• HAYA HAPA MATAIFA YALIYOFUZU KOMBE LA DUNIA FIFA WORLD CUP 2026

    OFFICIAL Timu Zilizofuzu kucheza Kombe La Dunia 2026

    DUA Nyingi Kwa Sasa DR Congo wametoboa na sasa wanaendelea na PlayOff kama wawakilishi wa Afrika kwenye Intercontinental PlayOff.

    Mexico
    United States
    Canada

    Japan
    Iran
    South Korea
    Australia
    Qatar
    Uzbekistan
    Saudi Arabia
    Jordan
    Morocco
    Senegal
    Egypt
    Algeria
    ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ivory Coast
    Tunisia
    South Africa
    Cabo Verde
    Ghana
    ARGENTINA
    Brazil
    Colombia
    Uruguay
    Ecuador
    Paraguay
    New Zealand
    England
    FRANCE
    Croatia
    Portugal
    Norway
    HAYA HAPA MATAIFA YALIYOFUZU KOMBE LA DUNIA FIFA WORLD CUP 2026 OFFICIAL Timu Zilizofuzu kucheza Kombe La Dunia 2026 DUA Nyingi Kwa Sasa DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wametoboa na sasa wanaendelea na PlayOff kama wawakilishi wa Afrika kwenye Intercontinental PlayOff. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ United States ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ Qatar ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ Uzbekistan ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Saudi Arabia ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด Jordan ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ivory Coast ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป Cabo Verde ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท ARGENTINA ๐Ÿ† ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Colombia ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ Uruguay ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ Ecuador ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Paraguay ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท FRANCE ๐Ÿฅˆ ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Croatia ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Portugal ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway
    0 Commenti 0 condivisioni 917 Views
  • โฌ›๏ธBODI YA LIGI imefanya maboresho kwenye ratiba ya Ligi Kuu na moja kati ya mchezo uliofikiwa na maboresho hayo ni mchezo wa Kariakoo Derby uliopangwa kuchezwa Desemba 13 mwaka huu. Yeees! Kwa sasa mchezo huo utapigwa Jumapili ya tarehe 01.03.2026 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni.

    Young Africans Simba SC
    DATE: 01.03.2026
    TIME: 17:00 EAT

    ...Hata hivyo mchezo wa marudiano kati ya vigogo hawa utapigwa tarehe 03.05.2026 kwenye uwanja wa Mkapa kuanzia saa 11 jioni.
    ๐ŸŸฉ๐ŸŸจโฌ›๏ธBODI YA LIGI imefanya maboresho kwenye ratiba ya Ligi Kuu na moja kati ya mchezo uliofikiwa na maboresho hayo ni mchezo wa Kariakoo Derby uliopangwa kuchezwa Desemba 13 mwaka huu. Yeees! Kwa sasa mchezo huo utapigwa Jumapili ya tarehe 01.03.2026 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni. Young Africans ๐Ÿ†š Simba SC DATE: 01.03.2026 TIME: 17:00 EAT ...Hata hivyo mchezo wa marudiano kati ya vigogo hawa utapigwa tarehe 03.05.2026 kwenye uwanja wa Mkapa kuanzia saa 11 jioni.
    0 Commenti 0 condivisioni 406 Views
  • ๐REAKING NEWS!
    -
    Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain.

    Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…!

    MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?
    Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....
    ๐REAKING NEWS! - Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain. Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…! MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?๐Ÿ˜€ Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Klabu zilizofuzu kuingia hatua ya Makundi klabu bingwa barani Afrika (CAF Champignons League) huku kukiwa kumesalia klabu mbili pekee.

    FC St-Éloi Lupopo
    Stade Malien de Bamako
    Young Africans
    Simba SC
    Mamelodi Sundowns
    Al Hilal SC

    โ  Rivers United
    Power Dynamos
    Atlético Petróleos de Luanda
    Al Ahly
    AS FAR
    JS Kabylie
    MC Alger
    Esperance Sportive de Tunis

    Al Ahly Tripoli 1-1 RS Berkane
    Ethiopian Insurance 1-1 Pyramids FC
    Klabu zilizofuzu kuingia hatua ya Makundi klabu bingwa barani Afrika (CAF Champignons League) huku kukiwa kumesalia klabu mbili pekee. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ FC St-Éloi Lupopo ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Stade Malien de Bamako ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Simba SC ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ Al Hilal SC โ ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Rivers United ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Power Dynamos ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Atlético Petróleos de Luanda ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ AS FAR ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ JS Kabylie ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ MC Alger ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Esperance Sportive de Tunis ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ Al Ahly Tripoli 1-1 ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ RS Berkane ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Ethiopian Insurance 1-1 ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids FC
    Love
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 809 Views
  • Leeds United inavutiwa na kiungo wa Maccabi Tel Aviv's Issouf Sissokho January.


