0 Comments
ยท0 Shares
ยท4 Views
-
0 Comments ยท0 Shares ยท14 Views
-
-
-
-
๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon
Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético
Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada
#SportsElite๐จ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon ๐ฆ๐ท Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada โจ โค๏ธ๐ค๐ #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท30 Views -
Kolo Touré atakuwa msaidizi mkuu wa Pep Guardiola msimu ujao, baada ya kuteuliwa rasmi kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza cha Manchester City. ๐จ๐ฎ
#SportsElite๐จKolo Touré atakuwa msaidizi mkuu wa Pep Guardiola msimu ujao, baada ya kuteuliwa rasmi kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza cha Manchester City. ๐จ๐ฎโ #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท33 Views -
HERE WE GO!! โก๏ธ Liverpool wanajiandaa kuwasilisha ofa ya thamani €100M pamoja na nyongeza za kiufanikishaji, kwa lengo la kujaribu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United msimu huu wa joto.
#SportsElite๐จHERE WE GO!! โก๏ธ Liverpool wanajiandaa kuwasilisha ofa ya thamani €100M pamoja na nyongeza za kiufanikishaji, kwa lengo la kujaribu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United msimu huu wa joto. ๐ฐ #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท34 Views -
OFFICIAL :Jude Bellingham anafanyiwa upasuaji wa bega lake la kushoto leo jijini London.
Atakaa nje ya uwanja kwa muda wa takribani miezi 2–3.
โฝ๏ธ Anatarajiwa kurejea uwanjani Oktoba, akiwa amepona kikamilifu kabla ya mechi kubwa za Real Madrid.
#SportsElite๐จ OFFICIAL :Jude Bellingham anafanyiwa upasuaji wa bega lake la kushoto leo jijini London. ๐ Atakaa nje ya uwanja kwa muda wa takribani miezi 2–3. โฝ๏ธ Anatarajiwa kurejea uwanjani Oktoba, akiwa amepona kikamilifu kabla ya mechi kubwa za Real Madrid. #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท28 Views -
๐ฆ๐ง๐๐ ๐ฃ๐๐ & ๐ฆ๐๐๐๐๐!
๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ถ๐๐ฐ๐ผ ๐๐ผ๐ป๐ฐ๐ฒ๐ถ๐ฐฬง๐ฎฬ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda ๐๐๐๐ฒ๐ป๐๐๐ kwa ada €๐ฏ๐ฌ๐ !
Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26.
[@Record_Portugal | @OddAlerts]
#Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV
#SportsElite๐ฃ ๐ฆ๐ง๐๐ ๐ฃ๐๐ & ๐ฆ๐๐๐๐๐! ๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ถ๐๐ฐ๐ผ ๐๐ผ๐ป๐ฐ๐ฒ๐ถ๐ฐฬง๐ฎฬ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda ๐๐๐๐ฒ๐ป๐๐๐ kwa ada €๐ฏ๐ฌ๐ ! ๐ดโช๐ต๐น Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26. โ ๐ [@Record_Portugal | @OddAlerts] #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV #SportsElite0 Comments ยท0 Shares ยท29 Views