TUSHA JUA
; Wengi hawaelewi kwanini yanga imeshuka ghafla kiwango Cha wachezaji kipo low kabisa
, Baada ya uchunguzi wetu mfupi tumegundua kunakitu kinaitwa matabaka kitu hiki yumekiona katika timu ya yanga hii ya mwisho wa mwezi wa GAMONDI na timu hii ya RAMOVIC, Kuna mchezaji kama DJIGUI DIARA hivi sasa hakubariki na Wachezaji wenzake, chunguza Kwa kina Diara akifungwa saivi Hana Ile mudi ya kulalamika kama ilivyo kuwa zamani.
Ukiangalia mechi ya NAMUNGO Na YANGA alidaka KHOMEINI ABUBAKHAR Na YANGA ikapata ushindi na mchezo wa Yanga ulibadilika Kwa kiasi kikubwa mnoo!! Kwanini Jana Alivyo daka DIARA yanga ikafungwa tena magoli yakizembe WHY!!?
Dondosha comment hapo chini Kisha follow page yetu
#sokachampions
TUSHA JUA🫂; Wengi hawaelewi kwanini yanga imeshuka ghafla kiwango Cha wachezaji kipo low kabisa💪, Baada ya uchunguzi wetu mfupi tumegundua kunakitu kinaitwa matabaka kitu hiki yumekiona katika timu ya yanga hii ya mwisho wa mwezi wa GAMONDI na timu hii ya RAMOVIC, Kuna mchezaji kama DJIGUI DIARA hivi sasa hakubariki na Wachezaji wenzake, chunguza Kwa kina Diara akifungwa saivi Hana Ile mudi ya kulalamika kama ilivyo kuwa zamani.
Ukiangalia mechi ya NAMUNGO Na YANGA alidaka KHOMEINI ABUBAKHAR Na YANGA ikapata ushindi na mchezo wa Yanga ulibadilika Kwa kiasi kikubwa mnoo!! Kwanini Jana Alivyo daka DIARA yanga ikafungwa tena magoli yakizembe WHY!!?
Dondosha comment hapo chini Kisha follow page yetu #sokachampions