
-
-
-
-
-
-
Naomba msaada jamani jinsi ya kupandisha followers humu???
Nahitaji msaada wenu...Naomba msaada jamani jinsi ya kupandisha followers humu??? Nahitaji msaada wenu...0 Comments ·0 Shares ·216 Views -
-
COMPLEX NA VIVY.
Walipata ajali mbaya ya gari wakitokea Morogoro kwenda Arusha kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wa Vivian a.k.a Vivy.
Complex na Vivy walikuwa ni wapenzi waliozaliwa tarehe moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja. Walishangaza wengi baada ya wao kufa pamoja tar 21.08.2005.
Walikutanishwa na mtaalamu Ambwene Yessayah, A.Y. Complex akiwa ni producer wa studio ya Algies Records huku Vivian akiwa Ni mtangazaji wa Clouds FM.
Kisa Cha kukutana nakuwa Wapenzi Kiko hivi Vivian alifahamiana na A.Y Mkoani Iringa Kipindi A.Y anasoma Ifunda na Vivian alikuwa anasoma Mkwawa.
Baada ya School, AY alikuja kukutana na Vivian Arusha alipoenda kwenye show akamshawishi Vivian kwa muonekano wake awe Mtangazaji. Vivian akaelewa Mchongo akakutanishwa na Hayati Gardener G Habash pale Clouds akapewa Mchongo wa Utangazaji.
Simon Sai a.K.a Complex alikuwa anafanya kazi na A.Y
Kuna ngoma walishirikishana kiufupi walikuwa Maswahiba wakubwa baada ya kufahamiana.
Simon Sai a.K.a Complex akamuona Vivian pale Clouds FM kupitia A.Y akatokea kumpenda Vivian
Baada ya hapo kilichofuata ni kuibuka kwa Penzi Zito kati ya Complex na Vivian..
#BURUDANI #michezoonlineupdates #mahusiano
Like & followCOMPLEX NA VIVY. Walipata ajali mbaya ya gari wakitokea Morogoro kwenda Arusha kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wa Vivian a.k.a Vivy. Complex na Vivy walikuwa ni wapenzi waliozaliwa tarehe moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja. Walishangaza wengi baada ya wao kufa pamoja tar 21.08.2005. Walikutanishwa na mtaalamu Ambwene Yessayah, A.Y. Complex akiwa ni producer wa studio ya Algies Records huku Vivian akiwa Ni mtangazaji wa Clouds FM. Kisa Cha kukutana nakuwa Wapenzi Kiko hivi Vivian alifahamiana na A.Y Mkoani Iringa Kipindi A.Y anasoma Ifunda na Vivian alikuwa anasoma Mkwawa. Baada ya School, AY alikuja kukutana na Vivian Arusha alipoenda kwenye show akamshawishi Vivian kwa muonekano wake awe Mtangazaji. Vivian akaelewa Mchongo akakutanishwa na Hayati Gardener G Habash pale Clouds akapewa Mchongo wa Utangazaji. Simon Sai a.K.a Complex alikuwa anafanya kazi na A.Y Kuna ngoma walishirikishana kiufupi walikuwa Maswahiba wakubwa baada ya kufahamiana. Simon Sai a.K.a Complex akamuona Vivian pale Clouds FM kupitia A.Y akatokea kumpenda Vivian 😊 Baada ya hapo kilichofuata ni kuibuka kwa Penzi Zito kati ya Complex na Vivian.. #BURUDANI #michezoonlineupdates #mahusiano Like & follow 🙏 🙏 -
Chukua hii tumia Hizi “Sheria 20 za 2025 kuelekea mafanikio yako..
1. Hakuna ngono. Epuka kitu chochote kitakachokuchochea kuitazama.
2. Fanya mazoezi mara tatu hadi nne kila wiki.
3. Soma kurasa 10 za kitabu cha kujiboresha au kitabu cha historia kila siku.
4. Hasira si rafiki yako. Idhibiti kabla ya kukudhibiti.
5. kila wakati jitahidi kukaa nadhifu 80% ya wakati.
6. Usiwe mcheshi ili kumvutia mtu yeyote. Hasa w0m£n.
7. Fanya kazi kabla ya Burudani. Fanya kile unachohitaji kufanya kabla ya kwenda kwa kile unachotaka kufanya.
8. Uvutaji sigara hudhuru zaidi kuliko inavyopenda. Achana nayo.
9.samehe lakini usisahau somo ulilojifunza.
