Upgrade to Pro

  • Matokeo ya michezo ya Jana.

    Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca

    EFL CUP

    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace
    - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford
    - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool

    LA LIGA

    - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence
    - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano

    COPPA ITALIA

    - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena
    - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria

    LIGUE 1

    - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG

    KNVB BEKER

    - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente
    - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht
    - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen
    - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣)
    - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣)
    - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue

    TACA DE PORTUGAL

    - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣)

    PSL

    - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns

    UEFA Champions League (Wanawake)

    - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City
    - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby
    - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich
    - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga

    SEGUNDA DIVISION

    - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria
    - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense
    - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon

    Matokeo ya michezo ya Jana. Real Madrid 3️⃣-0️⃣ Pachuca 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 EFL CUP - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Crystal Palace - Newcastle 3️⃣-1️⃣ Brentford - Southampton 1️⃣-2️⃣ Liverpool 🇪🇸 LA LIGA - Espanyol 1️⃣-1️⃣ Valence - Villarreal 1️⃣-1️⃣ Rayo Vallecano 🇮🇹 COPPA ITALIA - Atalanta 6️⃣-1️⃣ Cesena - Roma 4️⃣-1️⃣ Sampdoria 🇫🇷 LIGUE 1 - Monaco 2️⃣-4️⃣ PSG 🇳🇱 KNVB BEKER - Katwijk 2️⃣-3️⃣ Twente - AFC 0️⃣-8️⃣ Utrecht - ASWH 0️⃣-1️⃣ Heerenveen - Heracles Almelo 0️⃣-0️⃣ NEC (AP 1️⃣-0️⃣) - Sparta Rotterdam 1️⃣-1️⃣ Go Ahead Eagles (4️⃣-5️⃣) - AZ 3️⃣-1️⃣ Groningue 🇵🇹 TACA DE PORTUGAL - Sporting 1️⃣-1️⃣ Santa Clara (2️⃣-1️⃣) 🇿🇦 PSL - Stellenbosch 0️⃣-1️⃣ Mamelodi Sundowns 🌍 UEFA Champions League (Wanawake) - FC Barcelona 3️⃣-0️⃣ Manchester City - St.Pölten 1️⃣-2️⃣ Hammarby - Arsenal 3️⃣-2️⃣ Bayern Munich - Juventus 3️⃣-0️⃣ Valerenga 🇪🇸 SEGUNDA DIVISION - Ferrol 1️⃣-4️⃣ Almeria - Malaga 3️⃣-0️⃣ Eldense - Mirandes 1️⃣-1️⃣ Sporting Gijon
    ·209 Views
  • 𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔

    ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

    ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.

    ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.

    ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.

    • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich

    • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).

    ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).

    ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.

    ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!

    ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.

    ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).

    ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.

    ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).

    ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake

    ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)

    ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).

    • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.

    ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !

    ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.

    ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.

    ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City

    FACTS gani imekushangaza ?

    🚨𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi 🇦🇷 na Cristiano Ronaldo 🇵🇹 ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ⚽) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich 🇩🇪 • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake 😀 ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! 😀 ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? 😎
    ·411 Views
  • Matokeo ya "droo" ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Duniani 2025.

    GROUP A
    Palmeiras
    FC Porto
    Al Ahly FC
    Inter Miami CF

    GROUP B
    Paris Saint Germainy
    Atletico Madrid
    Botafogo
    Seattle Sounders FC

    GROUP C
    Bayern Munich
    SL Benfica
    Boca Juniors
    Auckland City

    GROUP D
    Framingo
    Chelsea FC
    Club Leon
    Esperance De Tunis

    GROUP E
    River Plate
    Inter Milan
    CF Monterrey
    Urawa Red Diamonds

    GROUP F
    Fluminense FC
    Borussia Dortmund
    Ulsan HD FC
    Mamelodi Sundowns

