Mtu wa MUNGU baba @AskofuDickson kabigumila alisema katika nabii zake halisema kanisa litashambuliwa sana na kila mtu anaona tunduma katekista alishambuliwa leo nasikia kuwa mtu wa Mungu mch Steve Jacob naye ameshambuliwa na kutupwa katika sehemu moja wapo huko kilimanjaro .

Na alisema kama tutampima kwa nabii hizi kama ni mtu wa Mungu sasa kila jicho linaona kuwa hakuna namna tunaweza kataa kwamba yeye si mtu wa Mungu.

Ufunuo 6:10. Basi, wakalia kwa sauti kubwa: “Ee Bwana, uliye mtakatifu na mwaminifu, mpaka lini utakawia kulipiza kisasi kwa wakazi wote wa dunia kwa ajili ya kuuawa kwetu???

Tutasikia wengi inawezekana ila moja kubwa muhimu kujua hasira ya mungu inakwenda kushuka Tanzania na hakuna mtu ambaye ahataweza kuizuia hasira hii .

Ole kwa nchi !!siyo sifa njema kama taifa lakini bwana bado anasema anaendelea kukusanya hasira yake na kisha kila mmoja ataona neno hili MENE MENE TEKELI NA PERESI .
Kwani rohoni lishaandikwa na kutiwa muhuri since april kuwa hakuna namna ambayo haya hayawezi kutimia.

Ufunuo 6:11
Wakapewa kila mmoja vazi refu jeupe, wakaambiwa wazidi kusubiri kwa muda mfupi, mpaka itakapotimia idadi ya watumishi wenzao na ndugu ambao watauawa kama wao wenyewe walivyouawa.

Ndicho kinacho subiliwa mbinguni hilo tu si lingine lolote ni kutimia kwa idadi ya watu hao tu.

Unaweza leo ukaona kama kawaida na wewe halikugusi lakini kama wewe ni wakili wa Kristo kipindi hiki ni kipindi cha maombi sana sana .

Kipekee namshukuru Mungu kwa nabii wake juu ya kuizaa Tanzania mpya baba Askofu Kabigumila yeye ameamua kusimama mstali wa mbele kutuongoza siku zingine 50 Kwa ajiri yakuendelea kuivusha nchi hii .

#build new eden
#restore men position
Mtu wa MUNGU baba @AskofuDickson kabigumila alisema katika nabii zake halisema kanisa litashambuliwa sana na kila mtu anaona tunduma katekista alishambuliwa leo nasikia kuwa mtu wa Mungu mch Steve Jacob naye ameshambuliwa na kutupwa katika sehemu moja wapo huko kilimanjaro . Na alisema kama tutampima kwa nabii hizi kama ni mtu wa Mungu sasa kila jicho linaona kuwa hakuna namna tunaweza kataa kwamba yeye si mtu wa Mungu. Ufunuo 6:10. Basi, wakalia kwa sauti kubwa: “Ee Bwana, uliye mtakatifu na mwaminifu, mpaka lini utakawia kulipiza kisasi kwa wakazi wote wa dunia kwa ajili ya kuuawa kwetu??? Tutasikia wengi inawezekana ila moja kubwa muhimu kujua hasira ya mungu inakwenda kushuka Tanzania na hakuna mtu ambaye ahataweza kuizuia hasira hii . Ole kwa nchi !!siyo sifa njema kama taifa lakini bwana bado anasema anaendelea kukusanya hasira yake na kisha kila mmoja ataona neno hili MENE MENE TEKELI NA PERESI . Kwani rohoni lishaandikwa na kutiwa muhuri since april kuwa hakuna namna ambayo haya hayawezi kutimia. Ufunuo 6:11 Wakapewa kila mmoja vazi refu jeupe, wakaambiwa wazidi kusubiri kwa muda mfupi, mpaka itakapotimia idadi ya watumishi wenzao na ndugu ambao watauawa kama wao wenyewe walivyouawa. Ndicho kinacho subiliwa mbinguni hilo tu si lingine lolote ni kutimia kwa idadi ya watu hao tu. Unaweza leo ukaona kama kawaida na wewe halikugusi lakini kama wewe ni wakili wa Kristo kipindi hiki ni kipindi cha maombi sana sana . Kipekee namshukuru Mungu kwa nabii wake juu ya kuizaa Tanzania mpya baba Askofu Kabigumila yeye ameamua kusimama mstali wa mbele kutuongoza siku zingine 50 Kwa ajiri yakuendelea kuivusha nchi hii . #build new eden #restore men position
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·131 Views