RASMI West Ham wamethibitisha kumsajili Kyle Walker-Peters kwa mkataba wa miaka mitatu. ✍🏼

Beki huyo wa pembeni amejiunga kama mchezaji huru baada ya kuondoka Southampton mwishoni mwa msimu uliopita kufuatia kushuka daraja kutoka Premier League.

#SportsElite
🚨 RASMI ✅ West Ham wamethibitisha kumsajili Kyle Walker-Peters kwa mkataba wa miaka mitatu. ✍🏼🏴 Beki huyo wa pembeni amejiunga kama mchezaji huru baada ya kuondoka Southampton mwishoni mwa msimu uliopita kufuatia kushuka daraja kutoka Premier League. #SportsElite
0 Kommentare ·0 Anteile ·31 Ansichten