0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·1 Visualizações
-
Klabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini.
WAFUNGAJI :
Feitoto
Kitambala
#SportsEliteKlabu ya soka ya Azam FC imeanza vyema michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuondoka na ushindi ugenini wa Magoli 2 Kwa Sifuri dhidi ya timu ya El-Mereikh kutoka Sudani Kusini. WAFUNGAJI : ⚽ Feitoto ⚽ Kitambala #SportsElite0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·3 Visualizações -
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1 Visualizações
-
Usajili: Bakambu kuwindwa Brazil… kwenye nyayo za Bolasie
Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo, Cédric Bakambu, amewekwa kwenye rada za klabu ya Brazil Atlético-MG.
Kwa mujibu wa taarifa za Bolavip la Brazil, Bakambu ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na mabingwa hao wa soka kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao.
Kocha mpya wa Atlético-MG, Jorge Sampaoli, raia wa Argentina, amempa Bakambu kipaumbele katika usajili. Wawili hawa wana historia ya kufanya kazi pamoja wakiwa Olympique de Marseille nchini Ufaransa na wanaheshimiana sana.
Takwimu za Bakambu akiwa Real Betis
Bakambu alijiunga na Real Betis mwaka 2024 akitokea Galatasaray kwa ada ya euro milioni 5.
Amecheza jumla ya michezo 52 kwenye mashindano yote, akifunga mabao 12 na kutoa asisti 4.
Kwa sasa ana mkataba na Real Betis hadi mwaka 2026, huku thamani yake sokoni ikikadiriwa kuwa euro milioni 1.5.Usajili: Bakambu kuwindwa Brazil… kwenye nyayo za Bolasie Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo, Cédric Bakambu, amewekwa kwenye rada za klabu ya Brazil Atlético-MG. Kwa mujibu wa taarifa za Bolavip la Brazil, Bakambu ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na mabingwa hao wa soka kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao. Kocha mpya wa Atlético-MG, Jorge Sampaoli, raia wa Argentina, amempa Bakambu kipaumbele katika usajili. Wawili hawa wana historia ya kufanya kazi pamoja wakiwa Olympique de Marseille nchini Ufaransa na wanaheshimiana sana. Takwimu za Bakambu akiwa Real Betis Bakambu alijiunga na Real Betis mwaka 2024 akitokea Galatasaray kwa ada ya euro milioni 5. Amecheza jumla ya michezo 52 kwenye mashindano yote, akifunga mabao 12 na kutoa asisti 4. Kwa sasa ana mkataba na Real Betis hadi mwaka 2026, huku thamani yake sokoni ikikadiriwa kuwa euro milioni 1.5.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·2 Visualizações -
-
FC Barcelona inapanga kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane kwenye dilisha dogo .
Kane huwenda akawa mbadala wa Robert Lewandowski replacement.
(Source: El Nacional)🚨 FC Barcelona inapanga kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane kwenye dilisha dogo . Kane huwenda akawa mbadala wa Robert Lewandowski replacement. (Source: El Nacional)0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1 Visualizações -
Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia.
Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana 🙌🏽
Source: TNTSsportsBR🚨🚨⚠️‼️ Muda wa kupona jeraha la paja la kulia la Neymar Jr. (rectus femoris) linaweza kuanzia wiki 4 hadi 12. Kwa hivyo, Ney hatakuwepo kwa Timu ya Taifa ya Brazil kwa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Oktoba na pia anaweza kukosa mapumziko ya Kimataifa ya FIFA ya Novemba pia. 😬 Neymar Jr Zisingekuwa Injari nyingi Jamaa ni Fundi WA mpila Sana aiseee Tungefurahi Sana 🙌🏽 Source: ℹ️TNTSsportsBR0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1 Visualizações