Afisa wa zamani wa gereza la HMP Wandsworth nchini Uingereza, Linda De Sousa Abreu (30) amehukumiwa miezi 15 jela baada ya kuonekana kwenye video iliyosambaa mitandaoni akifanya mapenzi na mfungwa mwezi Juni, 2024.
Mahakama imeeleza kuwa video hiyo iliyosambaa mtandaoni siyo tukio moja tu, bali ni tabia yake ya kujirudia, huku Polisi wa Metropolitan wakiendelea na uchunguzi kuhusu wafungwa wawili waliotambulika kwenye video hiyo.