• 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Igor Jesus (24) dili limekamilika kwenda Nottingham Forest kwa ada ya £10m kutoka Botafogo , reports @JacobsBen.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇧🇷 Igor Jesus (24) dili limekamilika kwenda Nottingham Forest kwa ada ya £10m kutoka Botafogo , reports @JacobsBen. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·9 Ansichten
  • Cassius Mailula aaga rasmi Wydad AC ⚪️

    Mshambuliaji kutoka Afrika Kusini, Cassius Mailula, ameaga rasmi klabu ya Wydad AC baada ya mkopo wake kutoka Toronto FC kumalizika.

    Mailula ameushukuru uongozi wa klabu, wachezaji wenzake, na mashabiki wa Wydad kwa sapoti waliompa katika kipindi chake kifupi lakini chenye kumbukumbu ya kipekee jijini Casablanca.

    Tunamtakia kila la heri anaporejea Toronto FC kuendelea na safari yake ya soka.

    #DimaWydad #WydadAC #CassiusMailula #SokaLaAfrika #TorontoFC #HabariZaSoka

    #SportsElite
    🔚 Cassius Mailula aaga rasmi Wydad AC 🔴⚪️ Mshambuliaji kutoka Afrika Kusini, Cassius Mailula, ameaga rasmi klabu ya Wydad AC baada ya mkopo wake kutoka Toronto FC kumalizika. Mailula ameushukuru uongozi wa klabu, wachezaji wenzake, na mashabiki wa Wydad kwa sapoti waliompa katika kipindi chake kifupi lakini chenye kumbukumbu ya kipekee jijini Casablanca. Tunamtakia kila la heri anaporejea Toronto FC kuendelea na safari yake ya soka. 🇿🇦⚽ #DimaWydad #WydadAC #CassiusMailula #SokaLaAfrika #TorontoFC #HabariZaSoka #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·18 Ansichten