·3 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
"*Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele chama chetu". ameandika Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe*
*Alfajiri ya leo Januari 22, 2025, wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa CHADEMA wanaokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Dar es Salaam wamepiga kura kuchagua Mwenyekiti wa chama hicho Taifa ambapo Mbowe na Tundu Lissu wote walikuwa wakiwania kiti hicho.*
"*Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele chama chetu". ameandika Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe* *Alfajiri ya leo Januari 22, 2025, wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa CHADEMA wanaokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Dar es Salaam wamepiga kura kuchagua Mwenyekiti wa chama hicho Taifa ambapo Mbowe na Tundu Lissu wote walikuwa wakiwania kiti hicho.*·4 Views