    (Source: Foot Africa)
    ๐Ÿšจ Leeds United inavutiwa na kiungo wa Maccabi Tel Aviv's Issouf Sissokho January. (Source: Foot Africa)
    0 Commenti 0 condivisioni 398 Views
  • Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika

    1๏ธโƒฃ Morocco [12]
    2๏ธโƒฃ Senegal [19]
    3๏ธโƒฃ Egypt [32]
    4๏ธโƒฃ Algeria [39]
    5๏ธโƒฃ Ivory Coast [44]
    6๏ธโƒฃ Nigeria [45]
    7๏ธโƒฃ Tunisia [47]
    8๏ธโƒฃ Cameroon [52]
    9๏ธโƒฃ South Africa [55]
    Mali [56]

    Source FIFA
    ๐Ÿ’ฃ๐Ÿšจ Orodha ya Timu za taifa bora 10 kwa sasa Barani Afrika 1๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco [12] 2๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal [19] 3๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt [32] 4๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria [39] 5๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช Ivory Coast [44] 6๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria [45] 7๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia [47] 8๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Cameroon [52] 9๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa [55] ๐Ÿ”Ÿ ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mali [56] Source FIFA
    0 Commenti 0 condivisioni 600 Views
  • Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024.

    Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco.

    Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania katika anga ya kimataifa.

    | @errymars_

    #ManaraTV
    #ManaraTVUpdates
    Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024. Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco. Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ katika anga ya kimataifa. โœ๏ธ| @errymars_ #ManaraTV #ManaraTVUpdates
    0 Commenti 0 condivisioni 2K Views
  • RASMI: Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kutoka Sekhukhune United ya South Africa kwa mkopo kwa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa mazima kwa $100,000.

    Msimu wa 2022/23 akiwa na Power Dynamos,Andy Boyeli alitwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Zambia,baada ya kufunga goli 18,pia msimu huo alitwaa tuzo ya MVP.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ RASMI: Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kutoka Sekhukhune United ya South Africa kwa mkopo kwa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa mazima kwa $100,000. Msimu wa 2022/23 akiwa na Power Dynamos,Andy Boyeli alitwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Zambia,baada ya kufunga goli 18,pia msimu huo alitwaa tuzo ya MVP. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 725 Views
  • RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! โšฝ๏ธ

    Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

    Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
    Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! โšฝ๏ธ

    Source:- Micky Jnr African Football Journalist

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅโšฝ๏ธ ๐Ÿ”ธ Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! ๐Ÿค” Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? ๐Ÿฆ๐ŸŸข๐Ÿ”ต Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ๐ŸŒโšฝ๏ธ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • โœ๐ŸฟRASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni

    Manu Rodriguez - kocha msaidizi

    Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo

    #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc
    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ“œโœ๐Ÿฟ๐Ÿ”ฐRASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni Manu Rodriguez - kocha msaidizi Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 2K Views
  • kids ballet academy singapore
    Creative movement curriculum for children 3-5 years old

    Suitable for children to prepare foundations for classical ballet
    Based on Leap ‘N Learn curriculum by Beverly F. Spell and Maria Inzerella
    Designed to meet the gross motor skills development milestones as it relates to movement & musicality for both boys & girls
    Designed to introduce the dancer to various habitats like African Savanna, Arctic North, South American Rainforest, etc to explore and learn how different animals move in a fun and receptive way for the young dancer
    Paced and progressed in an age appropriate format
    Build basic psychomotor skills, stability, coordination, musicality, core control, spatial awareness, and classroom etiquette
    Coloring template homework
    Read more : https://www.jaimeballetacademy.com/
    kids ballet academy singapore Creative movement curriculum for children 3-5 years old Suitable for children to prepare foundations for classical ballet Based on Leap ‘N Learn curriculum by Beverly F. Spell and Maria Inzerella Designed to meet the gross motor skills development milestones as it relates to movement & musicality for both boys & girls Designed to introduce the dancer to various habitats like African Savanna, Arctic North, South American Rainforest, etc to explore and learn how different animals move in a fun and receptive way for the young dancer Paced and progressed in an age appropriate format Build basic psychomotor skills, stability, coordination, musicality, core control, spatial awareness, and classroom etiquette Coloring template homework Read more : https://www.jaimeballetacademy.com/
    0 Commenti 0 condivisioni 2K Views
  • Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.

    Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo.

    Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao.

    "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐ŸšจRais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo. Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao. "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 2K Views
  • ... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa.

    โ–ช๏ธŽCelestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika.

    โ–ช๏ธŽMousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao.

    โ–ช๏ธŽMohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee).