10. Kuwa na Maono. Kuwa na kusudi. Pambana kuelekea hilo.
11. Usikubali Kudharauliwa.
12. Usifanye mzaha na maisha yako ya kifedha.
13. Pesa inayotumika kununulia mapenzi, itaendelea kutumika kudumisha upendo huo. Usijihusishe na kitendo kama hicho.
14.usijitambulishe kama "mwanaume halisi", hakuna kitu kama "mwanaume halisi". SIMP pekee ndizo zinazoitwa hivyo. Wewe ni wa thamani kubwa au huna.
15. Jifunze jinsi ya kujitetea.
16. Haijalishi umeanguka mara ngapi, pumua kwa kina na uinuke tena.
17.dakika sh£ inakukataa, misheni imefutwa. Usiamue kuwa rafiki wa h£r. Songa mbele haraka iwezekanavyo. Kuna wanawake bilioni 3.97 duniani.
18. Marafiki zako watakujenga au watakuvunja. Chagua kwa busara.
19. Waheshimu na wapende wazazi wako. Walikuleta kwenye ulimwengu huu.
20.anza 2025 na Mungu. Maliza na Mungu. Kaa Savage”.
Plz like & followChukua hii tumia Hizi “Sheria 20 za 2025 kuelekea mafanikio yako.. 1. Hakuna ngono. Epuka kitu chochote kitakachokuchochea kuitazama. 2. Fanya mazoezi mara tatu hadi nne kila wiki. 3. Soma kurasa 10 za kitabu cha kujiboresha au kitabu cha historia kila siku. 4. Hasira si rafiki yako. Idhibiti kabla ya kukudhibiti. 5. kila wakati jitahidi kukaa nadhifu 80% ya wakati. 6. Usiwe mcheshi ili kumvutia mtu yeyote. Hasa w0m£n. 7. Fanya kazi kabla ya Burudani. Fanya kile unachohitaji kufanya kabla ya kwenda kwa kile unachotaka kufanya. 8. Uvutaji sigara hudhuru zaidi kuliko inavyopenda. Achana nayo. 9.samehe lakini usisahau somo ulilojifunza. 10. Kuwa na Maono. Kuwa na kusudi. Pambana kuelekea hilo. 11. Usikubali Kudharauliwa. 12. Usifanye mzaha na maisha yako ya kifedha. 13. Pesa inayotumika kununulia mapenzi, itaendelea kutumika kudumisha upendo huo. Usijihusishe na kitendo kama hicho. 14.usijitambulishe kama "mwanaume halisi", hakuna kitu kama "mwanaume halisi". SIMP pekee ndizo zinazoitwa hivyo. Wewe ni wa thamani kubwa au huna. 15. Jifunze jinsi ya kujitetea. 16. Haijalishi umeanguka mara ngapi, pumua kwa kina na uinuke tena. 17.dakika sh£ inakukataa, misheni imefutwa. Usiamue kuwa rafiki wa h£r. Songa mbele haraka iwezekanavyo. Kuna wanawake bilioni 3.97 duniani. 18. Marafiki zako watakujenga au watakuvunja. Chagua kwa busara. 19. Waheshimu na wapende wazazi wako. Walikuleta kwenye ulimwengu huu. 20.anza 2025 na Mungu. Maliza na Mungu. Kaa Savage”. Plz like & follow🙏 -
Klabu ya Real Madrid C.F. ipo tayari kusikiliza ofa ya mkopo juu ya Mchezaji wao raia wa Brazil Endrick Felipe Moreira.
Klabu itakayohitaji kumsajili kwa mkopo mchezaji huyo inatakiwa kuwasiliana na uongozi wa Los Blancos .
FOLLOW US.🚨 Klabu ya Real Madrid C.F. ipo tayari kusikiliza ofa ya mkopo juu ya Mchezaji wao raia wa Brazil 🇧🇷 Endrick Felipe Moreira. Klabu itakayohitaji kumsajili kwa mkopo mchezaji huyo inatakiwa kuwasiliana na uongozi wa Los Blancos 🤍🖤🧡. FOLLOW US. -
My stupid heart
If you have been rejected by a woman, don't make a mistake. By following her again, you're looking even more stupid.
