Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam....
Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda....
Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF...
#SportsElite

🚨🚨Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam....
Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda....
Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao🤣 kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF...
#SportsElite
0 Commenti
·0 condivisioni
·16 Views