    GROUP G
    Manchester City
    Juventus
    Wydad Athletic
    Al ain

    GROUP H
    Real Madrid CF
    RB Salzburg
    Al Hilal
    CF Pachuca

    Matokeo ya "droo" ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Duniani 2025. GROUP A 🇧🇷 Palmeiras 🇵🇹 FC Porto 🇪🇬 Al Ahly FC 🇺🇸 Inter Miami CF GROUP B 🇫🇷 Paris Saint Germainy 🇪🇸 Atletico Madrid 🇧🇷 Botafogo 🇺🇸 Seattle Sounders FC GROUP C 🇩🇪 Bayern Munich 🇵🇹 SL Benfica 🇦🇷 Boca Juniors 🇳🇿 Auckland City GROUP D 🇧🇷 Framingo 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea FC 🇲🇽 Club Leon 🇹🇳 Esperance De Tunis GROUP E 🇦🇷 River Plate 🇮🇹 Inter Milan 🇲🇽 CF Monterrey 🇯🇵Urawa Red Diamonds GROUP F 🇧🇷 Fluminense FC 🇩🇪 Borussia Dortmund 🇰🇷 Ulsan HD FC 🇿🇦 Mamelodi Sundowns GROUP G 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City 🇮🇹 Juventus 🇲🇦 Wydad Athletic 🇶🇦 Al ain GROUP H 🇪🇸 Real Madrid CF 🇦🇹 RB Salzburg 🇸🇦 Al Hilal 🇲🇽 CF Pachuca
    ·323 Views
  • Klabu 32 ambazo zinatarajiwa kucheza michuano ya klabu bingwa Duniani Nchini Marekani kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, 2025.

    PSG

    Chelsea
    Man. City

    Real Madrid
    Atletico Madrid

    Bayern Munich
    B. Dortmund

    Inter Milan
    Juventus

    Porto
    Benfica

    Salzbourg

    Palmeiras
    Flamengo
    Fluminense
    Botafogo

    River Plate
    Boca Juniors

    Monterrey
    León
    Pachuca

    Seattle Sounders
    Inter Miami

    Al-Hilal

    Urawa Reds

    Ulsan Hyundai

    Al Ain

    Barani Afrika
    Al-Ahly
    Wydad Casablanca
    Esperance Tunis
    Mamelodi Sundowns

    Auckland City
    Klabu 32 ambazo zinatarajiwa kucheza michuano ya klabu bingwa Duniani Nchini Marekani kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, 2025. 🇫🇷 PSG 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea Man. City 🇪🇸 Real Madrid Atletico Madrid 🇩🇪 Bayern Munich B. Dortmund 🇮🇹 Inter Milan Juventus 🇵🇹 Porto Benfica 🇦🇹 Salzbourg 🇧🇷 Palmeiras Flamengo Fluminense Botafogo 🇦🇷 River Plate Boca Juniors 🇲🇽 Monterrey León Pachuca 🇺🇸 Seattle Sounders Inter Miami 🇸🇦 Al-Hilal 🇯🇵 Urawa Reds 🇰🇷 Ulsan Hyundai 🇦🇪 Al Ain Barani Afrika 🇪🇬 Al-Ahly 🇲🇦 Wydad Casablanca 🇹🇳 Esperance Tunis 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 🇦🇺 Auckland City
    Like
    1
    ·246 Views
  • “…kila mara alikuwa akiniomba pesa, nampa… Akiniomba tena, nampa… Nilipomwambia ya kwamba sitaki tena uhusiano wa kifedha kati yetu, tuendelee na uhusiano kama ndugu, ndipo masahibu hayo yalinikuta…” - Paul Pogba akimzungumzia kaka yake, Mathias Pogba (pichani, mwenye fulana nyeupe)…

    Kesi ya ulaghai ya Paul Pogba, imefungiliwa jana huko Mjini Paris Nchini Ufaransa. Katika kesi hiyo, Watu sita (6) wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kwa ulaghai, kujaribu kupora Euro milioni (18) ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni (50) za Tanzania na kumshikilia Mchezaji huyo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa huku wakiwa na silaha (Bunduki).

