
-
-
Usiogope Kuacha Kitu Kizuri Kwaajili ya Kitu Kilicho Bora Zaid
Usiogope Kuacha Kitu Kizuri Kwaajili ya Kitu Kilicho Bora Zaid -
-
Jifunze Kuiona Thamani Ya Dhahabu Hata Kama iko kwenye Matope
Jifunze Kuiona Thamani Ya Dhahabu Hata Kama iko kwenye Matope -
-
Maamuzi magumu huwenda yakaleta heshima badae
Maamuzi magumu huwenda yakaleta heshima badae -
Mwanangu usiibe kitu cha mtu aliyemwaga jasho lake kwa uchungu, ridhika na alichokupa mungu.
Mwanangu usiibe kitu cha mtu aliyemwaga jasho lake kwa uchungu, ridhika na alichokupa mungu. -
-
Ukiishi kwa adabu ukifa utazikwa kwa heshima chini ya jua
Ukiishi kwa adabu ukifa utazikwa kwa heshima chini ya jua