• "Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali. Yanga ilitolewa pia makundi. Hersi anajua ndoto za Wanayanga. Huwa wananyanyasika kwa mashabiki wa mtani zao kwa kutofanya vizuri katika michuano ya CAF. Ligi ya Mabingwa.
    .
    Wakati huu wakiwa wamesajili wachezaji wazuri huku akiendelea kumiliki wachezaji mafundi kama kina Pacome Zouzoua, Hersi akaitafutia Yanga kocha mwanafunzi.

    Ukitazama wasifu wa Folz, alikuwa amepita katika klabu kadhaa akiwa kama kocha msaidizi. Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari kwa kumleta Folz. Hajawahi kuwa kocha mkuu wala kutwaa taji lolote muhimu katika maisha yake ya mpira.

    Unawezaje kutimiza ndoto zako ukiwa na kocha wa namna hii. Katika lugha ya mtaani ya Waingereza tunaweza kusema Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari. ‘Gambling’. Haukuwa muda wa Yanga kucheza bahati nasibu.

    Ulikuwa muda wa wao kuwa na kocha ambaye ana uzoefu na anaweza kuishi katika falsafa zao. Matokeo yake Yanga wamejiweka katika hatari. Wameshafungwa ugenini na wageni wao wanaweza kuja na mbinu za ajabu. Injinia Hersi na wenzake ambao wanaongoza Yanga sasa hivi hawakufikiria kama wanaweza kuwa katika nafasi hii kwa sasa. Wakati wao wanaiwaza nusu fainali au fainali, tayari wapo hatarini kutofika hata makundi.

    - Edo Kumwembe, Mchambuzi.
    "Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali. Yanga ilitolewa pia makundi. Hersi anajua ndoto za Wanayanga. Huwa wananyanyasika kwa mashabiki wa mtani zao kwa kutofanya vizuri katika michuano ya CAF. Ligi ya Mabingwa. . Wakati huu wakiwa wamesajili wachezaji wazuri huku akiendelea kumiliki wachezaji mafundi kama kina Pacome Zouzoua, Hersi akaitafutia Yanga kocha mwanafunzi. 😀 Ukitazama wasifu wa Folz, alikuwa amepita katika klabu kadhaa akiwa kama kocha msaidizi. Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari kwa kumleta Folz. Hajawahi kuwa kocha mkuu wala kutwaa taji lolote muhimu katika maisha yake ya mpira. Unawezaje kutimiza ndoto zako ukiwa na kocha wa namna hii. Katika lugha ya mtaani ya Waingereza tunaweza kusema Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari. ‘Gambling’. Haukuwa muda wa Yanga kucheza bahati nasibu. Ulikuwa muda wa wao kuwa na kocha ambaye ana uzoefu na anaweza kuishi katika falsafa zao. Matokeo yake Yanga wamejiweka katika hatari. Wameshafungwa ugenini na wageni wao wanaweza kuja na mbinu za ajabu. Injinia Hersi na wenzake ambao wanaongoza Yanga sasa hivi hawakufikiria kama wanaweza kuwa katika nafasi hii kwa sasa. Wakati wao wanaiwaza nusu fainali au fainali, tayari wapo hatarini kutofika hata makundi. - Edo Kumwembe, Mchambuzi.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·87 Views
  • Fc Barcelona wana nia ya dhati ya kumsajili nyota wa Marseille, Mason Greenwood na wameanza kufuatilia maendeleo yake tokea alipokuwa Getafe kwa mkopo .

    Taarifa zilizopo maskauti wa Fc Barcelona walikuwepo kwenye mchezo wa Marseille dhidi ya Le Havre uliopigwa weekend hii wakifuatilia kwa ukaribu maendeleo ya Mason Greenwood.

    Kwenye mchezo huo Greenwood aliisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 6-2 huku akifunga magoli 4.