    Kesi hiyo katika Mahakama ya jinai ya Paris, imewashangaza wengi kwa sababu Watuhumiwa ni Marafiki wa karibu wa Paul Pogba, waliokulia wote sehemu moja, Mitaa ya Roissy-en-Brie, Kaskazini mwa Jiji la Paris, lakini kubwa zaidi, wakishirikiana na Kaka wa Paul Pogba, Mathias Pogba ambaye ni mdogo wake.

    Mmoja wa watuhumiwa hao, aliiambia Mahakama kuwa “alichukizwa kuona Paul Pogba, anawasahau marafiki zake wa ‘kitaa’ na kuwaacha masikini baada ya kupata mafanikio katika soka…”

    Paul Pogba mwenyewe, ambaye wakati wa tukio alikuwa katika mafanikio makubwa Manchester United huku akijiandaa kuhamia Juventus ya Italia, hakuwepo Mahakamani hapo hiyo jana ambapo aliwakilishwa na Mawakili wake watatu (3): Wakili Pierre-Jean Douvier, Wakili Alexia Alfonsi na Wakili Carine Piccio.

    Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi Disemba 3, 2024, huku Watuhumiwa wote wakijiandaa kutumikia kifungo kati ya miaka saba (7) na miaka kumi (10) Jela endapo watakutwa na hatia.
    “…kila mara alikuwa akiniomba pesa, nampa… Akiniomba tena, nampa… Nilipomwambia ya kwamba sitaki tena uhusiano wa kifedha kati yetu, tuendelee na uhusiano kama ndugu, ndipo masahibu hayo yalinikuta…” - Paul Pogba akimzungumzia kaka yake, Mathias Pogba (pichani, mwenye fulana nyeupe)… Kesi ya ulaghai ya Paul Pogba, imefungiliwa jana huko Mjini Paris Nchini Ufaransa. Katika kesi hiyo, Watu sita (6) wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kwa ulaghai, kujaribu kupora Euro milioni (18) ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni (50) za Tanzania 🇹🇿 na kumshikilia Mchezaji huyo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa 🇫🇷 huku wakiwa na silaha (Bunduki). Kesi hiyo katika Mahakama ya jinai ya Paris, imewashangaza wengi kwa sababu Watuhumiwa ni Marafiki wa karibu wa Paul Pogba, waliokulia wote sehemu moja, Mitaa ya Roissy-en-Brie, Kaskazini mwa Jiji la Paris, lakini kubwa zaidi, wakishirikiana na Kaka wa Paul Pogba, Mathias Pogba ambaye ni mdogo wake. Mmoja wa watuhumiwa hao, aliiambia Mahakama kuwa “alichukizwa kuona Paul Pogba, anawasahau marafiki zake wa ‘kitaa’ na kuwaacha masikini baada ya kupata mafanikio katika soka…” Paul Pogba mwenyewe, ambaye wakati wa tukio alikuwa katika mafanikio makubwa Manchester United huku akijiandaa kuhamia Juventus ya Italia, hakuwepo Mahakamani hapo hiyo jana ambapo aliwakilishwa na Mawakili wake watatu (3): Wakili Pierre-Jean Douvier, Wakili Alexia Alfonsi na Wakili Carine Piccio. Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi Disemba 3, 2024, huku Watuhumiwa wote wakijiandaa kutumikia kifungo kati ya miaka saba (7) na miaka kumi (10) Jela endapo watakutwa na hatia.
    ·321 Views
  • JUVENTUS (Italy); Timu ya Italia JUVENTUS imeinasa saini ya beki wa kushoto JUAN CABAL ( 23 ) akitokea Hellas verona Kwa mkataba wa miaka mitano ( 5 ).
    #sokachampions
    #nbcpremierleague
    #junventus
    #Hellasverona
    JUVENTUS (Italy); Timu ya Italia JUVENTUS imeinasa saini ya beki wa kushoto JUAN CABAL ( 23 ) akitokea Hellas verona Kwa mkataba wa miaka mitano ( 5 ). #sokachampions #nbcpremierleague #junventus #Hellasverona
    Like
    Love
    5
    ·574 Views
  • Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo 1.sportingcpB - 2002 ( 0 )
    2.sportingcp - 2002--2003 ( 3 )
    3.manunited - 2003--2009 ( 84 )
