Upgrade to Pro

  • 𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔

    ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

    ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.

    ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.

    ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.

    • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich

    • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).

    ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).

    ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.

    ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!

    ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.

    ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).

    ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.

    ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).

    ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake

    ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)

    ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).

    • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.

    ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !

    ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.

    ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.

    ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City

    FACTS gani imekushangaza ?

    🚨𝗙𝗔𝗖𝗧𝗦 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 ➜ Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi 🇦🇷 na Cristiano Ronaldo 🇵🇹 ➜ Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011. ➜ Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ⚽) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona. ➜ Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja. • Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich 🇩🇪 • Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23). ➜ 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3). ➜ Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia. ➜ Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !! ➜ Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !. ➜ Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015). ➜ Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league. ➜ Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5). ➜ Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake 😀 ➜ Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs) ➜ Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B). • 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu. ➜ Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! 😀 ➜ Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima. ➜ Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card. ♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City FACTS gani imekushangaza ? 😎
    ·323 Views
  • Like
    1
    ·49 Views
  • Like
    Love
    Wow
    5
    ·113 Views ·74 Views
  • Jifunze namna ya kutengeneza WhatsApp Bot

    Fungua website yetu START NOW
    Choose WHATSAPP BOT DEPLOYMENT
    Hapo utaona masomo yote namna ya kudeploy kwa upande wa heroku tulishaelezana zaman ila kwa sasa ili uweze kutumia heroku inabidi uwe na account ambayo umeweka account yako ya bank ya ukwel, zamani tulizoea kutumia fake card kwa sasa huwez

    Hivyo hapo chini kuna service za kupata account hizo
    - Kupata account ya heroku iliyolipiwa unachangia Tsh 5000/=
    - Kupata malipo kama tayari una account yako ya heroku ni 4000/=
    - Kupata mwaliko kwenye timu yangu ambayo ukishapata mwaliko unaweza kudeploy Bot bila kuwa na shida ya kuhitaji mpaka uweke kadi yako ni 3000/=

    MFUMO WA MALIPO UPO VIZURI BINYA KWENYE BUTTON YA HUDUMA UNAYOTAKA KISHA UTAONA MAELEZO YOTE NI CHAP KWA HARAKA

    Baada ya malipo njoo na screeshot ya muamala kwenye namba 255749750707

    Hilo ndo somo la kwanza katika kutengeneza Bot tunakuja na Masomo mengi ili kila mtu aweze kuelewa kwa urahisi

    Our website https://shorturl.at/78Yrs
    Jifunze namna ya kutengeneza WhatsApp Bot Fungua website yetu START NOW Choose WHATSAPP BOT DEPLOYMENT Hapo utaona masomo yote namna ya kudeploy kwa upande wa heroku tulishaelezana zaman ila kwa sasa ili uweze kutumia heroku inabidi uwe na account ambayo umeweka account yako ya bank ya ukwel, zamani tulizoea kutumia fake card kwa sasa huwez Hivyo hapo chini kuna service za kupata account hizo - Kupata account ya heroku iliyolipiwa unachangia Tsh 5000/= - Kupata malipo kama tayari una account yako ya heroku ni 4000/= - Kupata mwaliko kwenye timu yangu ambayo ukishapata mwaliko unaweza kudeploy Bot bila kuwa na shida ya kuhitaji mpaka uweke kadi yako ni 3000/= MFUMO WA MALIPO UPO VIZURI BINYA KWENYE BUTTON YA HUDUMA UNAYOTAKA KISHA UTAONA MAELEZO YOTE NI CHAP KWA HARAKA Baada ya malipo njoo na screeshot ya muamala kwenye namba 255749750707 Hilo ndo somo la kwanza katika kutengeneza Bot tunakuja na Masomo mengi ili kila mtu aweze kuelewa kwa urahisi Our website https://shorturl.at/78Yrs
    SHORTURL.AT
    MENDEZ HOME
    ·169 Views
  • Ukinunua Account ya heroku moja, Utakuwa na Access ya kuweza kutengeneza bots 1-7