    #SportsElite
    Fc Barcelona wana nia ya dhati ya kumsajili nyota wa Marseille, Mason Greenwood na wameanza kufuatilia maendeleo yake tokea alipokuwa Getafe kwa mkopo . Taarifa zilizopo maskauti wa Fc Barcelona walikuwepo kwenye mchezo wa Marseille dhidi ya Le Havre uliopigwa weekend hii wakifuatilia kwa ukaribu maendeleo ya Mason Greenwood. Kwenye mchezo huo Greenwood aliisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 6-2 huku akifunga magoli 4. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·98 Views
  • Burkina Faso yatangaza utaratibu mpya wa kusimamia fedha za mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs).

    Serikali ya Burkina Faso imechukua hatua mpya ya kuhakikisha uwazi na usimamizi madhubuti wa fedha zinazotumiwa na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) Nchini humo. Kuanzia sasa, mashirika yote yatahitajika kufungua akaunti katika Benki ya Kitaifa ya Amana ya Hazina (National Bank of Deposits of the Treasury).

    Uamuzi huo unalenga kufuatilia kwa karibu michakato ya kifedha ya mashirika hayo, na kuhakikisha kuwa fedha zinazotoka kwa wahisani zinatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa kwa uwazi na uwajibikaji wa hali ya juu.

    Hatua hii imezua mijadala kwenye majukwaa ya kijamii na ndani ya mashirika husika, ambapo baadhi wanaitazama kama njia ya kuimarisha nidhamu ya kifedha, huku wengine wakihofia kuingiliwa kwa uhuru wa mashirika ya kiraia.

    Serikali bado haijatoa taarifa ya kina kuhusu jinsi utekelezaji wa agizo hili utakavyofanyika, wala ikiwa kutakuwepo na muda maalum wa mpito kwa mashirika hayo kuhamia mfumo huo mpya wa kifedha.

    Toa maoni yako
    Burkina Faso yatangaza utaratibu mpya wa kusimamia fedha za mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs). Serikali ya Burkina Faso imechukua hatua mpya ya kuhakikisha uwazi na usimamizi madhubuti wa fedha zinazotumiwa na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) Nchini humo. Kuanzia sasa, mashirika yote yatahitajika kufungua akaunti katika Benki ya Kitaifa ya Amana ya Hazina (National Bank of Deposits of the Treasury). Uamuzi huo unalenga kufuatilia kwa karibu michakato ya kifedha ya mashirika hayo, na kuhakikisha kuwa fedha zinazotoka kwa wahisani zinatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa kwa uwazi na uwajibikaji wa hali ya juu. Hatua hii imezua mijadala kwenye majukwaa ya kijamii na ndani ya mashirika husika, ambapo baadhi wanaitazama kama njia ya kuimarisha nidhamu ya kifedha, huku wengine wakihofia kuingiliwa kwa uhuru wa mashirika ya kiraia. Serikali bado haijatoa taarifa ya kina kuhusu jinsi utekelezaji wa agizo hili utakavyofanyika, wala ikiwa kutakuwepo na muda maalum wa mpito kwa mashirika hayo kuhamia mfumo huo mpya wa kifedha. Toa maoni yako
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·177 Views
  • Alloyce Nyanda

    Mtani wangu @gersonmsigwa mbona umekanusha kwa herufi kubwa hivyo ku likes Picha ya Mange

    Unajua acha nikusaidie Mtani ufahamu kuwa katika Hii Dunia Serikali zote Duniani huwa zinajaribu kuhakikisha zina “control information

    Uki Control Informatio utakuwa na nguvu ya kumuita Malaika-Shetani na shetani ukamuita Malaika na dunia itatii na haitahoji.

    Wenye nguvu za utoaji wa taarifa za dunia waliwahi ku control Information na kuuambia ulimwengu kuwa Muammar al-Gaddafi ni gaidi na dunia ikatii amri

    Waliandika kwa lugha zao nasi tukatafsiri kwa lugha yetu na tukamuita mwana wa Afrika Gadafi ni Gaidi.

    “Information is power”. Sasa wewe badala ya Kupambana ku Control Information wewe unapambana Kukanusha haitakusaidia wewe wala serikali yetu.

