Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika.
Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho.
#SportsElite

0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·65 Views