• TUJIKUMBUSHE KIDOGO

    Sebastian Coates

    Sebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo.

    Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi.

    Alicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers.

    Katika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12.

    Hata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata.

    Baadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.
    👀TUJIKUMBUSHE KIDOGO 👀Sebastian Coates 👉Sebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo. 👉Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi. 👉Alicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers. 👉Katika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12. 👉Hata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata. 👉Baadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·398 مشاهدة
  • Glucovy Supplement: Safe & Natural Way to Balance Blood Sugar

    https://yourhealthrights.com/glucovy-supplement/

    #BloodSugarSupport #NaturalBloodSugar #GlucoseBalance #SugarControl #HealthyBloodSugar #StabilizeBloodSugar #GlycemicHealth #NaturalSupplement
    Glucovy Supplement: Safe & Natural Way to Balance Blood Sugar https://yourhealthrights.com/glucovy-supplement/ #BloodSugarSupport #NaturalBloodSugar #GlucoseBalance #SugarControl #HealthyBloodSugar #StabilizeBloodSugar #GlycemicHealth #NaturalSupplement
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·563 مشاهدة
  • Early Childhood Assistant Course In Canada | Gagner Planners

    Visit: https://gagnerplanners.com/early-childhood-assistant-program.php

    Build a meaningful career in early education with the Early Childhood Assistant Course in Canada, guided by Gagner Planners. This course develops your ability to assist in classrooms, support teachers, and encourage children’s growth. With expert advice, Gagner Planners helps you select the right program and prepare for success. Make a difference in young lives while securing a strong career path. Take the step today—contact Gagner Planners and start your application for the Early Childhood Assistant Course in Canada.
    Early Childhood Assistant Course In Canada | Gagner Planners Visit: https://gagnerplanners.com/early-childhood-assistant-program.php Build a meaningful career in early education with the Early Childhood Assistant Course in Canada, guided by Gagner Planners. This course develops your ability to assist in classrooms, support teachers, and encourage children’s growth. With expert advice, Gagner Planners helps you select the right program and prepare for success. Make a difference in young lives while securing a strong career path. Take the step today—contact Gagner Planners and start your application for the Early Childhood Assistant Course in Canada.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·601 مشاهدة
  • Tetesi Zinazovuma

    Liverpool wako tayari kuipuuza Crystal Palace na kusubiri hadi mwisho wa msimu kumsajili Marc Guéhi kwa uhamisho huru, kwa mujibu wa Daily Mirror. Uhamisho wa Guéhi kutoka London kwenda Merseyside ulivunjika dakika za mwisho katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili.

    Ilikuwa inatarajiwa sana kuwa mabingwa wa Premier League wangerudi tena Januari, jambo ambalo lingeiwezesha Palace kupata ada ya uhamisho kwa nahodha wao, ambaye yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake.

    Hata hivyo, Liverpool wanaamini Palace wanajaribu kuchochea nia kutoka kwa klabu pinzani ili kuwashinikiza, lakini hawana mpango wa kutoa ofa mwezi Januari.

    Mchezaji mwenyewe ameweka wazi kuwa hana nia ya kuongeza mkataba mpya ndani ya Selhurst Park, na anaweza kujiunga na Liverpool kama mchezaji huru majira ya kiangazi yajayo, kuchukua nafasi ya mabeki wanaotarajiwa kuondoka — Ibrahima Konaté na Joe Gomez.

    Kwa mujibu wa Marca, uamuzi wa Konaté kukataa ofa ya tatu na ya mwisho ya mkataba mpya Liverpool unafungua njia kwa Real Madrid kumsajili beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 26 mwaka 2026 kwa uhamisho huru.

