• 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal iko mbioni kukamilisha dili la Cristhian Mosquera kwa kiasi cha €15m na nyongeza juu, lakini Valencia inahitaji kiasi cha €20m na zaidi ili kumuachia Cristhian Mosquera

    Mazungumzo bado yanaendelea pande zote japo Arsenal imekwisha malizana na mchezaji....

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal iko mbioni kukamilisha dili la Cristhian Mosquera kwa kiasi cha €15m na nyongeza juu, lakini Valencia inahitaji kiasi cha €20m na zaidi ili kumuachia Cristhian Mosquera Mazungumzo bado yanaendelea pande zote japo Arsenal imekwisha malizana na mchezaji.... #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·10 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Barcelona imetoa jezi yake ya nyumbani kwa msimu ujao 2025/26 .
    🚨🇪🇸 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Barcelona imetoa jezi yake ya nyumbani kwa msimu ujao 2025/26 . 🔴🔵
    0 Comments ·0 Shares ·9 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imeitupilia mbali ofa ya Bayern Munich ya kumuhitaji Luis Diaz.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool imeitupilia mbali ofa ya Bayern Munich ya kumuhitaji Luis Diaz. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·9 Views
  • 🇨🇮 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Eric Bailly (31) ataondoka Villarreal baada ya mkataba wake kutamatika klabuni hapo

    Amecheza michezo 72 .

    #SportsElite
    🚨🇨🇮 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Eric Bailly (31) ataondoka Villarreal baada ya mkataba wake kutamatika klabuni hapo👋 Amecheza michezo 72 . #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·6 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyökeres yuko karibu kujiunga na Arsenal kutoka Sporting CP kwa mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyökeres yuko karibu kujiunga na Arsenal kutoka Sporting CP kwa mkataba hadi 2030. ⚪🔴 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·5 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham imemaliza mazungumzo na Mohammed Kudus, Huku ikimuhaidi kumpata mkataba hadi 2030...

    #SportsElite
    🚨🇬🇭💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham imemaliza mazungumzo na Mohammed Kudus, Huku ikimuhaidi kumpata mkataba hadi 2030... #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·20 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze ameifungulia mlango Arsenal, Huku akiwa na nia ya kujiunga Gunners! Na ada ya uhamisho £60m

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze ameifungulia mlango Arsenal, Huku akiwa na nia ya kujiunga Gunners! Na ada ya uhamisho £60m❤️🤍 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·5 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru

    Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya....

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru 🤍🖤 Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya.... 🇨🇦 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·18 Views
  • 𝐑𝐄𝐕𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Ansu Fati ameongeza kandarasi Barcelona hadi JUNE 2028 kabla ya kujiunga AS Monaco kwa mkopo.
    🚨🚨 𝐑𝐄𝐕𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Ansu Fati ameongeza kandarasi Barcelona hadi JUNE 2028 kabla ya kujiunga AS Monaco kwa mkopo. 💙❤️‍🔥
    0 Comments ·0 Shares ·5 Views
  • #SportsElite
    #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·5 Views