• #PART6

    Alipoingia Ikulu Kabila alifuta jina Zaire na kurudisha Congo (Jamhuri ya kidemokrasia). Baadae alifikiria kuiachia Kivu, eneo lenye utajiri mkubwa wa madini adimu duniani. Akasema "to hell with Lemera Agreement" akautupilia mbali mkataba wa Lemera. Akasema Kivu itabaki Congo na madini ya Kivu yatajenga Congo. Full stop. Ashakuwa Rais utamfanya nini?

    Kagame hakuamini macho yake. Alishawaza jinsi ambavyo Rwanda ingekuwa Dubai ya Afrika kwa rasilimali za Congo. Lakini ghafla aligeukwa na mshirika wake Laurent Désiré Kabila. Akamfuata "Godfather" wake mzee Museveni. Mzee akasema kama katugeuka tumpige. Wakatafuta kikundi cha Waasi wakiunge mkono. Wakapata Rassemblement Congolais pour la Démocratie (RCD), kilichoongozwa na Jenerali Ernest Wamba dia Wamba. Kikundi kikapewa silaha na fedha kikaanza kumshughulikia Kabila.

    RCD ikaanza kuchapana na jeshi la Congo (FARDC) ikiwa na backup ya Rwanda na Uganda. Vita vikapamba moto. Rwanda na Uganda nao wakaingiza majeshi Congo kusaidia waasi wa RCD. Kabila akaona anazidiwa, akaomba msaada Angola na Chad. Nchi hizo zikaleta vikosi vyake Congo. Mapigano yakawa makali sana. Eneo la mashariki mwa Congo likageuka machinjioni. Watu walikufa kwa wingi, mpaka maiti zikatapakaa barabarani bila kuzikwa, zikawa zinadonolewa na ndege.

    Hii iliitwa Vita ya Pili ya Congo (1998–2002), iliyokua mbaya zaidi katika historia ya vita zote Afrika. Imebatizwa jina "Vita Kuu ya Afrika". Inakadiriwa watu laki tano walipoteza maisha huku mamilioni wakikimbia nchi. Mapigano yaliendelea, huku vikosi vya Rwanda na Uganda vikichota madini. Katikati ya mapigano mgongano wa kimaslahi ukajitokeza.

    Jasin Stearns, katika kitabu chake Dancing in the Glory of Monsters, anasema Kagame alishindwa kuelewana na "godfather" wake Museveni juu ya mgawanyo wa mali. Hali hiyo ilifanya kikundi cha RCD kipasuke na kuzaliwa vikundi viwili. Cha kwanza kikajiita RCD-Goma kikiongozwa na Kanali Emile Ilunga (hiki kilisaidiwa na Rwanda) na cha pili kikajiita RCD-Kisangani, kikiongozwa na Jenerali Mbusa Nyamwisi (kikisaidiwa na Uganda).
    (Malisa GJ)

    #PART6 Alipoingia Ikulu Kabila alifuta jina Zaire na kurudisha Congo (Jamhuri ya kidemokrasia). Baadae alifikiria kuiachia Kivu, eneo lenye utajiri mkubwa wa madini adimu duniani. Akasema "to hell with Lemera Agreement" akautupilia mbali mkataba wa Lemera. Akasema Kivu itabaki Congo na madini ya Kivu yatajenga Congo. Full stop. Ashakuwa Rais utamfanya nini? Kagame hakuamini macho yake. Alishawaza jinsi ambavyo Rwanda ingekuwa Dubai ya Afrika kwa rasilimali za Congo. Lakini ghafla aligeukwa na mshirika wake Laurent Désiré Kabila. Akamfuata "Godfather" wake mzee Museveni. Mzee akasema kama katugeuka tumpige. Wakatafuta kikundi cha Waasi wakiunge mkono. Wakapata Rassemblement Congolais pour la Démocratie (RCD), kilichoongozwa na Jenerali Ernest Wamba dia Wamba. Kikundi kikapewa silaha na fedha kikaanza kumshughulikia Kabila. RCD ikaanza kuchapana na jeshi la Congo (FARDC) ikiwa na backup ya Rwanda na Uganda. Vita vikapamba moto. Rwanda na Uganda nao wakaingiza majeshi Congo kusaidia waasi wa RCD. Kabila akaona anazidiwa, akaomba msaada Angola na Chad. Nchi hizo zikaleta vikosi vyake Congo. Mapigano yakawa makali sana. Eneo la mashariki mwa Congo likageuka machinjioni. Watu walikufa kwa wingi, mpaka maiti zikatapakaa barabarani bila kuzikwa, zikawa zinadonolewa na ndege. Hii iliitwa Vita ya Pili ya Congo (1998–2002), iliyokua mbaya zaidi katika historia ya vita zote Afrika. Imebatizwa jina "Vita Kuu ya Afrika". Inakadiriwa watu laki tano walipoteza maisha huku mamilioni wakikimbia nchi. Mapigano yaliendelea, huku vikosi vya Rwanda na Uganda vikichota madini. Katikati ya mapigano mgongano wa kimaslahi ukajitokeza. Jasin Stearns, katika kitabu chake Dancing in the Glory of Monsters, anasema Kagame alishindwa kuelewana na "godfather" wake Museveni juu ya mgawanyo wa mali. Hali hiyo ilifanya kikundi cha RCD kipasuke na kuzaliwa vikundi viwili. Cha kwanza kikajiita RCD-Goma kikiongozwa na Kanali Emile Ilunga (hiki kilisaidiwa na Rwanda) na cha pili kikajiita RCD-Kisangani, kikiongozwa na Jenerali Mbusa Nyamwisi (kikisaidiwa na Uganda). (Malisa GJ)
    Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • #Baba_Levo amesema kuelekea Mchezo wa Yanga sc dhidi ya Al hilal, Yeye ataweka kiasi cha Tsh Mil 9 kwa Yanga Sc kwani ana uwakika zaidi Atashinda ..