This is for men not boyMy stupid heart 💔 If you have been rejected by a woman, don't make a mistake. By following her again, you're looking even more stupid. This is for men not boy -
Klabu ya SSC Napoli ipo katika mazungumzo na klabu ya Borussia Dortmund Ili kuangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wao raia wa Ujerumani Karim Adeyemi katika dirisha hili dogo la usajili.
Adeyemi dau lake katika Soko la usajili ni €45-50m.
Source: [ Fabrizio Romano ]
FOLLOW US.🚨 Klabu ya SSC Napoli ipo katika mazungumzo na klabu ya Borussia Dortmund Ili kuangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wao raia wa Ujerumani 🇩🇪 Karim Adeyemi katika dirisha hili dogo la usajili. Adeyemi dau lake katika Soko la usajili ni €45-50m. Source: [ Fabrizio Romano ] FOLLOW US. -
BAD RESULTS: pole sana shabiki zangu leo tulikuwa na siku mbaya kazini ZUBKOV wa Shaktar Donetsk amefunga goli halali DK ya 90+5 limekataliwa ambapo goli Hilo lilikuwa la 3 lakukamilisha mission yetu na tungeondoka na 4.6MILLION. Tukutane NEXT...
Nifollow #sokachampionsBAD RESULTS: pole sana shabiki zangu leo tulikuwa na siku mbaya kazini ZUBKOV wa Shaktar Donetsk amefunga goli halali DK ya 90+5 limekataliwa ambapo goli Hilo lilikuwa la 3 lakukamilisha mission yetu na tungeondoka na 4.6MILLION. Tukutane NEXT...🙏 Nifollow #sokachampions -
WISE MAN SAYS EVERYONE HAS ITS OWN COMPASS THAT SHOW HIM/HER TO RIGHT OR LEFT,
FOLLOW YOUR BETTER DIRRECTION IN ORDER TO IMPROVE YOURSELF.WISE MAN SAYS EVERYONE HAS ITS OWN COMPASS THAT SHOW HIM/HER TO RIGHT OR LEFT, FOLLOW YOUR BETTER DIRRECTION IN ORDER TO IMPROVE YOURSELF. -
....Kama unaamini huyo demu uliyonae ndo amani ya moyo wako basi,hata Young Africans ukiwauliza watakwambia Khalid Aucho the Tank , Daktari wa Mpira ndio amani ya Timu yao.
......Hakuna shaka yoyote kua Khalid Aucho akiwa eneo la kati kati la timu Yang ndani ya uwanja hata wachezaji wenzake huenjoy, halafu juu yake asimame mzenji Mudathiri Yahya aaah ni Raha mtupu.
.......hata ukicheki mechi Mbili za mwisho za Champions league dhidi ya Tp mazembe ambazo ndio alirejea Kutoka majeruhi Kuna kitu amekiongeza Kwa hali ya juu tofauti na Ile partnership ya Duke abuya na Mudathiri Kuna kitu kilikua kinapungua hasa kwenye ulinzi,yaani yule cover man Kipindi Yanga wanashambulia alikua anakosekana.
......You know what ukubali ukatae Khalid Aucho ndio mbeba maono kunako klabu ya Yanga,atapiga pasi fupi fupi,ataipa timu balance ya kucheza,pia atailinda timu mda inashambulia, kwenye nguvu atatumia nguvu , kwenye akili atatumia akili,ni complete namba six.
...... Anaitwa Jinja maestro Khalid Aucho Kutoka pale Kwa Rais museveni Uganda.