    Chanzo: ESPN
    👀Tetesi Zinazovuma 👉Liverpool wako tayari kuipuuza Crystal Palace na kusubiri hadi mwisho wa msimu kumsajili Marc Guéhi kwa uhamisho huru, kwa mujibu wa Daily Mirror. Uhamisho wa Guéhi kutoka London kwenda Merseyside ulivunjika dakika za mwisho katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili. 👉Ilikuwa inatarajiwa sana kuwa mabingwa wa Premier League wangerudi tena Januari, jambo ambalo lingeiwezesha Palace kupata ada ya uhamisho kwa nahodha wao, ambaye yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake. 👉Hata hivyo, Liverpool wanaamini Palace wanajaribu kuchochea nia kutoka kwa klabu pinzani ili kuwashinikiza, lakini hawana mpango wa kutoa ofa mwezi Januari. 👉Mchezaji mwenyewe ameweka wazi kuwa hana nia ya kuongeza mkataba mpya ndani ya Selhurst Park, na anaweza kujiunga na Liverpool kama mchezaji huru majira ya kiangazi yajayo, kuchukua nafasi ya mabeki wanaotarajiwa kuondoka — Ibrahima Konaté na Joe Gomez. 👉Kwa mujibu wa Marca, uamuzi wa Konaté kukataa ofa ya tatu na ya mwisho ya mkataba mpya Liverpool unafungua njia kwa Real Madrid kumsajili beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 26 mwaka 2026 kwa uhamisho huru. Chanzo: ESPN
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·359 مشاهدة
  • Isak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool

    Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool.

    Mchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba.

    Isak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool.

    Huenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.
    👀Isak aanza mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool 👉Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameanza rasmi mazoezi na kikosi cha Liverpool. 👉Mchezaji huyo wa Kiswidi alikamilisha usajili wa rekodi ya Uingereza wa £125 milioni kutoka Newcastle katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili, kisha akaungana na timu ya taifa ya Sweden kwa mechi za kimataifa za Septemba. 👉Isak alicheza dakika 18 tu katika mechi mbili ambazo Sweden haikushinda dhidi ya Slovenia na Kosovo, lakini sasa ameonekana akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wapya wa klabu ya Liverpool. 👉Huenda Isak akacheza mechi yake ya kwanza kwa Liverpool dhidi ya Burnley siku ya jumapili hii.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·310 مشاهدة
  • |Gazzetta_it: Federico Chiesa alikataa ofa za mkopo kutoka klabu za Napoli na Inter na badala yake akaamua kubaki Liverpool kwa sababu anataka kushindana na “wachezaji wa kiwango cha juu” ndani ya Liverpool.

    Ana ari kubwa ya kujithibitisha kwa Arne Slot.
    🚨|Gazzetta_it: Federico Chiesa alikataa ofa za mkopo kutoka klabu za Napoli na Inter na badala yake akaamua kubaki Liverpool kwa sababu anataka kushindana na “wachezaji wa kiwango cha juu” ndani ya Liverpool. 👉Ana ari kubwa ya kujithibitisha kwa Arne Slot.
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·120 مشاهدة
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: West Ham imekamilisha usajili wa Lukasz Fabianski (40) kama mchezaji huru

    Fabiansk anarejea West Ham ... Huku akicheza michezo 216 appearances .
    🚨🇵🇱 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: West Ham imekamilisha usajili wa Lukasz Fabianski (40) kama mchezaji huru ⚒️ Fabiansk anarejea West Ham ... Huku akicheza michezo 216 appearances . 🧤✨
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·190 مشاهدة
  • _||𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...

    Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.

    Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo!
    🚨_||💣𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki 🇬🇷 (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea... 👨‍💼Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens. 😮 Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo! 😲
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·304 مشاهدة
  • CHUKUA HII

    Mohamed Salah anashika nafasi ya 3 ya wafungaji wa muda wote ndani ya klabu ya Liverpool mpaka hivi sasa, akiwa ameifungua Liverpool magoli 246 katika michezo 405.
    CHUKUA HII 👇 👉Mohamed Salah anashika nafasi ya 3 ya wafungaji wa muda wote ndani ya klabu ya Liverpool mpaka hivi sasa, akiwa ameifungua Liverpool magoli 246 katika michezo 405.
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·251 مشاهدة
  • Tutegemee kumuona Bajcetic akipewa nafasi ya kucheza ndani ya Liverpool msimu huu baada ya Liverpool kugoma kumtoa kwa mkopo/kumuuza moja kwa moja.
    👀Tutegemee kumuona Bajcetic akipewa nafasi ya kucheza ndani ya Liverpool msimu huu baada ya Liverpool kugoma kumtoa kwa mkopo/kumuuza moja kwa moja.👊🔴
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·212 مشاهدة