    " Nikiwa Dubai kesho naiwekea Yanga Sc Mil Tisa .." ameandika Baba levo

    Baba levo ameandika Hayo kupitia kwenye Mtandao wake wa Instagram

    #kastulelias
    #Baba_Levo amesema kuelekea Mchezo wa Yanga sc dhidi ya Al hilal, Yeye ataweka kiasi cha Tsh Mil 9 kwa Yanga Sc kwani ana uwakika zaidi Atashinda .. ✍️" Nikiwa Dubai kesho naiwekea Yanga Sc Mil Tisa 🙏🙏 .." ameandika Baba levo Baba levo ameandika Hayo kupitia kwenye Mtandao wake wa Instagram #kastulelias
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·800 Views
  • Location Dubai
    Location Dubai🛩️🛩️
    Love
    Like
    5
    · 0 Comments ·0 Shares ·735 Views
  • Diamond Platnumz Na Paul Pogba Wakutana Dubai
    Diamond Platnumz Na Paul Pogba Wakutana Dubai
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·355 Views ·13
  • Mnakumbuka kipindi cha Magufuli, mwanzoni kabisa tulikuwa tunasema Bashite kamloga Magu kwa jinsi ambavyo Bashite aliweza kumcontrol Magu na Magu alikuwa hasikii haoni kwa Bashite.

    Kwenye kipindi hiki ile nafasi ya Bashite kwa Rais anayo huyu jambazi anaitwa Waziri Salum.
    Kwa kifupi huyu jamaa anamtukana mpaka yule mzee wa Usalama wa taifa pamoja na mkurugenzi wa TCRA kama watoto wadogo.

    Jamaa ana majumba Masaki na Dubai kwa kuuza access ya Rais.

    Stay tuned! Mambo ni mengi muda mchache……. Haya ndio mambo nayapenda, Nakojoaaaaa
    Mnakumbuka kipindi cha Magufuli, mwanzoni kabisa tulikuwa tunasema Bashite kamloga Magu kwa jinsi ambavyo Bashite aliweza kumcontrol Magu na Magu alikuwa hasikii haoni kwa Bashite. Kwenye kipindi hiki ile nafasi ya Bashite kwa Rais anayo huyu jambazi anaitwa Waziri Salum. Kwa kifupi huyu jamaa anamtukana mpaka yule mzee wa Usalama wa taifa pamoja na mkurugenzi wa TCRA kama watoto wadogo. Jamaa ana majumba Masaki na Dubai kwa kuuza access ya Rais. Stay tuned! Mambo ni mengi muda mchache……. Haya ndio mambo nayapenda, Nakojoaaaaa 🤣🤣🤣
    Like
    Love
    4
    · 0 Comments ·0 Shares ·243 Views
  • God if this life is fake, please continue to grant it for me, I don't want real life 👨🏿‍💻

    Living la vida loca! With Mansamussa2.0

    #forexdubai
    #forextanzania
    #forex
    #numbersdontlie
    #mansamussaflippingbot
    #mansamussa20
    #tradetowithdraw
    God if this life is fake, please continue to grant it for me, I don't want real life 🛩️🏎️💨👨🏿‍💻🇦🇪 Living la vida loca! With Mansamussa2.0 🤖🏧 #forexdubai 🇦🇪 #forextanzania #forex #numbersdontlie #mansamussaflippingbot #mansamussa20🤖🏧 #tradetowithdraw
    Love
    Like
    4
    · 2 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • 👊🏼#lifeisgucci Money is keeping us at peace. ++🛜=

    You need money ooh! There is no any other way around.GET AUTOMATED with MANSAMUSSA 2.0 today.

    #forexdubai
    #forextanzania
    #forex
    #numbersdontlie
    #mansamussaflippingbot
    #mansamussa20
    #tradetowithdraw
    👊🏼#lifeisgucci Money is keeping us at peace. 💻+🤖+🛜=🏧💰💰💰💰 You need money ooh! There is no any other way around.GET AUTOMATED with MANSAMUSSA 2.0 today. #forexdubai 🇦🇪 #forextanzania #forex #numbersdontlie #mansamussaflippingbot #mansamussa20🤖🏧 #tradetowithdraw
    Love
    1
    · 2 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • 👊🏼 #lifeisgucci Money is keeping us at peace. ++🛜=

    You need money ooh! There is no any other way around.GET AUTOMATED with MANSAMUSSA 2.0 today.

    #forexdubai
    #forextanzania
    #forex
    #numbersdontlie
    #mansamussaflippingbot
    #mansamussa20
    #tradetowithdraw
    👊🏼 #lifeisgucci Money is keeping us at peace. 💻+🤖+🛜=🏧💰💰💰💰 You need money ooh! There is no any other way around.GET AUTOMATED with MANSAMUSSA 2.0 today. #forexdubai 🇦🇪 #forextanzania #forex #numbersdontlie #mansamussaflippingbot #mansamussa20🤖🏧 #tradetowithdraw
    Love
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • DZ + DUBAI = DZUBAI

    #safaridesertdubai
    #Raha
    DZ + DUBAI = DZUBAI #safaridesertdubai🇦🇪 #Raha
    Love
    Like
    Haha
    Angry
    22
    · 3 Comments ·0 Shares ·818 Views