0 Comments
Β·0 Shares
Β·9 Views
-
Klabu ya Everton imemkaribisha rasmi mshambuliaji chipukizi Thierno Barry ambaye awali alikuwa Villarreal. Barry, anayewakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21, sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha Everton kwa mkataba wa miaka minne. DDiili hilo linaripotiwa harimu takribani pauni milionii 27.5.
#SportsEliteKlabu ya Everton imemkaribisha rasmi mshambuliaji chipukizi Thierno Barry ambaye awali alikuwa Villarreal. Barry, anayewakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21, sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha Everton kwa mkataba wa miaka minne. DDiili hilo linaripotiwa harimu takribani pauni milionii 27.5. π΅ #SportsElite0 Comments Β·0 Shares Β·27 Views -
-
Yoane Wissa anashinikiza kutaka kuondoka Brentford dirisha hili. Nottingham Forest iko kwenye mazungumzo na Tottenham iko kwenye hatua nzuri zaidi sambamba na hilo pia Newcastle wao pia wanamtolea macho mchezaji huyo.
Brentford wanahitaji £50m, lakini vilabu hivyo vinaimani kiasi hicho kitapunguzwa.
(Source: @alex_crook)
#SportsEliteπ¨ Yoane Wissa anashinikiza kutaka kuondoka Brentford dirisha hili. Nottingham Forest iko kwenye mazungumzo na Tottenham iko kwenye hatua nzuri zaidi sambamba na hilo pia Newcastle wao pia wanamtolea macho mchezaji huyo. π Brentford wanahitaji £50m, lakini vilabu hivyo vinaimani kiasi hicho kitapunguzwa. π€ (Source: @alex_crook) #SportsElite0 Comments Β·0 Shares Β·15 Views -
ππ₯πππππ‘π: Jordan Henderson yuko mbioni kujiunga Brentford kwa mkataba wa miaka 2, kama mchezaji huru..
(Source: @David_Ornstein)
#SportsEliteπ¨ ππ₯πππππ‘π: Jordan Henderson yuko mbioni kujiunga Brentford kwa mkataba wa miaka 2, kama mchezaji huru.. (Source: @David_Ornstein) #SportsElite0 Comments Β·0 Shares Β·9 Views -
-
ππππππππ: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain
Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao
Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo
#SportsEliteπ¨ ππππππππ: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain πππΉπ· Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huoπͺπΈπ #SportsElite0 Comments Β·0 Shares Β·19 Views -
βͺοΈ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid!
Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote.
Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: Champions League – 5
La Liga – 4
Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup...
Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye.
#SportsEliteπͺπΈβͺοΈ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid! Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote. ποΈ Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: π Champions League – 5 πͺπΈ La Liga – 4 ποΈ Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup... π Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye. #SportsElite0 Comments Β·0 Shares Β·23 Views -
-