
-
Niite ben, niite mkali zaidi yao...
Niite kaka yao, watambue mimi ndio mkubwa wao...
Niite ndoto, nitembee juu ya bongo zao...
Ama niite paster nikemee ayo, mapepo yao...
Niite mwana niite baba la baba...
Niite father kwa maana nisha zalisha wengi wa mama...
Niite wewe,vita vya panzi nakula mwewe...
Niite Hustler kila kiunga natest paper...
Ni chapter after chapter, niite rapcha risa...
Mr niite ben killer...
Punch juu ya beat nawaangusha 2 kwa vina, niite winner...Niite ben, niite mkali zaidi yao... Niite kaka yao, watambue mimi ndio mkubwa wao... Niite ndoto, nitembee juu ya bongo zao... Ama niite paster nikemee ayo, mapepo yao... Niite mwana niite baba la baba... Niite father kwa maana nisha zalisha wengi wa mama... Niite wewe,vita vya panzi nakula mwewe... Niite Hustler kila kiunga natest paper... Ni chapter after chapter, niite rapcha risa... Mr niite ben killer... Punch✊👊👊 juu ya beat nawaangusha 2 kwa vina, niite winner... -
-
-
-
-
Ukibeti..ukideti na..studenti.. walai sikatai. umeliwa...
Yani ukiketi.. ukiseti.. mitambo. Mambo. Yanakataliwa...
Uwe ubao wa fasihi.. ubao wa manii.. huu NI ufunuo wa fasihi...
Nakufunulia.. we Malia.. hizi fasihi za hip hop...
Nakupa onyo...
Baba mkanye mwanao .. nakukanya we ꙬꙬ na dada zako...
Funua huu ufunuo.. ꙬꙬ leo nataka ꙬꙬ zako...Ukibeti..ukideti na..studenti.. walai sikatai. umeliwa... Yani ukiketi.. ukiseti.. mitambo. Mambo. Yanakataliwa... Uwe ubao wa fasihi.. ubao wa manii.. huu NI ufunuo wa fasihi... Nakufunulia.. we Malia.. hizi fasihi za hip hop... Nakupa onyo... Baba mkanye mwanao .. nakukanya we ꙬꙬ na dada zako... Funua huu ufunuo.. ꙬꙬ leo nataka ꙬꙬ zako... -
-
Ngoja ni bet game,, za kesho kal lazma akae muhindi...
Ili baadaye niwe ka kagame,, nile maisha pemben na mtindi...Ngoja ni bet game,, za kesho kal lazma akae muhindi... Ili baadaye niwe ka kagame,, nile maisha pemben na mtindi... -