    #SportsElite
    ๐Ÿ™†‍โ™‚๏ธ... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa. โ–ช๏ธŽCelestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika. โ–ช๏ธŽMousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao. โ–ช๏ธŽMohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee). #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 909 Views
  • Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba.

    Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia.

    Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko..

    #SportsElite
    Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba. Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia. Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko.. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 908 Views
  • .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

    โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

    โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

    โ–ช๏ธŽ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

    โ–ช๏ธŽUongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

    โ–ช๏ธŽMohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

    โ–ช๏ธŽKila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

    #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
    .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. โ–ช๏ธŽElewa kuwa, Young Africans Sports Club ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ โ–ช๏ธŽ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." โ–ช๏ธŽUongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. โ–ช๏ธŽMohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. โ–ช๏ธŽKila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. ๐Ÿค”
    Like
    Love
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Fulham imekataa ofa ya £21.5M kwa Atlético Madrid ili kumsajiri kiungo Mnigeria Alex Iwobi.

    (Source: Africa Foot)

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ Fulham imekataa ofa ya £21.5M kwa Atlético Madrid ili kumsajiri kiungo Mnigeria Alex Iwobi. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ (Source: Africa Foot) #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 608 Views
  • *...||TEAM ZILIZOFUZU KUCHEZA CAF CHAMPIONS LEAGUE 2025/26*

    1. Al Ahly SC
    2. RS Berkane
    3. AS FAR
    4. Pyramids FC
    5. Esperance Tunis
    6. US Monastir
    7. Mamelodi Sundowns
    8. Orlando Pirates
    9. Simba SC
    10. Young Africans Sports Club
    11. Rahimo
    12. FC Nouadhibou
    13. Al Hilal Omdurman
    14. Al Merriekh
    15. Petro Luanda
    16. Remo Stars
    17. Vipers SC
    18. Mangasport
    19. Fassell
    20. Lioli
    21. Aigle Noir
    22. Power Dynamos
    *...||TEAM ZILIZOFUZU KUCHEZA CAF CHAMPIONS LEAGUE 2025/26* 1. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly SC 2. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ RS Berkane 3. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ AS FAR 4. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids FC 5. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Esperance Tunis 6. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ US Monastir 7. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Mamelodi Sundowns 8. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Orlando Pirates 9. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Simba SC 10. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Young Africans Sports Club 11. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ Rahimo 12. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท FC Nouadhibou 13. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ Al Hilal Omdurman 14. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ Al Merriekh 15. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Petro Luanda 16. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Remo Stars 17. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Vipers SC 18. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ Mangasport 19. ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท Fassell 20. ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ Lioli 21. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ Aigle Noir 22. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Power Dynamos
    Love
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 971 Views
  • KWANINI NCHI MASIKINI HUWA NA WANASIASA MATAJIRI SANA?

    Hii ni moja ya mafumbo makubwa ya kisiasa Afrika:
    Nchi ni masikini...
    Raia hawana huduma...
    Lakini wanasiasa wana nyumba za kifahari, magari ya kifahari, na watoto wao wanasoma nje ya nchi.

    Unawezaje kuongoza nchi yenye njaa, lakini wewe unanenepa?

    Sababu ya kwanza: Siasa ni Biashara.
    Watu wengi wanaingia kwenye siasa si kwa sababu ya maono, bali kwa sababu wanajua kuna "return on investment".
    Unatumia milioni 100 kugombea, lakini ukishinda, unaweza rudisha mara 10 zaidi kupitia dili.

    Sababu ya pili: Rushwa Iliyohalalishwa.
    Nchi nyingi masikini zina mifumo dhaifu ya ukaguzi.
    Mwanasiasa anaweza toa tenda kwa kampuni yake mwenyewe kupitia proxies.
    Hakuna accountability.
    "Public office" inageuka kuwa ATM ya binafsi.

    Sababu ya tatu: Ukosefu wa elimu ya uraia.
    Raia wengi hawajui haki zao.
    Wanapewa kilo ya unga au t-shirt wakati wa uchaguzi, wanapitisha mwizi mwingine.
    Siasa zinageuka kuwa mashindano ya maigizo, si sera.

    Sababu ya nne: Tabaka la kimasikini linaogopa mabadiliko.
    Wengi wetu tunaishi kwa matumaini ya kusaidiwa binafsi na si kwa kutengeneza mfumo unaosaidia wote.
    Tunapenda “mheshimiwa” badala ya mfumo bora.
    Hili linafanya mafisadi waendelee kutawala.

    Sababu ya tano: Woga wa taasisi.
    Asasi za kiraia, vyombo vya habari na mahakama huwa dhaifu au vimetiwa mfukoni.
    Hii inawapa wanasiasa uhuru wa kuiba bila hofu ya kushtakiwa.