    4.Realmadrid - 2009--2018 ( 311 )
    5.juventus - 2018--2021 ( 81 )
    6.manunited - 2021--2022 ( 19 )
    7.Alnassr - 2023-- ( 49 )
    Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo 1.sportingcpB - 2002 ( 0 ) 2.sportingcp - 2002--2003 ( 3 ) 3.manunited - 2003--2009 ( 84 ) 4.Realmadrid - 2009--2018 ( 311 ) 5.juventus - 2018--2021 ( 81 ) 6.manunited - 2021--2022 ( 19 ) 7.Alnassr - 2023-- ( 49 )
    Like
    2
    ·620 Views
  • Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo #sportingcpB - 2002 ( 0 )
    #sportingcp - 2002--2003 ( 3 )
    #manunited - 2003--2009 ( 84 )
    #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 )
    #juventus - 2018--2021 ( 81 )
    #manunited - 2021--2022 ( 19 )
    #Alnassr - 2023-- ( 49 )
    Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo #sportingcpB - 2002 ( 0 ) #sportingcp - 2002--2003 ( 3 ) #manunited - 2003--2009 ( 84 ) #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 ) #juventus - 2018--2021 ( 81 ) #manunited - 2021--2022 ( 19 ) #Alnassr - 2023-- ( 49 )
    Like
    2
    ·613 Views
  • Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo
    #sportingcpB - 2002 ( 0 )
    #sportingcp - 2002--2003 ( 3 )
    #manunited - 2003--2009 ( 84 )
    #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 )
    #juventus - 2018--2021 ( 81 )
    #manunited - 2021--2022 ( 19 )
    #Alnassr - 2023-- ( 49 )
    Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo #sportingcpB - 2002 ( 0 ) #sportingcp - 2002--2003 ( 3 ) #manunited - 2003--2009 ( 84 ) #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 ) #juventus - 2018--2021 ( 81 ) #manunited - 2021--2022 ( 19 ) #Alnassr - 2023-- ( 49 )
    Like
    2
    ·615 Views
  • Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo
    #sportingcpB - 2002 ( 0 )
    #sportingcp - 2002--2003 ( 3 )
    #manunited - 2003--2009 ( 84 )
    #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 )
    #juventus - 2018--2021 ( 81 )
    #manunited - 2021--2022 ( 19 )
    #Alnassr - 2023-- ( 49 )
    #soccersports
    #yangasc
    Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo #sportingcpB - 2002 ( 0 ) #sportingcp - 2002--2003 ( 3 ) #manunited - 2003--2009 ( 84 ) #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 ) #juventus - 2018--2021 ( 81 ) #manunited - 2021--2022 ( 19 ) #Alnassr - 2023-- ( 49 ) #soccersports #yangasc
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·869 Views
  • Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo
    #sportingcpB - 2002 ( 0 )
    #sportingcp - 2002--2003 ( 3 )
    #manunited - 2003--2009 ( 84 )
    #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 )
    #juventus - 2018--2021 ( 81 )
    #manunited - 2021--2022 ( 19 )
    #Alnassr - 2023---- ( 49 )
    #soccersports
    #yangasc
    Kipenzi Cha mashabiki duniani Christian Ronaldo #sportingcpB - 2002 ( 0 ) #sportingcp - 2002--2003 ( 3 ) #manunited - 2003--2009 ( 84 ) #Realmadrid - 2009--2018 ( 311 ) #juventus - 2018--2021 ( 81 ) #manunited - 2021--2022 ( 19 ) #Alnassr - 2023---- ( 49 ) #soccersports #yangasc
    Like
    Haha
    3
    ·741 Views
  • TETESI ZA SOKA ULAYA

    Mchezaji wa Stoke Souleymane Sidibe, mwenye umri wa miaka 17, anaweza kuhama msimu huu huku Brighton , Chelsea , Monaco na Juventus wakimtaka kiungo huyo wa kati wa Ufaransa.(Foot Mercato)

