0 Reacties
·0 aandelen
·1 Views
-
𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham
Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs
Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London
@theathleticfc reports.
#SportsElite🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham 🤍💣 Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London @theathleticfc reports. #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·8 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆:Klabu za Bayer Leverkusen, Bournemouth, na Nottingham Forest zinavutiwa na huduma ya Winga Johan Bakayoko wa PSV Eindhoven.
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆:Klabu za Bayer Leverkusen, Bournemouth, na Nottingham Forest zinavutiwa na huduma ya Winga Johan Bakayoko wa PSV Eindhoven. #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·5 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Marseille inapanga kumrudisha Pierre-Emerick Aubameyang klabuni hapo..
Majadiliano yanaendelea baina yao
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Marseille inapanga kumrudisha Pierre-Emerick Aubameyang klabuni hapo.. Majadiliano yanaendelea baina yao #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·7 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: PSV imewasiliana na AZ Alkmaar ili kumsaini Ruben van Bommel (20)
Kwa ada ya €16M na nyongeza ya 10% ya mauzo yake
, reports @MikeVerweij. ⚪️
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇳🇱 PSV imewasiliana na AZ Alkmaar ili kumsaini Ruben van Bommel (20) Kwa ada ya €16M na nyongeza ya 10% ya mauzo yake , reports @MikeVerweij. 🔴⚪️ #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·8 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Isak Jansson yuko mbioni kujiunga na OGC Nice kutokeanSK Rapid kwa gharama ya €10M na nyongeza zaidi..
Anatarajia kuwasili Ufaransa ndani ya masaa 24-48 kukamilisha uhamisho wake..
Jansson pia alikuwa anafatiliwa na vilabu kama Celtic na timu za Italia kabla kufanya maamuzi Nice.
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Isak Jansson yuko mbioni kujiunga na OGC Nice kutokeanSK Rapid kwa gharama ya €10M na nyongeza zaidi.. Anatarajia kuwasili Ufaransa ndani ya masaa 24-48 kukamilisha uhamisho wake.. Jansson pia alikuwa anafatiliwa na vilabu kama Celtic na timu za Italia kabla kufanya maamuzi Nice. #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·7 Views -
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope
#SportsElite🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Trent Alexander-Arnold huwenda ataukosa mchezo wao Kati ya PSG baada ya kupata majeraha hapo Jana mazoezini @miguelitocope #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·6 Views -
Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili..
(Source: ESPN)
#SportsElite🚨 Raisi wa Marekani Donald Trump atakuwepo kwenye fainali ya Club World Cup hapo Jumapili.. 🇺🇸 (Source: ESPN) #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·6 Views -
Simon Adringra kwenda Sunderland dili done.
Kwa ada ya €21M na nyongeza €3M kwa Brighton.
(Source: @FabrizioRomano)
#SportsElite🚨 Simon Adringra kwenda Sunderland dili done. ✅ Kwa ada ya €21M na nyongeza €3M kwa Brighton. (Source: @FabrizioRomano) #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·6 Views -
0 Reacties ·0 aandelen ·5 Views