Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k.
Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae.
Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender
Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma
Super Signing
#SportsElite
🚨🚨Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k.
Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae.
Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender🙌
Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma🖐️
Super Signing🔥
#SportsElite