    Na mwisho kabisa:
    Wanasiasa hawawajibiki kwa wananchi bali kwa wafadhili wao.
    Wale waliowasaidia kugombea (wakubwa wa biashara, makampuni ya kigeni, n.k.) ndio wanaoamua sera.
    Mwananchi? Yuko pembeni kabisa.

    Hii ndiyo sababu utaona mtu anakuwa mbunge kwa miaka 15 lakini eneo lake halina maji wala barabara.
    Lakini yeye ana ghorofa 3, magari 4, na clinic binafsi Nairobi.

    Umasikini wa raia si bahati mbaya ni mpango wa kisiasa.

    Suluhisho?

    Elimu ya uraia

    Uwajibikaji

    Sheria kali za kupiga vita ufisadi

    Vyombo huru vya habari

    Raia wasioogopa kuuliza maswali

    Je, wewe unaona nini kifanyike ili tuwajibishe viongozi wetu?
    Tumezoea maisha magumu kiasi kwamba tumeyakubali kama kawaida.
    Ni muda wa kubadilika.

    #Kireportel #Ufisadi #Siasa #Africa #Kujitambua

    Follow me pia X (Twitter): x.com/DullahWrites
    KWANINI NCHI MASIKINI HUWA NA WANASIASA MATAJIRI SANA? Hii ni moja ya mafumbo makubwa ya kisiasa Afrika: Nchi ni masikini... Raia hawana huduma... Lakini wanasiasa wana nyumba za kifahari, magari ya kifahari, na watoto wao wanasoma nje ya nchi. Unawezaje kuongoza nchi yenye njaa, lakini wewe unanenepa? Sababu ya kwanza: Siasa ni Biashara. Watu wengi wanaingia kwenye siasa si kwa sababu ya maono, bali kwa sababu wanajua kuna "return on investment". Unatumia milioni 100 kugombea, lakini ukishinda, unaweza rudisha mara 10 zaidi kupitia dili. Sababu ya pili: Rushwa Iliyohalalishwa. Nchi nyingi masikini zina mifumo dhaifu ya ukaguzi. Mwanasiasa anaweza toa tenda kwa kampuni yake mwenyewe kupitia proxies. Hakuna accountability. "Public office" inageuka kuwa ATM ya binafsi. Sababu ya tatu: Ukosefu wa elimu ya uraia. Raia wengi hawajui haki zao. Wanapewa kilo ya unga au t-shirt wakati wa uchaguzi, wanapitisha mwizi mwingine. Siasa zinageuka kuwa mashindano ya maigizo, si sera. Sababu ya nne: Tabaka la kimasikini linaogopa mabadiliko. Wengi wetu tunaishi kwa matumaini ya kusaidiwa binafsi na si kwa kutengeneza mfumo unaosaidia wote. Tunapenda “mheshimiwa” badala ya mfumo bora. Hili linafanya mafisadi waendelee kutawala. Sababu ya tano: Woga wa taasisi. Asasi za kiraia, vyombo vya habari na mahakama huwa dhaifu au vimetiwa mfukoni. Hii inawapa wanasiasa uhuru wa kuiba bila hofu ya kushtakiwa. Na mwisho kabisa: Wanasiasa hawawajibiki kwa wananchi bali kwa wafadhili wao. Wale waliowasaidia kugombea (wakubwa wa biashara, makampuni ya kigeni, n.k.) ndio wanaoamua sera. Mwananchi? Yuko pembeni kabisa. Hii ndiyo sababu utaona mtu anakuwa mbunge kwa miaka 15 lakini eneo lake halina maji wala barabara. Lakini yeye ana ghorofa 3, magari 4, na clinic binafsi Nairobi. Umasikini wa raia si bahati mbaya ni mpango wa kisiasa. Suluhisho? Elimu ya uraia Uwajibikaji Sheria kali za kupiga vita ufisadi Vyombo huru vya habari Raia wasioogopa kuuliza maswali Je, wewe unaona nini kifanyike ili tuwajibishe viongozi wetu? Tumezoea maisha magumu kiasi kwamba tumeyakubali kama kawaida. Ni muda wa kubadilika. #Kireportel #Ufisadi #Siasa #Africa #Kujitambua Follow me pia X (Twitter): x.com/DullahWrites
    Like
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 3K Views
  • ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜

    #nbcpremierleague
    โšฝ๏ธ Young Africans SCNamungo FC
    13.05.2025
    ๐ŸŸ KMC Complex
    10:15 Jioni

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #nbcpremierleague โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šNamungo FC ๐Ÿ“† 13.05.2025 ๐ŸŸ KMC Complex ๐Ÿ•– 10:15 Jioni #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 2K Views