Upgrade to Pro

  • Love
    Like
    3
    1 Comments ·60 Views ·41 Views
  • Mbape wa kongo ni mmoja tu kwenye nchi hii ya fulaa na amani haikuwai kutokea dunian kote
    Mbape wa kongo ni mmoja tu kwenye nchi hii ya fulaa na amani haikuwai kutokea dunian kote 👑👏👏💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💚💛💚
    Like
    1
    ·8 Views
  • Aheli ukosee kujenga nyumba unaweza ukaibomoa lakin usikosee kuoa maana ukikosea kuoa basi itakufanya uanze mwanzo kimaisha so akili kichwani mwako
    Aheli ukosee kujenga nyumba unaweza ukaibomoa lakin usikosee kuoa maana ukikosea kuoa basi itakufanya uanze mwanzo kimaisha so akili kichwani mwako 😀😀😀
    Like
    1
    ·11 Views
  • Tapeli mwingine huyu mchezaji wa show game ndiyo maana alifeli Belgium timu inashinda magoli 5 hana mchango wa goli hata moja ndiyo hapo nilijua hamna kitu
    Tapeli mwingine huyu mchezaji wa show game ndiyo maana alifeli Belgium timu inashinda magoli 5 hana mchango wa goli hata moja ndiyo hapo nilijua hamna kitu
    Like
    1
    ·10 Views
  • Like
    2
    ·4 Views
  • KUMBE BILA REFA HAWASHINDI BHANA.
    🚨KUMBE BILA REFA HAWASHINDI BHANA.🤣😀
    Like
    1
    ·7 Views
  • Haji Manara aomba radhi kwa Jeshi la Polisi la Magereza baada ya Haji kumfokea na kumkejeli (na kumdharau) mmoja wa Askari wake baada ya mchezo wa klabu ya Yanga SC dhidi ya klabu ya Tanzania Prisons. Haji Manara alitaka kufanya mahojiano na Waandishi wa habari lakini Askari huyo wa Magereza akamtata Haji Manara asifanye mahojiano hayo sehemu ambayo alitaka kufanya kwa sababu ilikuwa sio mahali sahihi kwa ajili ya kufanya mahojiano.

    Mara baada ya Askari huyo kumkata Haji Manara asifanye mahojiano eneo lile, Haji aligoma na kutoa maneno yasiofaa kwa Askari huyo huku akimvimbua na kumwambia kuwa yeye ni Askari Magereza tu, hawezi kumfanya chochote kile.

    "Kwa heshma na Unyenyekevu mkubwa naomba nirudie tena kwa maandishi kuliomba radhi Jeshi la Magereza,Askari na Wote waliotharika na Sakata la Juzi,,,
    Hakuna Maneno yanayotosha kuzidi neno samahani,ukizingatia hapo awali tulikuwa tunaongea maneno ya kishabiki,,,
    Heshma yangu kwa Taasisi hii na nyingine za Dola haiwezi kuwa na mbadala wa kuomba sana Taaaisi hii muhimu Radhi kwa Viongozi wa Jeshi na Askari wake wote,,

    Asanteni sana " - Haji Manara, Shabiki wa klabu ya Yanga SC.
    Haji Manara aomba radhi kwa Jeshi la Polisi la Magereza baada ya Haji kumfokea na kumkejeli (na kumdharau) mmoja wa Askari wake baada ya mchezo wa klabu ya Yanga SC dhidi ya klabu ya Tanzania Prisons. Haji Manara alitaka kufanya mahojiano na Waandishi wa habari lakini Askari huyo wa Magereza akamtata Haji Manara asifanye mahojiano hayo sehemu ambayo alitaka kufanya kwa sababu ilikuwa sio mahali sahihi kwa ajili ya kufanya mahojiano. Mara baada ya Askari huyo kumkata Haji Manara asifanye mahojiano eneo lile, Haji aligoma na kutoa maneno yasiofaa kwa Askari huyo huku akimvimbua na kumwambia kuwa yeye ni Askari Magereza tu, hawezi kumfanya chochote kile. "Kwa heshma na Unyenyekevu mkubwa naomba nirudie tena kwa maandishi kuliomba radhi Jeshi la Magereza,Askari na Wote waliotharika na Sakata la Juzi,,, Hakuna Maneno yanayotosha kuzidi neno samahani,ukizingatia hapo awali tulikuwa tunaongea maneno ya kishabiki,,, Heshma yangu kwa Taasisi hii na nyingine za Dola haiwezi kuwa na mbadala wa kuomba sana Taaaisi hii muhimu Radhi kwa Viongozi wa Jeshi na Askari wake wote,, Asanteni sana 🙏🙏🙏" - Haji Manara, Shabiki wa klabu ya Yanga SC.
    ·26 Views
  • ·10 Views
  • Kumbe mtambo "ulitestiwa" kabla ya mchezo, sikuiona jamani
    Kumbe mtambo "ulitestiwa" kabla ya mchezo, sikuiona jamani 😂😆😂
    ·12 Views
  • Simba SC ndiyo klabu iliyofunga mabao mengi ya penati katika Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa ambapo imefunga mabao sita (6) dhidi ya klabu zifuatazo:

    - Coastal Union
    - Dodoma Jiji Fc
    - KMC FC
    - Pamba Jiji
    - Kengold Fc
    - JKT Tanzania

    Simba SC ndiyo klabu iliyofunga mabao mengi ya penati katika Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa ambapo imefunga mabao sita (6) dhidi ya klabu zifuatazo: - Coastal Union - Dodoma Jiji Fc - KMC FC - Pamba Jiji - Kengold Fc - JKT Tanzania
    ·18 Views