    Na Ku control Information huwa sio kuzima Internet au kufunga Mitandao kwa sababu wanaotaka taarifa wameshajua watapataje ndio wana VPN na wapo tayari Kulipia

    nataka nikushauri Msemaji ukifanyie kazi kwa haraka badala ya kukanusha na kulalamika jenga uwezo wa kumiliki nguvu ya Taarifa iliyokaribu na umma.

    Jitaidi Pages za serikali zenye kutoa taarifa zifanye ziwe na nguvu ili ziwe karibu na jamii yake sasa haiwezekani Mange Kimambi awe na ukaribu na jamii kiasi hicho kuliko serikali yenyewe.

    Unakuta wizara ya Afya badala ya kutengeneza maudhui yenye kuisogeza jamii karibu nayo wao wanaweza hata kupost picha waziri anasalimiana na Dkt na kuigeuza kuwa jambo la maana kupeleka kwa watu .

    Sasa kwa hulka hiyo utawezaje Ku control Power ya Taarifa? ukimkuta Mange amechapa Hospital X haina Vifaa wananchi wanaona huyu ndiye anatusaidia na wewe @gersonmsigwa unabakiza kazi ya kukanusha tu wakati unayo nafasi ya kueleza situation ya Hospital hata kabla ya wengine kupost

    Lazima idara za serikali zigeuzwe kuwa na uwezo wa kufanya Visibility kubwa , unadhani wewe Msigwa utaweza peke yako? Utachekwa tu

    Utakanusha ma ngapi na utapinga Ma ngapi? maana hata leo kuonekana umelikes page umehaha mbaya why? Wewe Pambana kuifanya Jamii kuiamini serikali zaidi ili wampuuze Mange

    Unataka kweli U contol Information kwa mbinu ya Mwijaku au Mzee wangu au Mafufu? (Utaishia kuchekesha tu)

    Power of Informations
    Alloyce Nyanda ✍️ Mtani wangu @gersonmsigwa mbona umekanusha kwa herufi kubwa hivyo ku likes Picha ya Mange Unajua acha nikusaidie Mtani ufahamu kuwa katika Hii Dunia Serikali zote Duniani huwa zinajaribu kuhakikisha zina “control information Uki Control Informatio utakuwa na nguvu ya kumuita Malaika-Shetani na shetani ukamuita Malaika na dunia itatii na haitahoji. Wenye nguvu za utoaji wa taarifa za dunia waliwahi ku control Information na kuuambia ulimwengu kuwa Muammar al-Gaddafi ni gaidi na dunia ikatii amri Waliandika kwa lugha zao nasi tukatafsiri kwa lugha yetu na tukamuita mwana wa Afrika Gadafi ni Gaidi. “Information is power”. Sasa wewe badala ya Kupambana ku Control Information wewe unapambana Kukanusha haitakusaidia wewe wala serikali yetu. Na Ku control Information huwa sio kuzima Internet au kufunga Mitandao kwa sababu wanaotaka taarifa wameshajua watapataje ndio wana VPN na wapo tayari Kulipia nataka nikushauri Msemaji ukifanyie kazi kwa haraka badala ya kukanusha na kulalamika jenga uwezo wa kumiliki nguvu ya Taarifa iliyokaribu na umma. Jitaidi Pages za serikali zenye kutoa taarifa zifanye ziwe na nguvu ili ziwe karibu na jamii yake sasa haiwezekani Mange Kimambi awe na ukaribu na jamii kiasi hicho kuliko serikali yenyewe. Unakuta wizara ya Afya badala ya kutengeneza maudhui yenye kuisogeza jamii karibu nayo wao wanaweza hata kupost picha waziri anasalimiana na Dkt na kuigeuza kuwa jambo la maana kupeleka kwa watu . Sasa kwa hulka hiyo utawezaje Ku control Power ya Taarifa? ukimkuta Mange amechapa Hospital X haina Vifaa wananchi wanaona huyu ndiye anatusaidia na wewe @gersonmsigwa unabakiza kazi ya kukanusha tu wakati unayo nafasi ya kueleza situation ya Hospital hata kabla ya wengine kupost Lazima idara za serikali zigeuzwe kuwa na uwezo wa kufanya Visibility kubwa , unadhani wewe Msigwa utaweza peke yako? Utachekwa tu Utakanusha ma ngapi na utapinga Ma ngapi? maana hata leo kuonekana umelikes page umehaha mbaya why? Wewe Pambana kuifanya Jamii kuiamini serikali zaidi ili wampuuze Mange Unataka kweli U contol Information kwa mbinu ya Mwijaku au Mzee wangu au Mafufu? (Utaishia kuchekesha tu) Power of Informations
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·204 Views
  • Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG).

    Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza.

    Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa?

    FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE
    Ureno 2-2 Uhispania (P 5-3)
    Mendes
    Ronaldo

    Zubimendi
    Oyarzabal

    #UCL
    Barcelona 1-2 PSG
    19' Torres
    38' Mayulu( Mendes)
    90' Ramos ( Hakimi)


    #SportsElite
    Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG). Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza. ✍️ Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa? FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE Ureno 🇵🇹 2-2 🇪🇸 Uhispania (P 5-3) ⚽ Mendes ⚽ Ronaldo ⚽ Zubimendi ⚽ Oyarzabal #UCL Barcelona 🇪🇸 1-2 🇫🇷 PSG ⚽ 19' Torres ⚽ 38' Mayulu(🅰️ Mendes) ⚽ 90' Ramos (🅰️ Hakimi) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·522 Views
  • master kampungi
    Karibu Ofisini.
    [kamp_59] Karibu Ofisini.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·257 Views
  • Social Pop
    Karibu Sana Ofisini.
    [Socialpop1] Karibu Sana Ofisini.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·638 Views
  • David Atto
    Karibu Sana Katika Tiba Fika Ofisini Sasa.
    [Mefa] Karibu Sana Katika Tiba Fika Ofisini Sasa.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·340 Views
  • Karibu sana katika huduma ya tiba insha allah napatikana kisemvule, pwani. Social Pop
    Karibu sana katika huduma ya tiba insha allah napatikana kisemvule, pwani. [Socialpop1]
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·683 Views
  • Kwa sauti zetu mtu wa Mungu tunapaswa kumuita Bwana mpaka asikie kwani BWANA kwa asili yake anataka mwanadamu amwite .

    Zaburi 3:4-6

    Zaburi 3:4
    [4]Kwa sauti yangu namwita BWANA
    Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.

    Kanuni ya Mungu ni kuwa niiteni nami nitasikia na nitafuteni nanyi mtaniona .

    Kumbe ili Mungu akusikie kwa uhuru anataka upaze sauti yako kumtafuta kwa kuomba na kumpendeza yeye naye ana asili ya kuwasikia walio wake .

    Ni wanao mwita Bwana peke yake ndiyo Bwana anawategemeza na Bwana akikutegemeza unakuwa na jjasiri nakutembea kifua mbele bila kuogopa mabaya.

    Ndipo daudi anasema naaam
    Zaburi 23:4
    [4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
    Sitaogopa mabaya;
    Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
    Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

    Changamoto yetu katika magumu yetu hatumwiti Bwana bali tunawaita watu tunasahau hata hao tunao wategemea nao ni kazi ya mikono yake ,ni Bwana peke yake unakuwa na ujasiri na amani akikutegemeza,

    Mwanadamu usalama wake upo katika kuwa na Bwana, MTU akimkosa Mungu hana ujasiri wa kusema yuko salama kwani sauti yake inageuka kuwa kelele machoni pa watu na hata machoni pa Mungu.

    #Zaburi 4:8
    [8]Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara,
    Maana Wewe, BWANA, peke yako,
    Ndiwe unijaliaye kukaa salama.

    Salama ya mwanadamu kulala na kuamka ni katika kumpazia Mungu sauti yake na ni vizuri sana kumpazia Mungu sauti kwa kuomba ili uweze kuwa salama .

