• 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Olympique Marseille wanafanya kazi ya kumsajili beki wa Arsenal Oleksandr Zinchenko.

    Source David Ornstein

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Olympique Marseille wanafanya kazi ya kumsajili beki wa Arsenal Oleksandr Zinchenko. 🇺🇦 Source David Ornstein #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·13 Views
  • Slot: Ekitike tayari ana mchango mkubwa kwenye safu ya ushambuliaji

    Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema:

    “Tayari amekuwa na mchango mkubwa kwenye sehemu ya ushambuliaji ya mchezo wetu—si tu kwa kufunga mabao, bali pia kwa kushiriki katika ujenzi wa mashambulizi, akiwa mmoja wa wanaoanzisha hatari.”

    “Jibu rahisi kuhusu anachoweza kuboresha ni uwezo wa kuhimili mechi kwa dakika zote. Natarajia afanye mengi zaidi bila mpira kuliko anavyofanya sasa, ingawa tayari anajitahidi.”

    “Hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mchezaji anayehama kutoka ligi tofauti na mtindo wa uchezaji tofauti. Frankfurt hawakuwa wakishambulia kwa presha kama tunavyofanya sisi, na sasa akiwa kwenye ligi mpya, kuna mengi ya kukabiliana nayo.”

    “Ili kuzoea kiwango cha nguvu na kasi bila mpira, kuna hatua ndogo anazopaswa kuchukua.”

    #SportsElite
    🔴 Slot: Ekitike tayari ana mchango mkubwa kwenye safu ya ushambuliaji 👉Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema: 🗣️ “Tayari amekuwa na mchango mkubwa kwenye sehemu ya ushambuliaji ya mchezo wetu—si tu kwa kufunga mabao, bali pia kwa kushiriki katika ujenzi wa mashambulizi, akiwa mmoja wa wanaoanzisha hatari.” 🗣️ “Jibu rahisi kuhusu anachoweza kuboresha ni uwezo wa kuhimili mechi kwa dakika zote. Natarajia afanye mengi zaidi bila mpira kuliko anavyofanya sasa, ingawa tayari anajitahidi.” 🗣️ “Hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mchezaji anayehama kutoka ligi tofauti na mtindo wa uchezaji tofauti. Frankfurt hawakuwa wakishambulia kwa presha kama tunavyofanya sisi, na sasa akiwa kwenye ligi mpya, kuna mengi ya kukabiliana nayo.” 🗣️ “Ili kuzoea kiwango cha nguvu na kasi bila mpira, kuna hatua ndogo anazopaswa kuchukua.” #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·17 Views
  • Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu

    Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema:

    “Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.”

    “Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.”

    “Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.”

    #SportsElite
    🔴 Slot: Kuna mfanano mkubwa kati ya Arsenal na Liverpool msimu huu 👉Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amesema: 🗣️ “Kuna mfanano mkubwa kati ya timu zote mbili. Mtindo wa uchezaji wa Arsenal haujabadilika sana licha ya usajili mpya.” 🗣️ “Labda tofauti ipo kwenye namba 9. (Gabriel Jesus) ni mshambuliaji wa kati halisi, lakini hakupata nafasi sana msimu uliopita. Yule walionaye sasa ni tofauti na Havertz au Trossard.” 🗣️ “Gyokeres ni mshambuliaji wa aina ya target man, kwa hiyo labda hapo ndipo kuna tofauti ndogo.” #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·16 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Lucas Vázquez amejiunga Bayer Leverkusen, akiwa kama mchezaji huru

    #CaroScore #SportsUp

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Lucas Vázquez amejiunga Bayer Leverkusen, akiwa kama mchezaji huru❤️🖤🇪🇸 #CaroScore #SportsUp #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·12 Views
  • Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae

    haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini
    🚨🚨Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini😂😂😂😂
    0 Reacties ·0 aandelen ·12 Views
  • Luka Vuskovic has joined Hamburg SV on loan for the 2025/26 campaign.

    Go smash it, Luka!

    #SportsElite
    Luka Vuskovic has joined Hamburg SV on loan for the 2025/26 campaign. Go smash it, Luka! 👊 #SportsElite
    0 Reacties ·0 aandelen ·10 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·2 Views
  • https://fotophactorystudio.com/new-born-baby-photoshoot-in-patna.php

    Newborn Baby Photoshoot Services in Patna | Beautiful Memories

    Fotophactory Studio welcomes your newborn baby with a photoshoot that will be a heartwarming newborn baby photoshoot in Patna. Our team of professionals focuses on the cute, natural, and memorable portraits of babies. We make each photoshoot a piece of beautiful memories that you will keep forever with creative themes and gentle care.
    https://fotophactorystudio.com/new-born-baby-photoshoot-in-patna.php Newborn Baby Photoshoot Services in Patna | Beautiful Memories Fotophactory Studio welcomes your newborn baby with a photoshoot that will be a heartwarming newborn baby photoshoot in Patna. Our team of professionals focuses on the cute, natural, and memorable portraits of babies. We make each photoshoot a piece of beautiful memories that you will keep forever with creative themes and gentle care.
    0 Reacties ·0 aandelen ·2 Views