NIVESHE IDD
Alhamdulillah
Jana tumetoa sadaka z iftar kwa wajane n walemavu
ndugu Nawaomba
Pia tuna watoto 10 yatima wanafunga Wallah tuwakumbuke TUVESHE HAWA WATOTO WETU 10
KILA MTOTO NI 60,000 INAMTOSHA
60,000×10=600,000
Tumebakisha siku 15 tu kufikia idd naomba...
Shakira Nantambalele
2025-03-19 10:31:01