• Need a reliable Plumber in Eastern Suburbs? Drip To Dry Plumbing offers dependable, high-quality plumbing services with 24/7 availability and no call-out fee across Bondi, Bronte, Coogee, Maroubra, Vaucluse, Rose Bay, and surrounding areas. Our licensed professionals deliver fast, clean, and long-lasting solutions for all residential and commercial plumbing needs. For more info - https://driptodryplumbing.com.au/
    Need a reliable Plumber in Eastern Suburbs? Drip To Dry Plumbing offers dependable, high-quality plumbing services with 24/7 availability and no call-out fee across Bondi, Bronte, Coogee, Maroubra, Vaucluse, Rose Bay, and surrounding areas. Our licensed professionals deliver fast, clean, and long-lasting solutions for all residential and commercial plumbing needs. For more info - https://driptodryplumbing.com.au/
    0 Commenti 0 condivisioni 497 Views
  • Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG).

    Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza.

    Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa?

    FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE
    Ureno 2-2 Uhispania (P 5-3)
    Mendes
    Ronaldo

    Zubimendi
    Oyarzabal

    #UCL
    Barcelona 1-2 PSG
    19' Torres
    38' Mayulu( Mendes)
    90' Ramos ( Hakimi)


    #SportsElite
    Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG). Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza. ✍️ Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa? FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE Ureno 🇵🇹 2-2 🇪🇸 Uhispania (P 5-3) ⚽ Mendes ⚽ Ronaldo ⚽ Zubimendi ⚽ Oyarzabal #UCL Barcelona 🇪🇸 1-2 🇫🇷 PSG ⚽ 19' Torres ⚽ 38' Mayulu(🅰️ Mendes) ⚽ 90' Ramos (🅰️ Hakimi) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Manchester United Yavunja Rekodi ya Mapato ya £666.5m, Licha ya Kukosa Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Manchester United imetangaza mapato ya rekodi ya £666.5 milioni kwa mwaka wa fedha 2025, licha ya kutoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UCL). Hata hivyo, klabu hiyo imerekodi hasara ya uendeshaji ya £18.4 milioni, ikilinganishwa na hasara kubwa zaidi ya £69.3 milioni mwaka 2024.

    Kiasi cha £36.6 milioni kilitumiwa kama gharama maalum, ikiwemo kuondoka kwa aliyekuwa meneja Erik ten Hag pamoja na benchi lake la ufundi.

    United pia imeweka historia kwa kupata mapato ya juu zaidi ya siku za mechi, yaliyoongezeka kwa 17%, kutokana na mauzo makubwa ya tiketi na uanachama. Aidha, klabu ilipata mapato ya juu zaidi ya kibiashara, yaliyoongezeka kwa 10%, kutokana na ushirikiano mpya wa jezi kuu na kampuni ya teknolojia Snapdragon.

    Kwa mwaka wa fedha 2026, klabu hiyo imeweka makadirio ya mapato kati ya £640 milioni na £660 milioni, huku EBITDA iliyorekebishwa ikitarajiwa kuwa kati ya £180 milioni na £200 milioni.

    Afisa Mtendaji Mkuu, Omar Berrada, alisema kuwa klabu inaendelea na mikakati ya muda mrefu ndani na nje ya uwanja:

    > "Tunafurahishwa na wachezaji wapya tulioongeza kwenye vikosi vyetu vya wanaume na wanawake. Nje ya uwanja, tunapitia mabadiliko ya kiuongozi na kimuundo, na sasa tuna taasisi iliyo tayari kufanikisha malengo yetu. Kupunguza gharama kutatupa nafasi kubwa ya kuboresha matokeo ya kifedha, jambo litakalosaidia kipaumbele chetu kikuu — mafaanikio uwanjani."

    Manchester United sasa ina matumaini kwamba mafanikio ya kifedha yatasaidia kurejesha ubingwa na heshima uwanjani.

    #SportsElite
    ⚽ Manchester United Yavunja Rekodi ya Mapato ya £666.5m, Licha ya Kukosa Ligi ya Mabingwa Ulaya Manchester United imetangaza mapato ya rekodi ya £666.5 milioni kwa mwaka wa fedha 2025, licha ya kutoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UCL). Hata hivyo, klabu hiyo imerekodi hasara ya uendeshaji ya £18.4 milioni, ikilinganishwa na hasara kubwa zaidi ya £69.3 milioni mwaka 2024. Kiasi cha £36.6 milioni kilitumiwa kama gharama maalum, ikiwemo kuondoka kwa aliyekuwa meneja Erik ten Hag pamoja na benchi lake la ufundi. United pia imeweka historia kwa kupata mapato ya juu zaidi ya siku za mechi, yaliyoongezeka kwa 17%, kutokana na mauzo makubwa ya tiketi na uanachama. Aidha, klabu ilipata mapato ya juu zaidi ya kibiashara, yaliyoongezeka kwa 10%, kutokana na ushirikiano mpya wa jezi kuu na kampuni ya teknolojia Snapdragon. Kwa mwaka wa fedha 2026, klabu hiyo imeweka makadirio ya mapato kati ya £640 milioni na £660 milioni, huku EBITDA iliyorekebishwa ikitarajiwa kuwa kati ya £180 milioni na £200 milioni. Afisa Mtendaji Mkuu, Omar Berrada, alisema kuwa klabu inaendelea na mikakati ya muda mrefu ndani na nje ya uwanja: > "Tunafurahishwa na wachezaji wapya tulioongeza kwenye vikosi vyetu vya wanaume na wanawake. Nje ya uwanja, tunapitia mabadiliko ya kiuongozi na kimuundo, na sasa tuna taasisi iliyo tayari kufanikisha malengo yetu. Kupunguza gharama kutatupa nafasi kubwa ya kuboresha matokeo ya kifedha, jambo litakalosaidia kipaumbele chetu kikuu — mafaanikio uwanjani." 📌 Manchester United sasa ina matumaini kwamba mafanikio ya kifedha yatasaidia kurejesha ubingwa na heshima uwanjani. #SportsElite
    Like
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • UCL
    UCL
    0 Commenti 0 condivisioni 427 Views
  • HIZI NI PICHA TU MWANANGU 2