    Winga wa Brazil Willian, mwenye umri wa miaka 35, amepewa ofa kutoka Saudi Arabia ili azingatie kwani mkataba wake na Fulham unakaribia kuisha. (Telegraph - usajili unahitajika)
    TETESI ZA SOKA ULAYA Mchezaji wa Stoke Souleymane Sidibe, mwenye umri wa miaka 17, anaweza kuhama msimu huu huku Brighton , Chelsea , Monaco na Juventus wakimtaka kiungo huyo wa kati wa Ufaransa.(Foot Mercato) Winga wa Brazil Willian, mwenye umri wa miaka 35, amepewa ofa kutoka Saudi Arabia ili azingatie kwani mkataba wake na Fulham unakaribia kuisha. (Telegraph - usajili unahitajika)
    Like
    Love
    6
    ·484 Views
  • ##Sports view
    Meneja wa Burnley Vincent Kompany, 38, ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich . (Fabrizio Romano)

    Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley kwa mkataba wa kudumu, miaka minne baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kujiunga kwa mkopo kutoka Chelsea(Guardian)

    Arsenal wanataka kusajili mshambuliaji kabla ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya, huku nyota wa Newcastle United na Uswidi Alexander Isak, 24, na mshambuliaji wa Ajax na Uholanzi, Brian Brobbey, wakiongoza orodha hiyo.(Independent)

    Chelsea na Manchester United zote zimewasiliana na mkufunzi wa Ipswich Town Kieran McKenna, huku raia huyo wa Ireland Kaskazini akiwa katika harakati za kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino au Erik ten Hag. (Manchester Evening News)

    Wolves itadai kiasi cha kuvunja rekodi ya klabu cha pauni milioni 60 kwa winga wa Ureno mwenye umri wa miaka 24 Pedro Neto, ambaye analengwa na Manchester City na Newcastle msimu wa joto(Telegraph )

    Aston Villa wako tayari kusikiliza ofa kwa mlinzi wa Brazil Diego Carlos, 31, huku wakitarajia kufuata sheria za faida na uendelevu(Telegraph)

    Mkufunzi wa Villa Unai Emery anataka kumsajili beki wa Barcelona na Uruguay Ronald Araujo, 25. (Sport kwa Kihispania)

    Stoke wameonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa Uingereza Conor Coady, 31, kutoka Leicester(Teamtalk),

    Leicester wanajiandaa kushindana na vilabu vya Ufaransa Lyon na Brest kumnunua fowadi wa Burkina Faso Mohamed Konate, 26, ambaye mkataba wake na klabu ya Urusi Akhmat Grozny unamalizika msimu huu. (Football Insider)

    Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ameiomba klabu hiyo takriban wachezaji watatu wapya msimu huu wa joto. (ESPN)

    Manchester United wanavutiwa na mlinzi wa Everton Muingereza Jarrad Branthwaite, 21, na The Toffees wanaweza kumnunua beki wa kati wa Galatasaray na Colombia Davinson Sanchez, 27, kuziba nafasi yake.(Caught Offside)

    Tottenham wako tayari kumuuza mlinzi wa Brazil Emerson Royal, 25, huku Juventus , AC Milan na Bayern Munich zikiwa na hamu ya kumnunua (Givemesport)

    Newcastle wanaweza kumnunua Lloyd Kelly, 25, huku beki huyo wa Uingereza akitarajiwa kuondoka Bournemouth kama mchezaji huru. (Fabrizio Romano)

    Chelsea itadai ada ya pauni milioni 25 kwa mlinzi wa Uingereza Trevoh Chalobah, 24, ambaye anatarajiwa kuvutia vilabu kadhaa (Telegraph)