Usisahau kufollow Neliud Cosiah
....🎙️Kama unaamini huyo demu uliyonae ndo amani ya moyo wako basi,hata Young Africans ukiwauliza watakwambia Khalid Aucho the Tank , Daktari wa Mpira ndio amani ya Timu yao. ......Hakuna shaka yoyote kua Khalid Aucho akiwa eneo la kati kati la timu Yang ndani ya uwanja hata wachezaji wenzake huenjoy, halafu juu yake asimame mzenji Mudathiri Yahya aaah ni Raha mtupu. .......hata ukicheki mechi Mbili za mwisho za Champions league dhidi ya Tp mazembe ambazo ndio alirejea Kutoka majeruhi Kuna kitu amekiongeza Kwa hali ya juu tofauti na Ile partnership ya Duke abuya na Mudathiri Kuna kitu kilikua kinapungua hasa kwenye ulinzi,yaani yule cover man Kipindi Yanga wanashambulia alikua anakosekana. ......You know what ukubali ukatae Khalid Aucho ndio mbeba maono kunako klabu ya Yanga,atapiga pasi fupi fupi,ataipa timu balance ya kucheza,pia atailinda timu mda inashambulia, kwenye nguvu atatumia nguvu , kwenye akili atatumia akili,ni complete namba six. ...... Anaitwa Jinja maestro Khalid Aucho Kutoka pale Kwa Rais museveni Uganda. Usisahau kufollow Neliud Cosiah -
JINSI YA KUONGEZA INSTAGRAM FOLLOWERS,LIKES NA COMMENTS bure kwa kutumia app
Video link
https://youtu.be/YOudxvSCSfM
Hii app haitaji mambo mengi kama nyingine wala haitaji kulipia
Watch video and share to your friends
Credit
》》VENOM
》》DUDUU_MENDEZJINSI YA KUONGEZA INSTAGRAM FOLLOWERS,LIKES NA COMMENTS bure kwa kutumia app Video link https://youtu.be/YOudxvSCSfM Hii app haitaji mambo mengi kama nyingine wala haitaji kulipia Watch video and share to your friends Credit 》》VENOM 》》DUDUU_MENDEZ -
MANSA MUSA
.
Mansa Musa alizaliwa 1280 katika familia ya watawala. Nduguye , Mansa Abu-Bakr, alitawala ufamle huo hadi 1312, wakati alipoamua kwenda safari. Kulingana na mwanahistoria wa karne ya 14 Shibab al-Umari, Abu-Bakr alipendelea sana kuiona bahari ya Atlantic na kile ilichokuwa nacho. Aliripotiwa kuanza safari na msafara wa meli 2000 na maelfu ya wanaume na wanawake pamoja na watumwa. Walienda na hawakurudi tena. Wengine kama vile mwanahistoria wa Marekani Ivan Van Sertima anadai kwamba waliwasili Marekani Kusini. Lakini hakuna ushahidi. Ukweli ni kwamba Mansa Musa alirithi ufalme ulioachwa nyuma na nduguye. Chini ya uongozi wake ufalme wa Mali uliimarika kwa kiwango kikubwa.
Watag marafk zako waje wapate kufahamu mengi wasiyo yajua kuhusu Mansa Musa pia isisahau ku follow hawa watu.
.
.
.
Mfalme huyo aliripotiwa kuondoka Mali na msafara wa watu 60,000. Alibeba ufalme wake wote na maafisa wake , wanajeshi, watumbuizaji , madereva wa ngamia na watumwa 12,000 mbali na idadi kubwa ya mbuzi , kondoo na chakula. Ulikuwa mji uliokuwa ukipitia katika jangwa. Mji ambao wakaazi wake hadi watumwa wake walikuwa wamevalia dhahabu na nguo za hariri. Kulikuwa na ngamia 100 ambao kila mmojawao alikuwa akibeba mamia ya pauni za dhahabu. Utajiri huo ulionekana zaidi wakati msafara huo ulipowasili mjini Cairo ambapo ulionekana.
.
.
Kampuni ya kiteknolojia ya Marekani SmartAsset.com inakadiria kwamba kutokana na kuanguka kwa bei ya dhahabu, Hija ya Mansa Musa ilisababisha hasara ya $1.5bn (£1.1bn) katika uchumi wa eneo la mashariki ya kati. Alipokuwa akirudi nyumbani, Mansa Musa alpitia tena Misri na kulingana wachache akajaribu kusaidia uchumi wa taifa hilo kwa kuondoa dhahabu iliokuwepo kupitia kuiomba kwa kiwango cha juu kutoka kwa wafanyibiashara wa Misri. Wengine wanasema kuwa aligharamika sana hadi dhahabu alizokuwa nazo zikaisha. Lucy Duran wa Shule ya African and Oriental Studies mjini London anasema kwamba wanahistoria wa Mali walikasirishwa naye. ''Alitoa dhahabu nyingi ya Mali hali ambayo iliwafanya wanahistoria hao kutomsifu katika nyimbo zao na hadithi kwa kuwa wanaona kwamba alipoteza mali nyingi ya taifa hilo nje ya ufalme wake'', alisema.