    Hizi ni Picha Tu mwanangu Picha Ya kwanza inatoka Katika Maktaba Ya Philippe Desmazes.

    Na sio picha iliyotoka kwa Lukamba wa Zamani Wa Nasibu Nyange La hasha

    Ni Ndani Ndani picha za Madrid Wanamtambulisha marcelo Aliyetoka Nchini kwao Fluminense.

    Akiwa na Miaka 15 pekee kwenye soka la kukuza vijana ndani ya klabu ya Madrid.

    Usajili Wa kijana Mdogo Kutoka Kule Rio De Janeiro Nchini Brazil.

    Picha Nyingine Ya Pili Kutoka Katika Maktaba Ya Simon stackpole.

    Marcelo Viera Da silva Junior Alicheza Mechi Ya Kwanza Ndani Ya Uzi Wa Madrid mwaka 2007 Tarehe 7 January.

    Siku Iliyomtambulisha Marcelo Duniani Katika Soka.

    Anacheza mechi Dhidi Ya Deportivo.
    Akitokea Bench Ndani Ya dakika 80.

    Hizi ni picha 2 Mwanangu picha mojawapo za Kumbukumbu kwake marcelo ndani ya madrid.

    Marcelo Ameshinda Makombe 22 Ndani Ya Uzi Madrid.

    4x UCL
    5x La Liga
    2x Copa del Rey
    4x Supercopa
    4x Club World Cup
    3x UEFA Super Cup

    OYA HIZI NI PICHA TU MWANANGU
    #neliudcosiah


    HIZI NI PICHA TU MWANANGU 2 ✍️ Hizi ni Picha Tu mwanangu Picha Ya kwanza inatoka Katika Maktaba Ya Philippe Desmazes. Na sio picha iliyotoka kwa Lukamba wa Zamani Wa Nasibu Nyange La hasha Ni Ndani Ndani picha za Madrid Wanamtambulisha marcelo Aliyetoka Nchini kwao Fluminense. Akiwa na Miaka 15 pekee kwenye soka la kukuza vijana ndani ya klabu ya Madrid. Usajili Wa kijana Mdogo Kutoka Kule Rio De Janeiro Nchini Brazil. Picha Nyingine Ya Pili Kutoka Katika Maktaba Ya Simon stackpole. Marcelo Viera Da silva Junior Alicheza Mechi Ya Kwanza Ndani Ya Uzi Wa Madrid mwaka 2007 Tarehe 7 January. Siku Iliyomtambulisha Marcelo Duniani Katika Soka. Anacheza mechi Dhidi Ya Deportivo. Akitokea Bench Ndani Ya dakika 80. Hizi ni picha 2 Mwanangu picha mojawapo za Kumbukumbu kwake marcelo ndani ya madrid. Marcelo Ameshinda Makombe 22 Ndani Ya Uzi Madrid. 🏆4x UCL 🏆5x La Liga 🏆2x Copa del Rey 🏆4x Supercopa 🏆4x Club World Cup 🏆3x UEFA Super Cup OYA HIZI NI PICHA TU MWANANGU✍️ #neliudcosiah
    Like
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • PART 2: Aina ya "human cloning" (kutengeneza copy ya mtu/mtu fake)
    kama nilivyo eleza katika makala iliyo pita kuwa kuna watu ambao ni copy/fake,niki manisha wametengenezwa baada ya mtu halisi/husika kufa ili kuziba pengo la yule alie kufa. REPRODUCTIVE HUMAN CLONING.
    Hii ni aina nyingine ya clone/copy ya mtu,ambapo katika aina hii huchukuliwa nuclear kutoka kwenye cell ya mtu husika kisha ile nuclear wanaenda kuipandikiza katika yai la mwanamke ambapo lile yai pia hutolewa nuclear yake ,na kuwekwa hiyo ya kupandikiza.

