0 Comments
·0 Shares
·31 Views
-
-
Sauti ya Mungu na maelekezo ya Mungu imeandaliwa specific kwa wanadamu.
Mithali 8:4
[4]Enyi watu, nawaita ninyi;
Na sauti yangu ni kwa wanadamu.
Mwanadamu anaye sikia sauti ya Mungu ndiye anayekuwa mtawala wa kila kitu.
Mwanzo 1:26
[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Kama ukiweza kuishi katika mapenzi ya Mungu basi yeye ni kila kitu .
Mtu baada ya kuokoka anaznza kutembea katka kusudi la Mungu,kusikia sauti ya Mungu lazima la atapata zaidi ya vile aombavyo.
Kanuni ya kupata katokeo unaposikia sauti ya Mungu.
Mali ni zawadi ,nyumba ni zawadi lakini ili upate izo zawadi lazima ufuate kanuni ya kumcha MUNGU.
Mithali 8:13
[13]Kumcha BWANA ni kuchukia uovu;
Kiburi na majivuno, na njia mbovu,
Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
Kumbz ili ufike kusema unamcha Bwana lazima uwe mtu wa kuchukia uovu kwa moyo wote .
Na mtu ili awe wake Mungu au afanyike kuwa mwana lazima achukie uovu seriously kabisa.
Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)
Kwa mafundisho zaidi unaweza kujiungaletu la watsap.
https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4
#Build new eden
#RestoremenpositionSauti ya Mungu na maelekezo ya Mungu imeandaliwa specific kwa wanadamu. Mithali 8:4 [4]Enyi watu, nawaita ninyi; Na sauti yangu ni kwa wanadamu. Mwanadamu anaye sikia sauti ya Mungu ndiye anayekuwa mtawala wa kila kitu. Mwanzo 1:26 [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Kama ukiweza kuishi katika mapenzi ya Mungu basi yeye ni kila kitu . Mtu baada ya kuokoka anaznza kutembea katka kusudi la Mungu,kusikia sauti ya Mungu lazima la atapata zaidi ya vile aombavyo. Kanuni ya kupata katokeo unaposikia sauti ya Mungu. Mali ni zawadi ,nyumba ni zawadi lakini ili upate izo zawadi lazima ufuate kanuni ya kumcha MUNGU. Mithali 8:13 [13]Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia. Kumbz ili ufike kusema unamcha Bwana lazima uwe mtu wa kuchukia uovu kwa moyo wote . Na mtu ili awe wake Mungu au afanyike kuwa mwana lazima achukie uovu seriously kabisa. Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) Kwa mafundisho zaidi unaweza kujiungaletu la watsap. https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 #Build new eden #Restoremenposition0 Comments ·0 Shares ·88 Views -
-
-
-
-
-
GET READY, you’re about to gain more than you ever lost. Abundance headed your way.GET READY, you’re about to gain more than you ever lost. Abundance headed your way.
-
Unavimba mjini ,unasukuma gari kali simu Iphone macho3 ,wakati mama yako kijijini hata 300 ya sukari inamshinda..Unavimba mjini ,unasukuma gari kali simu Iphone macho3 ,wakati mama yako kijijini hata 300 ya sukari inamshinda..