    Ukipewa team invitation utakuwa na uwezo wa kutengeneza bot 1-2

    Asikudanganye mtu Bot za heroku huwa zinakuwa ON kwa mwezi mmoja 24/7

    Tembelea website yetu kupata access ya kupata Bot
    https://shorturl.at/wobqv

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    Ukinunua Account ya heroku moja, Utakuwa na Access ya kuweza kutengeneza bots 1-7 Ukipewa team invitation utakuwa na uwezo wa kutengeneza bot 1-2 Asikudanganye mtu Bot za heroku huwa zinakuwa ON kwa mwezi mmoja 24/7 Tembelea website yetu kupata access ya kupata Bot https://shorturl.at/wobqv > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    SHORTURL.AT
    DUDUU_MENDEZ COMMUNITY
    ·108 Views
  • Usinunue Bot kwa mtu ni heri ujifunze hata kama itatumia mda ila baada ya kujua utakuwa na uwezo wa kutengeneza bot kwa idadi yeyote ile unayotaka

    Hatua ya kwanza tengeneza account ya github.com ambayo ni bure

    Hatua ya pili tengeneza account ya heroku kisha weka kadi yako bank ulipie kama unataka kununua account ya heroku au tiyari una account ila huna kadi ya bank kwenye account yako njoo tukupatie huduma katika hii site yetu

    https://shorturl.at/wobqv

    Huduma ya malipo ipo kwa kila aina ya mtandao hata kwa njia ya bank na ipo varified na kwa kila mtandao hapo kwetu hakuna utapeli kila kitu ni halali na kuna risiti

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1
    ▶︎ ●────────── 0:41
    Usinunue Bot kwa mtu ni heri ujifunze hata kama itatumia mda ila baada ya kujua utakuwa na uwezo wa kutengeneza bot kwa idadi yeyote ile unayotaka Hatua ya kwanza tengeneza account ya github.com ambayo ni bure Hatua ya pili tengeneza account ya heroku kisha weka kadi yako bank ulipie kama unataka kununua account ya heroku au tiyari una account ila huna kadi ya bank kwenye account yako njoo tukupatie huduma katika hii site yetu https://shorturl.at/wobqv Huduma ya malipo ipo kwa kila aina ya mtandao hata kwa njia ya bank na ipo varified na kwa kila mtandao hapo kwetu hakuna utapeli kila kitu ni halali na kuna risiti > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1 ▶︎ ●────────── 0:41
    SHORTURL.AT
    DUDUU_MENDEZ COMMUNITY
    ·144 Views
  • https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04
    NOW YOU CAN DEPLOY GIFTED-MD on Host Talk Drove for free and simple

    How to deploy Video tutorial
    https://youtu.be/1ODAvpW9D98?si=UKlwq3q26FZrJjAg


    Deploy Your Bot here
    https://host.talkdrove.com/auth/signup?ref=E565C590


    Get session id here
    https://session.giftedtech.my.id/pair


    Video prepared by DUDUU_MENDEZ and verified by BOT OWNER Gifted-Md

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1
    ▶︎ ●────────── 0:41
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04 NOW YOU CAN DEPLOY GIFTED-MD on Host Talk Drove for free and simple How to deploy Video tutorial https://youtu.be/1ODAvpW9D98?si=UKlwq3q26FZrJjAg Deploy Your Bot here https://host.talkdrove.com/auth/signup?ref=E565C590 Get session id here https://session.giftedtech.my.id/pair Video prepared by DUDUU_MENDEZ and verified by BOT OWNER Gifted-Md > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1 ▶︎ ●────────── 0:41
    WHATSAPP.COM
    DUDUU_MENDEZ TIPS | WhatsApp Channel
    DUDUU_MENDEZ TIPS WhatsApp Channel. Get full Internet and networking tips. 51 followers
    ·299 Views
  • Hustles zinaumiza sana we acha watu waliojipata wavimbe maana wanastahili na pia upunguze ushauri hapa nilipogikia ndio naelewa sasa
    Hustles zinaumiza sana we acha watu waliojipata wavimbe maana wanastahili na pia upunguze ushauri hapa nilipogikia ndio naelewa sasa
    Like
    2
    ·33 Views
  • Like
    Love
    8
    2 Comments ·118 Views
  • Love
    Like
    7
    1 Comments ·117 Views