    Wakisha fanya hivyo ndipo bada ya kipind fulani lile yai lita kuwa na kujitengeneza kuwa embryo,ambapo sasa iyo embroy/kijusi ikisha jitengeneza ,wana ihamisha na kuipeleka kwenye tanki ambazo ndani yake zimetengenezwa katika mfumo wa mfuko wa uzai wa mwanamke(placenta),kisha kuikuza ile embryo kupitia hatua zote za ukuaji wa mtoto ndani ya placenta ambapo ata pita hatua zote kutoka kichanga,mtoto,mpaka kufika stage ya yule mtu husika/ambaye amefanyiwa clone hapo sasa atakuwa tayari kasha tengenezwa upya ..lakini hii aina ya cloning ni ngumu sana kwasababu ina hitaji mda mpaka kukamilika ,kwasababu huyo clone anakuwa anapitia stage zote ambazo binadamu hupitia ..tofauti na human replical cloning ambayo huchukua mdamchache sana ..na hii reproductive ya kwanza ili fanyika mwaka 2000 lakin inasemekana hawakufanikiwa kutengeneza uyo mtu..ndipo badae umoja wa mataifa( UN) ulipo piga marufuku ...lakini vikundi vya siri kama illuminant/freemason viliendelea na vina zalisha watu wao kwa siri .. ROBOTOID CLONING..
    hii ni aina nyingine ya kutengeneza clone/copy ya binadamu,ambayo kiuhalisia huyo clone/copy anakuwa nikama roboti tu yani hana uhai, pia hawezi kuwa na sifa zote zakuwa binadamu kama pumzi,roho(soul),n.k.Kwasababu anakuwa ni wakutengenezwa kupitia machines(mfano robot sofia kama mna mfahamu),na hii aina ya clone(robotoid clone) hii imeruhusiwa/halalishwa na umoja wa mataifa kwasababu sio haramu.. zipo pia move nyingi ambaozo zimeelezea mfano wa jins robotoid clone inavyo kuwepo kama vile PREDATOR ni movies ya Anord Shawazniger ambapo palikuwa na anord wa wili mmoja ni halisi ,mwingine alikuwa kama robot hivi Nazani mpo mnao ikumbuka hiyo move.. ..
    PART 2: Aina ya "human cloning" (kutengeneza copy ya mtu/mtu fake) 👉kama nilivyo eleza katika makala iliyo pita kuwa kuna watu ambao ni copy/fake,niki manisha wametengenezwa baada ya mtu halisi/husika kufa ili kuziba pengo la yule alie kufa. REPRODUCTIVE HUMAN CLONING. Hii ni aina nyingine ya clone/copy ya mtu,ambapo katika aina hii huchukuliwa nuclear kutoka kwenye cell ya mtu husika kisha ile nuclear wanaenda kuipandikiza katika yai la mwanamke ambapo lile yai pia hutolewa nuclear yake ,na kuwekwa hiyo ya kupandikiza. Wakisha fanya hivyo ndipo bada ya kipind fulani lile yai lita kuwa na kujitengeneza kuwa embryo,ambapo sasa iyo embroy/kijusi ikisha jitengeneza ,wana ihamisha na kuipeleka kwenye tanki ambazo ndani yake zimetengenezwa katika mfumo wa mfuko wa uzai wa mwanamke(placenta),kisha kuikuza ile embryo kupitia hatua zote za ukuaji wa mtoto ndani ya placenta ambapo ata pita hatua zote kutoka kichanga,mtoto,mpaka kufika stage ya yule mtu husika/ambaye amefanyiwa clone hapo sasa atakuwa tayari kasha tengenezwa upya ..lakini hii aina ya cloning ni ngumu sana kwasababu ina hitaji mda mpaka kukamilika ,kwasababu huyo clone anakuwa anapitia stage zote ambazo binadamu hupitia ..tofauti na human replical cloning ambayo huchukua mdamchache sana ..na hii reproductive ya kwanza ili fanyika mwaka 2000 lakin inasemekana hawakufanikiwa kutengeneza uyo mtu..ndipo badae umoja wa mataifa( UN) ulipo piga marufuku ...lakini vikundi vya siri kama illuminant/freemason viliendelea na vina zalisha watu wao kwa siri .. 👉ROBOTOID CLONING.. hii ni aina nyingine ya kutengeneza clone/copy ya binadamu,ambayo kiuhalisia huyo clone/copy anakuwa nikama roboti tu yani hana uhai, pia hawezi kuwa na sifa zote zakuwa binadamu kama pumzi,roho(soul),n.k.Kwasababu anakuwa ni wakutengenezwa kupitia machines(mfano robot sofia kama mna mfahamu),na hii aina ya clone(robotoid clone) hii imeruhusiwa/halalishwa na umoja wa mataifa kwasababu sio haramu.. zipo pia move nyingi ambaozo zimeelezea mfano wa jins robotoid clone inavyo kuwepo kama vile PREDATOR ni movies ya Anord Shawazniger ambapo palikuwa na anord wa wili mmoja ni halisi ,mwingine alikuwa kama robot hivi Nazani mpo mnao ikumbuka hiyo move.. ..
    0 Commenti 0 condivisioni 2K Views