0 Commentarii
·0 Distribuiri
·139 Views
-
The Difference Between Double-Drawn and Single-Drawn Hair
Description: Confused by these terms? Understand what you’re buying and how it affects hair fullness.
https://orientalhairs.com/
The Difference Between Double-Drawn and Single-Drawn Hair Description: Confused by these terms? Understand what you’re buying and how it affects hair fullness. https://orientalhairs.com/0 Commentarii ·0 Distribuiri ·255 Views -
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·276 Views
-
"Teach me to forget you, Like you taught me to be happy""Teach me to forget you, Like you taught me to be happy😊" ☺️
-
TAFAKARI YA UBANTU
"Mtu ni mtu kwasababu ya watu wengine"
Katika maisha kuna maadili tuna yatumikia ambayo ni ubinafsi, utumwa na upendo, katika maadili hayo upendo hubaki kuwa daraja la mtu mmoja kuweza kujifikia na kuweza kuwafikia wengine
Unahitajika kuwa peke yako lakini ni muhimu kuwa na wenzanko ndiyo maana tumepewa wakati na nafasi,licha ya kuwa Mwanamke au Mwanaume bado ni binadamu
Licha ya kuwa katika utamaduni uliyopo kupitia itikadi ya kidini,kisiasa na nyingine nyingi bado ni binadamu , kwasababu wewe ni binadamu hupaswi kuishi kama kisiwa kuna namna tunahitaji kuathiriana
Tunahitajika kuwa ujumbe kwa wengine, tunahitajika kuwa msaada kwa wengine, hii huonesha jinsi gani ambavyo tuna utu, hii ni moja ya kanuni ya dhahabu kwa Wabantu kila mtu katika jamii yao walimuona kuwa ni ndugu kwako
Kila aliye mkuu katika jamii alipewa heshima kwasababu walijenga utambuzi huu kupitia kuingiliana, ukweli ni kuwa tunajihitaji na uhalisia ni kuwa tunawahitaji wengine ili kujenga ushirika kama binadamu
Unapo onesha upendo kwako onesha nakwa wengine,unapo jali kuhusu wengine una jijali pia, tunahitajika kuufanya ulimwengu kuwa sehemu bora ya kuishi , tunahitaji kuona sehemu ya kufanikiwa kwetu iwe ni kufanikiwa kwa jamii nzima.
TAFAKARI YA UBANTU "Mtu ni mtu kwasababu ya watu wengine" Katika maisha kuna maadili tuna yatumikia ambayo ni ubinafsi, utumwa na upendo, katika maadili hayo upendo hubaki kuwa daraja la mtu mmoja kuweza kujifikia na kuweza kuwafikia wengine Unahitajika kuwa peke yako lakini ni muhimu kuwa na wenzanko ndiyo maana tumepewa wakati na nafasi,licha ya kuwa Mwanamke au Mwanaume bado ni binadamu Licha ya kuwa katika utamaduni uliyopo kupitia itikadi ya kidini,kisiasa na nyingine nyingi bado ni binadamu , kwasababu wewe ni binadamu hupaswi kuishi kama kisiwa kuna namna tunahitaji kuathiriana Tunahitajika kuwa ujumbe kwa wengine, tunahitajika kuwa msaada kwa wengine, hii huonesha jinsi gani ambavyo tuna utu, hii ni moja ya kanuni ya dhahabu kwa Wabantu kila mtu katika jamii yao walimuona kuwa ni ndugu kwako Kila aliye mkuu katika jamii alipewa heshima kwasababu walijenga utambuzi huu kupitia kuingiliana, ukweli ni kuwa tunajihitaji na uhalisia ni kuwa tunawahitaji wengine ili kujenga ushirika kama binadamu Unapo onesha upendo kwako onesha nakwa wengine,unapo jali kuhusu wengine una jijali pia, tunahitajika kuufanya ulimwengu kuwa sehemu bora ya kuishi , tunahitaji kuona sehemu ya kufanikiwa kwetu iwe ni kufanikiwa kwa jamii nzima. -
-
-
-
-