0 التعليقات
·0 المشاركات
·8 مشاهدة
-
"Don't be too nice, people will use you""Don't be too nice, people will use you"
-
"problems are part of life, and facing them with smile is art of life""problems are part of life, and facing them with smile is art of life"
-
DONE DEAL - Man United imekamilisha usajili wa Bryan Mbeumo kutoka Brentford kwa ada ya €82m na mkataba wa miaka sita hadi June 2031.
🎙"Nilipojua tu kuwa kuna nafasi ya kujiunga na Manchester United, ilibidi nichukue nafasi hiyo ili kusaini Klabu ya ndoto Yangu" 🗣 Bryan Mbeumo.
#SportsElite🚨 DONE DEAL - Man United imekamilisha usajili wa Bryan Mbeumo kutoka Brentford kwa ada ya €82m na mkataba wa miaka sita hadi June 2031. ❤️🎙"Nilipojua tu kuwa kuna nafasi ya kujiunga na Manchester United, ilibidi nichukue nafasi hiyo ili kusaini Klabu ya ndoto Yangu" 🗣 Bryan Mbeumo. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·16 مشاهدة -
Real Madrid wanatafuta kiungo na wameelekeza macho yao kwa Rodri wa Manchester City, aidha msimu huu wa joto au mwaka 2026.
Klabu hiyo iko tayari kutoa kiasi cha €100 milioni kumvutia nyota huyo kujiunga nao.
#SportsEliteReal Madrid wanatafuta kiungo na wameelekeza macho yao kwa Rodri wa Manchester City, aidha msimu huu wa joto au mwaka 2026. Klabu hiyo iko tayari kutoa kiasi cha €100 milioni kumvutia nyota huyo kujiunga nao. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·10 مشاهدة -
Hugo Ekitike akiwa na wakala wake wakielekea kupanda ndege kuelekea England kwaajili ya kwenda kusaini mkataba na timu ya Liverpool
#SportsElite🚨🇫🇷 Hugo Ekitike akiwa na wakala wake wakielekea kupanda ndege kuelekea England kwaajili ya kwenda kusaini mkataba na timu ya Liverpool #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·21 مشاهدة -
"Don't expect people to be there for you. Just because you are always there for them. Not everyone has the same heart as you""Don't expect people to be there for you. Just because you are always there for them. Not everyone has the same heart as you"
-
Nickolas Jackson amekataa offer ya AC Milan Na Napoli za kujiunga na timu hizoo yeye asema anahitaji kusalia Katika Ligi ya uingereza:
#SportsEliteNickolas Jackson amekataa offer ya AC Milan Na Napoli za kujiunga na timu hizoo yeye asema anahitaji kusalia Katika Ligi ya uingereza: #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·8 مشاهدة -
Real Madrid wanategemea kuimarisha zaidi eneo lao la kiungo kulingana na mapendekezo ya kocha, Xabi Alonso.
Baadhi ya viungo kutoka timu mbalimbali ulaya wapo kwenye orodha ya Real Madrid;
- Rodri (Manchester city)
- Nicolo Barella (Inter Milan)
- Enzo Fernandes (Chelsea)
- Alexis Mac Allister ( Liverpool)
Chaguo namba moja kwa Xabi Alonso ni Rodri wa Manchester city.
#SportsEliteReal Madrid wanategemea kuimarisha zaidi eneo lao la kiungo kulingana na mapendekezo ya kocha, Xabi Alonso. Baadhi ya viungo kutoka timu mbalimbali ulaya wapo kwenye orodha ya Real Madrid; - Rodri (Manchester city) - Nicolo Barella (Inter Milan) - Enzo Fernandes (Chelsea) - Alexis Mac Allister ( Liverpool) Chaguo namba moja kwa Xabi Alonso ni Rodri wa Manchester city. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·18 مشاهدة -
"life is not qualified by fluent English, branded clothes or a rich lifestyle. It's measured by the number of face who smile when they hear your name""life is not qualified by fluent English, branded clothes or a rich lifestyle. It's measured by the number of face who smile when they hear your name"