MTOTO WA KIUME NI MWANAUME. Msaidie ajue namna ya kulinda,kutunza, kuthamini na kuheshimu uanaume wake.
Yeye ni Kiongozi. Mfundishe Mbinu Za Uongozi Bora.
Msimamo, Asiyumbishwe Na Maneno Au Matukio Mbalimbali Ya Kijamii Na Kimaisha.
Akiharibika Tumeharibu Mbegu.
Kama nyumba inavyojengwa juu ya msingi imara ikishikiliwa na nguzo basi ndivyo alivyo mtoto wa kiume katika familia na jamii.

1 Comments
·133 Views