• "your parents didn't leave you when you were young, so don't leave them when they are old"
    "your parents didn't leave you when you were young, so don't leave them when they are old"
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·3 Views
  • Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika.

    Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho.

    #SportsElite
    Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika. Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·15 Views
  • Kocha wa Real Madrid Xabi Alonso ameuambia uongozi kuwa Brahim Diaz hatokuwa mchezaji anaeanza kwenye kikosi chake kuanzia msimu ujao.

    Ni wakati sahihi kabisaa wa fundi Brahim Diaz kwenda kutafta malisho nje ya Real Madrid kwangu mm naona ni wakati umefika Mara baada ya Kocha mkuu wa klabu hiyo kuuwambia uongozi kuwa hatokuwa mchezaji wake ambae anamtegemea kwenye kikosi chake.

    #SportsElite
    Kocha wa Real Madrid Xabi Alonso ameuambia uongozi kuwa Brahim Diaz hatokuwa mchezaji anaeanza kwenye kikosi chake kuanzia msimu ujao. Ni wakati sahihi kabisaa wa fundi Brahim Diaz kwenda kutafta malisho nje ya Real Madrid kwangu mm naona ni wakati umefika Mara baada ya Kocha mkuu wa klabu hiyo kuuwambia uongozi kuwa hatokuwa mchezaji wake ambae anamtegemea kwenye kikosi chake. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·6 Views
  • "if can change your mind, you can change your life"
    "if can change your mind, you can change your life"
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·9 Views
  • Mazungumzo kati ya Chelsea na Leipzig yataanza kesho rasmi baada ya Mchezaji huyo kusema kuwa anataka kujiunga na Chelsea!

    #SportsElite
    ✍️🇳🇱Mazungumzo kati ya Chelsea na Leipzig yataanza kesho rasmi baada ya Mchezaji huyo kusema kuwa anataka kujiunga na Chelsea! #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·4 Views
  • Manchester united wanafuatilia kwa ukalibu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko (22).

    Msimu uliopita Sesko akiwa na Leipzig kwenye mashindano yote alifanikiwa kufunga magoli 21 akitoa pasi 6 za magoli.

    #SportsElite
    Manchester united wanafuatilia kwa ukalibu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko (22). Msimu uliopita Sesko akiwa na Leipzig kwenye mashindano yote alifanikiwa kufunga magoli 21 akitoa pasi 6 za magoli. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·14 Views
  • Arteta Afunguka Kuhusu Uhamisho wa Merino na Zubimendi!

    Mikel Arteta amefunguka kuhusu mipango kabambe ya uhamisho iliyoiwezesha Arsenal kuwanasa Martin Zubimendi na Mikel Merino kwa misimu miwili mfululizo kutoka Real Sociedad!

    Akizungumza na gunnerblog, Arteta alifafanua jinsi ilivyokuwa muhimu kwa wachezaji wenyewe kutamani kujiunga na Arsenal, akisema, "Ilikuwa mpango uliopangwa vizuri sana. Na wachezaji wote wawili walikuwa na shauku kubwa ya kuja, jambo ambalo ni muhimu sana."

    Meneja huyo wa Arsenal alisisitiza ushirikiano mzuri na klabu ya Real Sociedad, akieleza, "Tulikuwa na klabu ya Real Sociedad iliyoelewa hali na wamekuwa bora. Tulifanya tulichotaka, na wachezaji walifanya tulichotaka, na nadhani Real Sociedad, mwishowe, walifurahishwa na matokeo."

    Maneno haya yanathibitisha jinsi Arsenal inavyojenga kikosi chake kwa umakini na mikakati ya uhamisho inayozingatia mahitaji ya klabu na matakwa ya wachezaji. Ni wazi kwamba Arteta na timu yake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha wanapata wachezaji wanaofaa kuimarisha kikosi na kuendelea kupigania mafanikio!

    #SportsElite
    Arteta Afunguka Kuhusu Uhamisho wa Merino na Zubimendi! 🔴⚪ Mikel Arteta amefunguka kuhusu mipango kabambe ya uhamisho iliyoiwezesha Arsenal kuwanasa Martin Zubimendi na Mikel Merino kwa misimu miwili mfululizo kutoka Real Sociedad! Akizungumza na gunnerblog, Arteta alifafanua jinsi ilivyokuwa muhimu kwa wachezaji wenyewe kutamani kujiunga na Arsenal, akisema, "Ilikuwa mpango uliopangwa vizuri sana. Na wachezaji wote wawili walikuwa na shauku kubwa ya kuja, jambo ambalo ni muhimu sana." Meneja huyo wa Arsenal alisisitiza ushirikiano mzuri na klabu ya Real Sociedad, akieleza, "Tulikuwa na klabu ya Real Sociedad iliyoelewa hali na wamekuwa bora. Tulifanya tulichotaka, na wachezaji walifanya tulichotaka, na nadhani Real Sociedad, mwishowe, walifurahishwa na matokeo." Maneno haya yanathibitisha jinsi Arsenal inavyojenga kikosi chake kwa umakini na mikakati ya uhamisho inayozingatia mahitaji ya klabu na matakwa ya wachezaji. Ni wazi kwamba Arteta na timu yake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha wanapata wachezaji wanaofaa kuimarisha kikosi na kuendelea kupigania mafanikio! #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·24 Views
  • Ukiachana na kushindwa kuperform kwenye EPL, pia alishindwa kuperform kwenye Championship alipokuwa na Umri wa Miaka 22 hadi 25

    Kisha alikimbilia kwenye ligi ya wakulima, Baada ya misimu miwili watu wameingia mkenge, wamemrudisha kule kule Kwa Jana

    #SportsElite
    Ukiachana na kushindwa kuperform kwenye EPL, pia alishindwa kuperform kwenye Championship alipokuwa na Umri wa Miaka 22 hadi 25 Kisha alikimbilia kwenye ligi ya wakulima, Baada ya misimu miwili watu wameingia mkenge, wamemrudisha kule kule Kwa Jana #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·6 Views
  • SC Braga wamekamilisha usajili wa Pau Victor akitokea Fc Barcelona kwa ada ya €12M pamoja na nyongeza ya €3M.

    Pia kutakuwa na asilimia watakazopokea Barcelona kwenye mauzo yoyote ya Pau Victor hapo baadae kama sehemu ya makubaliano.

    #SportsElite
    SC Braga wamekamilisha usajili wa Pau Victor akitokea Fc Barcelona kwa ada ya €12M pamoja na nyongeza ya €3M. Pia kutakuwa na asilimia watakazopokea Barcelona kwenye mauzo yoyote ya Pau Victor hapo baadae kama sehemu ya makubaliano. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·7 Views
  • Alexander Isak anataka mshahara wa £300,000 kwa wiki ili kusaini mkataba mpya na Newcastle.

    #SportsElite
    Alexander Isak anataka mshahara wa £300,000 kwa wiki ili kusaini mkataba mpya na Newcastle. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·7 Views