    Rais wa Corinthians Augusto Melo atasafiri hadi Uingereza wiki ijayo kuzungumza na vilabu kuhusu uwezekano wa kuuzwa kwa mshambuliaji wa Brazil Wesley mwenye umri wa miaka 19. (Globo Esporte - kwa Kireno), ya nje...##Sports view
    ##Sports view Meneja wa Burnley Vincent Kompany, 38, ni miongoni mwa watu wanaopigiwa upatu kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel huko Bayern Munich . (Fabrizio Romano) Aston Villa wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua tena mchezaji wa Luton Town na kiungo wa kati wa zamani wa Uingereza Ross Barkley kwa mkataba wa kudumu, miaka minne baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kujiunga kwa mkopo kutoka Chelsea(Guardian) Arsenal wanataka kusajili mshambuliaji kabla ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya, huku nyota wa Newcastle United na Uswidi Alexander Isak, 24, na mshambuliaji wa Ajax na Uholanzi, Brian Brobbey, wakiongoza orodha hiyo.(Independent) Chelsea na Manchester United zote zimewasiliana na mkufunzi wa Ipswich Town Kieran McKenna, huku raia huyo wa Ireland Kaskazini akiwa katika harakati za kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino au Erik ten Hag. (Manchester Evening News) Wolves itadai kiasi cha kuvunja rekodi ya klabu cha pauni milioni 60 kwa winga wa Ureno mwenye umri wa miaka 24 Pedro Neto, ambaye analengwa na Manchester City na Newcastle msimu wa joto(Telegraph ) Aston Villa wako tayari kusikiliza ofa kwa mlinzi wa Brazil Diego Carlos, 31, huku wakitarajia kufuata sheria za faida na uendelevu(Telegraph) Mkufunzi wa Villa Unai Emery anataka kumsajili beki wa Barcelona na Uruguay Ronald Araujo, 25. (Sport kwa Kihispania) Stoke wameonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa Uingereza Conor Coady, 31, kutoka Leicester(Teamtalk), Leicester wanajiandaa kushindana na vilabu vya Ufaransa Lyon na Brest kumnunua fowadi wa Burkina Faso Mohamed Konate, 26, ambaye mkataba wake na klabu ya Urusi Akhmat Grozny unamalizika msimu huu. (Football Insider) Meneja wa Tottenham Ange Postecoglou ameiomba klabu hiyo takriban wachezaji watatu wapya msimu huu wa joto. (ESPN) Manchester United wanavutiwa na mlinzi wa Everton Muingereza Jarrad Branthwaite, 21, na The Toffees wanaweza kumnunua beki wa kati wa Galatasaray na Colombia Davinson Sanchez, 27, kuziba nafasi yake.(Caught Offside) Tottenham wako tayari kumuuza mlinzi wa Brazil Emerson Royal, 25, huku Juventus , AC Milan na Bayern Munich zikiwa na hamu ya kumnunua (Givemesport) Newcastle wanaweza kumnunua Lloyd Kelly, 25, huku beki huyo wa Uingereza akitarajiwa kuondoka Bournemouth kama mchezaji huru. (Fabrizio Romano) Chelsea itadai ada ya pauni milioni 25 kwa mlinzi wa Uingereza Trevoh Chalobah, 24, ambaye anatarajiwa kuvutia vilabu kadhaa (Telegraph) Rais wa Corinthians Augusto Melo atasafiri hadi Uingereza wiki ijayo kuzungumza na vilabu kuhusu uwezekano wa kuuzwa kwa mshambuliaji wa Brazil Wesley mwenye umri wa miaka 19. (Globo Esporte - kwa Kireno), ya nje...##Sports view
    Like
    7
    1 Comments ·539 Views
  • Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa England Mason Greenwood, ambaye yuko Getafe kwa mkopo kutoka Manchester United, lakini huenda wakakabiliwa na ushindani kutoka kwa Juventus ikiwa wanataka kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22.

    Atletico Madrid pia wanataka kumsajili Greenwood.
    Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa England Mason Greenwood, ambaye yuko Getafe kwa mkopo kutoka Manchester United, lakini huenda wakakabiliwa na ushindani kutoka kwa Juventus ikiwa wanataka kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. Atletico Madrid pia wanataka kumsajili Greenwood.
    Like
    Love
    Haha
    6
    3 Comments ·228 Views