    #Mithali 3:23-24
    [23]Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama,
    Wala mguu wako hautakwaa.
    .
    [24]Ulalapo hutaona hofu;
    Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.

    Ahsante sana , nikutakie jioni njema na siku njema.

    Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    Kwa mafundisho zaidi karibu katika group la watsap.

    Tuma nenl Add kwenda 0622625340

    #build new eden
    #restore men position
    Kwa sauti zetu mtu wa Mungu tunapaswa kumuita Bwana mpaka asikie kwani BWANA kwa asili yake anataka mwanadamu amwite . Zaburi 3:4-6 Zaburi 3:4 [4]Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu. Kanuni ya Mungu ni kuwa niiteni nami nitasikia na nitafuteni nanyi mtaniona . Kumbe ili Mungu akusikie kwa uhuru anataka upaze sauti yako kumtafuta kwa kuomba na kumpendeza yeye naye ana asili ya kuwasikia walio wake . Ni wanao mwita Bwana peke yake ndiyo Bwana anawategemeza na Bwana akikutegemeza unakuwa na jjasiri nakutembea kifua mbele bila kuogopa mabaya. Ndipo daudi anasema naaam Zaburi 23:4 [4]Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Changamoto yetu katika magumu yetu hatumwiti Bwana bali tunawaita watu tunasahau hata hao tunao wategemea nao ni kazi ya mikono yake ,ni Bwana peke yake unakuwa na ujasiri na amani akikutegemeza, Mwanadamu usalama wake upo katika kuwa na Bwana, MTU akimkosa Mungu hana ujasiri wa kusema yuko salama kwani sauti yake inageuka kuwa kelele machoni pa watu na hata machoni pa Mungu. #Zaburi 4:8 [8]Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama. Salama ya mwanadamu kulala na kuamka ni katika kumpazia Mungu sauti yake na ni vizuri sana kumpazia Mungu sauti kwa kuomba ili uweze kuwa salama . #Mithali 3:23-24 [23]Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. . [24]Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu. Ahsante sana , nikutakie jioni njema na siku njema. Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) Kwa mafundisho zaidi karibu katika group la watsap. Tuma nenl Add kwenda 0622625340 #build new eden #restore men position
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·871 Views
  • BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.

    Here we Go hivi karibuni.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.🔴 🇨🇴 Here we Go hivi karibuni. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·592 Views
  • Tottenham Hotspur iko karibu kukamilisha uhamisho wa mkopo kwa Rodrygo .


    (Source: Defensa Central)

    #SportsElite
    🚨 Tottenham Hotspur iko karibu kukamilisha uhamisho wa mkopo kwa Rodrygo . (Source: Defensa Central) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·185 Views
  • Karibu Simba SC, Neo Maema.

    Karibu Simba SC, Neo Maema.🦁💪
    Love
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·659 Views
  • Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo.

    Source Pletti Goal

    #SportsElite
    🚨 Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo. 🟡 🇩🇪 Source Pletti Goal #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·364 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wolves iko karibu kukamilisha uhamisho wa Ladislav Krejčí (26) kutoka Girona.

    Ada ya uhamisho €30m,

    reports @MatteMoretto.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wolves iko karibu kukamilisha uhamisho wa Ladislav Krejčí (26) kutoka Girona. Ada ya uhamisho €30m, reports @MatteMoretto. 🐺 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·223 Views
  • Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka

    Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.

    Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.

    Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.

    Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.

    🚨Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·625 Views
  • Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni.

    (Source: Daily Mail Sport)

    #SportsElite
    🚨 Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·244 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M .

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M . (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·161 Views
  • Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott.

    Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott....

    (Source: Sun Sport)

    #SportsElite
    🚨 Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott. Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott.... (Source: Sun Sport) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·403 Views
  • Savinho Kutimkia Spurs *

    Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho.

    Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo.

    #SportsElite
    🚨Savinho Kutimkia Spurs 🤝* Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho. Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·353 Views
Sponsorizeaza Paginile