• Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo.

    Source Pletti Goal

    #SportsElite
    馃毃 Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo. 馃煛 馃嚛馃嚜 Source Pletti Goal #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 7 Views
  • BREAKING - Kocha wa Chelsea Enzo Maresca leo amethibitisha kuwa Chelsea itahakikisha Wanasajili mshambuliaji mmoja kabla ya dirisha halijafungwa.

    Source The Touchline
    馃毃 BREAKING - Kocha wa Chelsea Enzo Maresca leo amethibitisha kuwa Chelsea itahakikisha Wanasajili mshambuliaji mmoja kabla ya dirisha halijafungwa. Source The Touchline
    0 Comments 0 Shares 6 Views
  • NT
    NT
    0 Comments 0 Shares 1 Views
  • NEO MAEMA NI WA SIMBA SC
    Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns

    Si mmemuona ona juzi!?

    @kanzu_estate
    馃毃 NEO MAEMA NI WA SIMBA SC Klabu ya Simba SC imemtambulisha kiungo mshambuliaji Neo MAEMA kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja kutokea Mamelodi Sundowns鉁嶏笍 Si mmemuona ona juzi!? @kanzu_estate
    0 Comments 0 Shares 1 Views
  • Azam FC wamepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Kigali kwa bao 1-0 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya

    #SportsElite
    馃毃馃毃Azam FC wamepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Kigali kwa bao 1-0 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya鉁嶏笍 #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 3 Views