Upgrade to Pro

  • TODAY'S TIPS. 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 COMMUNITY

    Link za kitapeli au link zisizoaminika
    Usije ukachukulia poah pale unapotumiwa link ambazo huzielew na ukazifungua? Inaweza kuwa hatari

    Wakati unafungua hizo link ambazo hacker kazituma baada ya kutumia njia inayofahamika kama PHISHING ATTACK, unaweza kupoteza data zako za muhimu, taarifa zako za simu anaweza kuzichukua, unaweza kupata viruses and malware kwenye simu yako, kifaa chako kuwa hacked na kuibiwa password na vitu vya muhimu

    Kuna watu wanasema simu yako haina cha faida anachoweza akaiba akafaidika, Hacker siku zote huwa anafikiria sana zaidi ya malengo yako, akiona kifaa chako hakina Vitu vya muhimu bas atatumia kifaa hicho kupata hivyo vitu kwa wengine au kutumia kifaa chako kufanya Uhalifu bila ww kujua.

    NB: _TUWENI MAKINI NA LINK TUNAZOFUNGUA_

    NAMNA YA KUTAMBUA LINK ZA KITAPELI
    Domain ya hizi link huwa haieleweki mfano mtu anaweza kujifanya anatoa zawadi kutoka vodacom link yake itakuw kam hivi (www.voda.reward.xyz) wakati domain halisi ya vodacom inatakiwa iwe (www.vodacom.co.tz) au (www.vodacom.com)

    KAMA UNAONA LINK INATIA MASHAKA COPY HIO KISHA PASTE KWENYE BROWSER KAMA (BRAVE, TOR BROWSER)
    Hizo browser zitapunguza attacking effect

    _EPUKA KUFUNGUA LINK BILA KUWA NA UHAKIKA NAYO_

    MERRY CHRISTMAS FAMS

    #Duduumendez
    #Duduu_mendez

    For more tips follow me telegram Duduu_mendez_backup
    TODAY'S TIPS. 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 COMMUNITY Link za kitapeli au link zisizoaminika Usije ukachukulia poah pale unapotumiwa link ambazo huzielew na ukazifungua? Inaweza kuwa hatari Wakati unafungua hizo link ambazo hacker kazituma baada ya kutumia njia inayofahamika kama PHISHING ATTACK, unaweza kupoteza data zako za muhimu, taarifa zako za simu anaweza kuzichukua, unaweza kupata viruses and malware kwenye simu yako, kifaa chako kuwa hacked na kuibiwa password na vitu vya muhimu Kuna watu wanasema simu yako haina cha faida anachoweza akaiba akafaidika, Hacker siku zote huwa anafikiria sana zaidi ya malengo yako, akiona kifaa chako hakina Vitu vya muhimu bas atatumia kifaa hicho kupata hivyo vitu kwa wengine au kutumia kifaa chako kufanya Uhalifu bila ww kujua. NB: _TUWENI MAKINI NA LINK TUNAZOFUNGUA_ NAMNA YA KUTAMBUA LINK ZA KITAPELI Domain ya hizi link huwa haieleweki mfano mtu anaweza kujifanya anatoa zawadi kutoka vodacom link yake itakuw kam hivi (www.voda.reward.xyz) wakati domain halisi ya vodacom inatakiwa iwe (www.vodacom.co.tz) au (www.vodacom.com) KAMA UNAONA LINK INATIA MASHAKA COPY HIO KISHA PASTE KWENYE BROWSER KAMA (BRAVE, TOR BROWSER) Hizo browser zitapunguza attacking effect _EPUKA KUFUNGUA LINK BILA KUWA NA UHAKIKA NAYO_ MERRY CHRISTMAS FAMS #Duduumendez #Duduu_mendez For more tips follow me telegram Duduu_mendez_backup
    Like
    1
    2 Comments ·15 Views
  • Kwenye Press yake ya kwanza aliyofanya baada ya kukabidhiwa timu, Kocha Sead Ramovic akiielezea style na Falsafa zake za uchezaji alisema;

    "I like this kind of heavy rock and roll game to attack and press, not to let the opponent breath"

    1. Kuzuia kwa shinikizo kubwa kwaajili ya kupora umiliki wa mpira pindi ukiwa kwa wapinzani wao (High Pressure defensive style), na kuanza kuzuia kwa haraka na shinikizo kubwa pindi wanapopoteza umiliki wa mpira (Counter Pressing)

    2. Kushambulia kwa mashambulizi ya moja kwa moja na kushambulia kwa kujibu pindi wanapopokonya umiliki wa mpira baada ya kuzuia kwa presha kubwa

    - Hichi ndicho wanachokionesha kwasasa

    Yanga leo msingi wa Ubora wao ulianzia Kwa namna Wanavyozuia kwa "NJAA KALI" wakiwa na miundo miwili ya kimkakati hasa kuzuia Dodoma Kupita katikati kwa viungo wa kati.

    - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-2-3-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Kiungo mmoja, Daudi
    - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-1-4-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Viungo wawili wa kati, Daudi na Hoza

    Hii ina maana Yanga walikuwa wana adapt idadi ya wachezaji wa Dodoma wanaoweza ku-progress build up kutoka nyuma, ambapo;

    - Aziz na Mudathir waliwa-mark Daudi na Hoza kuzuia Central Progressions
    - Mzize na Pacome walisimama katikati ya Full Backs na Center Backs wa Dodoma kuzuia Wide Progressions
    - Yanga walimsimamisha Dube mbele, akawa dhidi ya mabeki wawili na kipa wa Dodoma kutowapa uhuru

    Lengo la pili la Yanga likawa kupora mipira na kujibu mashambulizi kwenye moment ndiyo MECHANISM ya magoli yote yalipochorwa;

    - Wachezaji walijua tendo linalofuata baada ya kupora mpira
    - wakishambulia space behind haraka, wakafaidika na kasi yao iliyozidi RECOVERY RUNS za wachezaji wa Dodoma

    Siyo kwamba Dodoma hawakuwa wafanisi, bali kasi yao ya Ufanisi ilizidiwa na Presha ya Yanga, baada ya Presha;

    - Quick Runs behind
    - Wapo kwa idadi kubwa
    - Energetic
    - Accuracy ya matendo

    PIRA ,GUSA, ACHIA TWENDE KWAO

    👉 Kwenye Press yake ya kwanza aliyofanya baada ya kukabidhiwa timu, Kocha Sead Ramovic akiielezea style na Falsafa zake za uchezaji alisema; 🗣️ "I like this kind of heavy rock and roll game to attack and press, not to let the opponent breath" 1. Kuzuia kwa shinikizo kubwa kwaajili ya kupora umiliki wa mpira pindi ukiwa kwa wapinzani wao (High Pressure defensive style), na kuanza kuzuia kwa haraka na shinikizo kubwa pindi wanapopoteza umiliki wa mpira (Counter Pressing) 2. Kushambulia kwa mashambulizi ya moja kwa moja na kushambulia kwa kujibu pindi wanapopokonya umiliki wa mpira baada ya kuzuia kwa presha kubwa - Hichi ndicho wanachokionesha kwasasa 👉 Yanga leo msingi wa Ubora wao ulianzia Kwa namna Wanavyozuia kwa "NJAA KALI" wakiwa na miundo miwili ya kimkakati hasa kuzuia Dodoma Kupita katikati kwa viungo wa kati. - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-2-3-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Kiungo mmoja, Daudi - Kuna nyakati Yanga Walizuia na 4-1-4-1, hizi ni nyakati Dodoma wakijenga shambulizi na Viungo wawili wa kati, Daudi na Hoza 👉 Hii ina maana Yanga walikuwa wana adapt idadi ya wachezaji wa Dodoma wanaoweza ku-progress build up kutoka nyuma, ambapo; - Aziz na Mudathir waliwa-mark Daudi na Hoza kuzuia Central Progressions - Mzize na Pacome walisimama katikati ya Full Backs na Center Backs wa Dodoma kuzuia Wide Progressions - Yanga walimsimamisha Dube mbele, akawa dhidi ya mabeki wawili na kipa wa Dodoma kutowapa uhuru 👉 Lengo la pili la Yanga likawa kupora mipira na kujibu mashambulizi kwenye moment ndiyo MECHANISM ya magoli yote yalipochorwa; - Wachezaji walijua tendo linalofuata baada ya kupora mpira - wakishambulia space behind haraka, wakafaidika na kasi yao iliyozidi RECOVERY RUNS za wachezaji wa Dodoma 👉 Siyo kwamba Dodoma hawakuwa wafanisi, bali kasi yao ya Ufanisi ilizidiwa na Presha ya Yanga, baada ya Presha; - Quick Runs behind - Wapo kwa idadi kubwa - Energetic - Accuracy ya matendo PIRA ,GUSA, ACHIA TWENDE KWAO 🙌
    ·16 Views
  • ·10 Views
  • Like
    2
    ·2 Views
  • 4Gplus
    4Gplus
    Like
    2
    ·2 Views
  • Like
    Love
    Angry
    5
    ·39 Views ·40 Views
  • ·9 Views
  • ·9 Views
  • Klabu ya CS Sfaxien imepigwa faini na Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) ya Dola elfu (50) ambazo ni takribani Shilingi milioni (119) pamoja na kufungiwa Mashabiki wao kuingia Uwanjani kwa michezo miwili kufuatia vurugu zilizotokea kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Simba SC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

    Michezo miwili ambayo watacheza bila Mashabiki ni pamoja na:

    - Cs Sfaxien vs Simba SC
    - Cs Sfaxien vs Bravos.
    Klabu ya CS Sfaxien imepigwa faini na Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) ya Dola elfu (50) ambazo ni takribani Shilingi milioni (119) pamoja na kufungiwa Mashabiki wao kuingia Uwanjani kwa michezo miwili kufuatia vurugu zilizotokea kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Simba SC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Michezo miwili ambayo watacheza bila Mashabiki ni pamoja na: - Cs Sfaxien vs Simba SC - Cs Sfaxien vs Bravos.
    ·15 Views
  • Like
    1
    1 Comments ·2 Views