0 Comments
·0 Shares
·2 Views
-
0 Comments ·0 Shares ·8 Views
-
-
Manchester United ilifanya mawasiliano ya Awali na Wawakilishi wa Golikipa wa Royal Antwerp Senne Lammens mwenye umri wa miaka 23 ili Kumsajili.
Licha ya Mazungumzo ila Utd bado Pia Wanavutiwa na Golikipa wa Aston Villa Emi Martinez ambae kwa sasa Manchester United inamuona kama Ghali sana.
#SportsElite🚨 Manchester United ilifanya mawasiliano ya Awali na Wawakilishi wa Golikipa wa Royal Antwerp Senne Lammens mwenye umri wa miaka 23 ili Kumsajili. 🇧🇪 Licha ya Mazungumzo ila Utd bado Pia Wanavutiwa na Golikipa wa Aston Villa Emi Martinez ambae kwa sasa Manchester United inamuona kama Ghali sana. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·12 Views -
USAJILI MPAKA HIVI KWA VILABU ENGLAND
MANCHESTER UNITED
Matheus Cunha
Diego Leon
Bryan MBEUMO
Emi Martinez Dibu
Liverpool -
Wirtz
Frimpong
Mamardashvilli
Hugo Etikite
Isak
Manchester City
Reijnders
Cherki
Ait Nouri
Chelsea:
Gittens
Joao Pedro
Delap
Arsenal -
Zubimendi
Madeueke
Norgaard
Kepa
Gyokeres
Tottenham Hotspur Spurs
Gibbs White
Kudus
Newcastle United-
Elanga
Ekitike
#SportsEliteUSAJILI MPAKA HIVI KWA VILABU ENGLAND 🔴MANCHESTER UNITED 🇧🇷 Matheus Cunha 🇵🇾 Diego Leon 🇨🇲Bryan MBEUMO ⏳Emi Martinez Dibu 🔴Liverpool - ✅ Wirtz ✅ Frimpong ✅ Mamardashvilli ✅Hugo Etikite ⏳ Isak 🔵Manchester City ✅ Reijnders ✅ Cherki ✅ Ait Nouri 🔵Chelsea: ✅ Gittens ✅ Joao Pedro ✅ Delap 🔴Arsenal - ✅ Zubimendi ✅ Madeueke ✅ Norgaard ✅ Kepa ⏳ Gyokeres ⚪Tottenham Hotspur Spurs ✅ Gibbs White ✅ Kudus ⚪Newcastle United- ✅ Elanga ⏳ Ekitike #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·27 Views -
"Don't wait for the right time it's never comes. Start today""Don't wait for the right time it's never comes. Start today"
-
"stop being afraid of what could go wrong and start being excited about what could go right""stop being afraid of what could go wrong and start being excited about what could go right"
-
Lionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti.
Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti):
1️⃣ Lionel Messi – mabao 764
2️⃣ Cristiano Ronaldo – mabao 763
Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja.
#SportsEliteLionel Messi ameweka rekodi mpya kama mfungaji bora wa mabao mengi zaidi katika historia ya soka bila penalti. 🐐 Mabao kutoka kwa mchezo wa kawaida (bila penalti): 1️⃣ Lionel Messi – mabao 764 🔝 2️⃣ Cristiano Ronaldo – mabao 763 Ufanisi wa Messi unazidi kudhihirisha ubora wake wa kipekee ndani ya uwanja. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·17 Views -
Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba.
Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia.
Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko..
#SportsEliteInaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba. Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia. Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko.. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·20 Views -
Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden...
Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ?
Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ?
Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao..
Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream...
Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja...
Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari...
Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza...
#SportsEliteAchana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden... Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ? Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ? Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao.. Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream... Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja... Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari... Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza... #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·20 Views