• #CLUBWORLDCUP
    hatua ya mtoano
    #CLUBWORLDCUP hatua ya mtoano
    0 Comments ยท0 Shares ยท336 Views
  • Manchester United imetia macho kwa kiungo wa Leicester Wilfred Ndidi.

    (Source: Daily Mirror)

    #sportselite
    ๐Ÿšจ Manchester United imetia macho kwa kiungo wa Leicester Wilfred Ndidi. (Source: Daily Mirror) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท97 Views
  • Tottenham inapanga kumuachia Cristian Romero kwa dau zaidi ya £60m na wako tayari kuwauzia Atletico Madrid.

    (Source: Telegraph)

    #sportselite
    ๐Ÿšจ Tottenham inapanga kumuachia Cristian Romero kwa dau zaidi ya £60m na wako tayari kuwauzia Atletico Madrid. (Source: Telegraph) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท80 Views
  • Fenerbahçe inamtazama Alexander Sörloth kama mshambuliaji wao na wako tayari kutoa ofa ya €25m kwa Atretico Madrid

    Pia wa natazamia kuwawinda washambuliaji kama Jonathan David and Jhon Duran.

    (Source: @aspor)

    #sportselite
    ๐Ÿšจ Fenerbahçe inamtazama Alexander Sörloth kama mshambuliaji wao na wako tayari kutoa ofa ya €25m kwa Atretico Madrid Pia wa natazamia kuwawinda washambuliaji kama Jonathan David and Jhon Duran. (Source: @aspor) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท207 Views
  • ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Leicester City Football Club inamuwinda kocha Ruud van Nistelrooy.

    (Source: @FabrizioRomano)

    #sportselite
    ๐Ÿšจ ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š: Leicester City Football Club inamuwinda kocha Ruud van Nistelrooy. (Source: @FabrizioRomano) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท237 Views
  • Brentford imefikia makubaliano ya kumsajiri kiungo mshambuliaji wa Feyenoord Antoni Milambo.

    (Source: Mirror)

    #sportselite
    ๐Ÿšจ Brentford imefikia makubaliano ya kumsajiri kiungo mshambuliaji wa Feyenoord Antoni Milambo. (Source: Mirror) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท77 Views
  • Napoli na Juventus wako kwenye mbio za kumuwinda Jadon Sancho na wako tayari kutoa kiasi cha £25m kwa Manchester United kama ada ya uhamisho

    (Source: Metro)

    #sportselite
    ๐Ÿšจ Napoli na Juventus wako kwenye mbio za kumuwinda Jadon Sancho na wako tayari kutoa kiasi cha £25m kwa Manchester United kama ada ya uhamisho (Source: Metro) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท192 Views
  • Early Bird Registration for the 12th Tanzania Health Summit is closing soon.
    Don’t miss out register by June 30th and save up to 40%

    Join 2,500+ health experts
    1–3 October 2025
    JNICC, Dar es Salaam

    Secure your spot today www.ths.or.tz/health-awards

    #THS2025 #TanzaniaHealthSummit #EarlyBird #HealthExperts #RegisterNow #HealthcareInnovation #savethedate
    Early Bird Registration for the 12th Tanzania Health Summit is closing soon. Don’t miss out register by June 30th and save up to 40% ๐Ÿ“ Join 2,500+ health experts ๐Ÿ—“๏ธ 1–3 October 2025 ๐Ÿ“Œ JNICC, Dar es Salaam Secure your spot today ๐Ÿ‘‰ www.ths.or.tz/health-awards #THS2025 #TanzaniaHealthSummit #EarlyBird #HealthExperts #RegisterNow #HealthcareInnovation #savethedate
    Love
    1
    ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท923 Views
  • Manchester United wako kwenye hatua nzuri za kumnasa mshambuliaji Victor Gyokeres.

    Victor Gyokeres ataenda kuungana na kocha wake wa zamani Ruben Amorim Old Trafford.

    (Source: Mirror)

    #sportselite
    ๐Ÿšจ Manchester United wako kwenye hatua nzuri za kumnasa mshambuliaji Victor Gyokeres. Victor Gyokeres ataenda kuungana na kocha wake wa zamani Ruben Amorim Old Trafford. (Source: Mirror) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท260 Views
  • ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Burnley imekamilisha usajiri wa Quilindschy Hartman kutoka Feyenoord kwa mkataba wa miaka 4

    (Source: Burnley Football Club)

    #sportselite
    ๐Ÿ“ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜: Burnley imekamilisha usajiri wa Quilindschy Hartman kutoka Feyenoord kwa mkataba wa miaka 4 (Source: Burnley Football Club) #sportselite
    0 Comments ยท0 Shares ยท250 Views