• 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Renato Sanches amejiunga na Panathinaikos kwa mkopo akitokea Paris Saint-Germain.

    (Source: Panathinaikos FC / ΠΑΕ Παναθηναϊκός)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Renato Sanches amejiunga na Panathinaikos kwa mkopo akitokea Paris Saint-Germain. (Source: Panathinaikos FC / ΠΑΕ Παναθηναϊκός) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·79 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Bologna sign Jonathan Rowe (22) imekamilisha uhamisho wa winga kutoka Marseille!

    Ada ya uhamisho ni €17m
    reports @Gazzetta_it.

    #SportsElite
    🚨🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Bologna sign Jonathan Rowe (22) imekamilisha uhamisho wa winga kutoka Marseille! 🔴🔵 Ada ya uhamisho ni €17m reports @Gazzetta_it. 💰✨ #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·107 Views
  • Manchester City tayari imekwisha kufanya makubaliano na Gianluigi Donnarumma kwa mkataba hadi 2030, lakini dili linakuwa gumu kutokana na kusubiriwa kuondoka kwa Ederson kwenda Galatasaray.

    #SportsElite
    🚨 Manchester City tayari imekwisha kufanya makubaliano na Gianluigi Donnarumma kwa mkataba hadi 2030, lakini dili linakuwa gumu kutokana na kusubiriwa kuondoka kwa Ederson kwenda Galatasaray. #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·211 Views
  • Leeds United imefikia makubaliano na Leicester City kumuuza James Justin

    Kwa ada ya £8m +£2m

    Sky Sports


    #SportsElite
    🚨🚨Leeds United imefikia makubaliano na Leicester City kumuuza James Justin 📝 Kwa ada ya £8m +£2m 💵 Sky Sports #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·64 Views
  • FC BARCELONA WOMEN'S
    FC BARCELONA WOMEN'S
    0 Reacties ·0 aandelen ·101 Views
  • Mchezaji wa Villarreal Tajon Buchanan (26) ameweka rekodi kuwa Mkanada wa kwanza kufunga hat-trick ndani ya La Liga. ⚽️⚽️⚽️

    #SportsElite
    🚨✨🇨🇦 Mchezaji wa Villarreal Tajon Buchanan (26) ameweka rekodi kuwa Mkanada wa kwanza kufunga hat-trick ndani ya La Liga. ⚽️⚽️⚽️ #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·148 Views
  • Tangu Messi aanze kucheza soka 2004 ameshachukua makombe 46 analingana na Baryen Munich makombe waliyochukua kuanzia 2004 mpaka sasa

    #SportsElite
    🚨🚨Tangu Messi aanze kucheza soka 2004 ameshachukua makombe 46 analingana na Baryen Munich makombe waliyochukua kuanzia 2004 mpaka sasa 👇👇👇👇 #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·201 Views
  • Real Madrid C.F. itakuwa tayari kumuuza Vinicius Junior kwa €150M kwa dirisha kubwa la usajili msimu ujao endapo hatoongeza mkataba mpya klabuni hapo..

    (Source: Defensa Central)

    #SportsElite
    🚨 Real Madrid C.F. itakuwa tayari kumuuza Vinicius Junior kwa €150M kwa dirisha kubwa la usajili msimu ujao endapo hatoongeza mkataba mpya klabuni hapo.. (Source: Defensa Central) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·156 Views
  • Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili.

    Na Beşiktaş imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake.

    (Source: CaughtOffside)

    #SportsElite
    🚨 Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili. Na Beşiktaş imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake. (Source: CaughtOffside) #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·253 Views
  • Msimamo wa La Liga kwa sasa
    🚨🚨Msimamo wa La Liga kwa sasa 👇👇👇👇
    0 Reacties ·0 aandelen ·127 Views