha haitakupa shida kuwa uliye msamehe yeye ajakusamehe.*
1.msamaha ni jambo la kibinafsi siyo jambo la kundi .
Ko hatupaswi endeshwa na makundi tunayo ya fahamu bali tunapaswa kujua tu faida ya msamaha na kuuishi huo msamaha.
Kolosai3:12-13
*Nyinyi ni watu wake Mungu; yeye aliwapenda na kuwateua. Kwa hiyo, basi, vaeni moyo wa huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu. Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe nyinyi*
2.jizoeze kusamehe hata kama ujaombwa msamaha .
Matendo ya Mitume 7:59-60
[59]Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu.
[60] *Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii* . Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.
*Stephano aliwaombea heri walio kuwa wanampiga lakini yeye aliona njia salama ni kuwaombea neemea kwa huyu Mungu kwa kuwa tu alijua msamaha ni tabia ya kuingu.*
3.Jizoeze kusamehe kila wakati pasipo kuhesabu mabaya.
Jifunze kuwa mtu mwenye moyo wa toba mara zote kwa kusamehe na kusamehewa .
Mathayo 18:21,23
[21]Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?
[23]Kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kufanya hesabu na watumwa wake.
*Ukijengwa na moyo wa msahama unakuwa na moyo safi na lazima ujengwe kwa mazingiera ambayo Mungu anauona moyo wako kama moyo safi usio na mawaa.*
4.Msamaha ni tabia ya kiungu.
Bwana anapendezwa na moyo wa toba kwa kuwa yeye ni bwana wa msamahana .
Moyo uliojaa toba ni rahisi kusamehe wengine .kumbe ili mungu atusamehe makosa yetu lazima na sisi tuwasamehe wengine .
*Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyo wasamehe walo tukosea .*
Nazungumza na majasusi wa mbinguni lazima tuwe na moyo wa msamaha katika kuzalisha tanzania ya ndoto ya Mungu wetu.
*Tanzania ni lango la uamsho lenye mamasihi wa bwana walio itwa kwa jina la mbingu sasa lazima tuishi kwa kujua kuwa tunapaswa kusamehe sana na sana.*
Ahsante sana naamini kuna kitu kitakujenga katika kuusogelea mwili wa kristo .
Sylvester Gentleman Mwakabende (build new eden)
#build new eden
#restore Men position
.