.
SHUKRANIMANSA MUSA . Mansa Musa alizaliwa 1280 katika familia ya watawala. Nduguye , Mansa Abu-Bakr, alitawala ufamle huo hadi 1312, wakati alipoamua kwenda safari. Kulingana na mwanahistoria wa karne ya 14 Shibab al-Umari, Abu-Bakr alipendelea sana kuiona bahari ya Atlantic na kile ilichokuwa nacho. Aliripotiwa kuanza safari na msafara wa meli 2000 na maelfu ya wanaume na wanawake pamoja na watumwa. Walienda na hawakurudi tena. Wengine kama vile mwanahistoria wa Marekani Ivan Van Sertima anadai kwamba waliwasili Marekani Kusini. Lakini hakuna ushahidi. Ukweli ni kwamba Mansa Musa alirithi ufalme ulioachwa nyuma na nduguye. Chini ya uongozi wake ufalme wa Mali uliimarika kwa kiwango kikubwa. Watag marafk zako waje wapate kufahamu mengi wasiyo yajua kuhusu Mansa Musa pia isisahau ku follow hawa watu. . . . Mfalme huyo aliripotiwa kuondoka Mali na msafara wa watu 60,000. Alibeba ufalme wake wote na maafisa wake , wanajeshi, watumbuizaji , madereva wa ngamia na watumwa 12,000 mbali na idadi kubwa ya mbuzi , kondoo na chakula. Ulikuwa mji uliokuwa ukipitia katika jangwa. Mji ambao wakaazi wake hadi watumwa wake walikuwa wamevalia dhahabu na nguo za hariri. Kulikuwa na ngamia 100 ambao kila mmojawao alikuwa akibeba mamia ya pauni za dhahabu. Utajiri huo ulionekana zaidi wakati msafara huo ulipowasili mjini Cairo ambapo ulionekana. . . Kampuni ya kiteknolojia ya Marekani SmartAsset.com inakadiria kwamba kutokana na kuanguka kwa bei ya dhahabu, Hija ya Mansa Musa ilisababisha hasara ya $1.5bn (£1.1bn) katika uchumi wa eneo la mashariki ya kati. Alipokuwa akirudi nyumbani, Mansa Musa alpitia tena Misri na kulingana wachache akajaribu kusaidia uchumi wa taifa hilo kwa kuondoa dhahabu iliokuwepo kupitia kuiomba kwa kiwango cha juu kutoka kwa wafanyibiashara wa Misri. Wengine wanasema kuwa aligharamika sana hadi dhahabu alizokuwa nazo zikaisha. Lucy Duran wa Shule ya African and Oriental Studies mjini London anasema kwamba wanahistoria wa Mali walikasirishwa naye. ''Alitoa dhahabu nyingi ya Mali hali ambayo iliwafanya wanahistoria hao kutomsifu katika nyimbo zao na hadithi kwa kuwa wanaona kwamba alipoteza mali nyingi ya taifa hilo nje ya ufalme wake'', alisema. . SHUKRANI 🙏🙏🙏🙏🙏 -
Mtandao wa TikTok unatarajia kusitisha kutoa huduma nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025 kama Mahakama ikisimamia msimamo wake.
Serikali ya Marekani iliipa Masharti mtandao wa TikTok kuuza hisa zake kwa Raia wa Marekani badala ya kumilikiwa kwa asilimia zote na kampuni mama ya China ByteDance.
Ijumaa ya leo, Mahakama itakaa kujadili kama wasogeze mbele tarehe ya kusitisha huduma ya TikTok au waendelee na utaratibu uliopo.
Kwa upande wa wawakilishi wa mtandao wa TikTok wapo tayari kusitisha huduma Marekani kuliko kuuza hisa kwa Raia wa Marekani.
Follow #neliudcosiah
Mtandao wa TikTok unatarajia kusitisha kutoa huduma nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025 kama Mahakama ikisimamia msimamo wake. Serikali ya Marekani iliipa Masharti mtandao wa TikTok kuuza hisa zake kwa Raia wa Marekani badala ya kumilikiwa kwa asilimia zote na kampuni mama ya China ByteDance. Ijumaa ya leo, Mahakama itakaa kujadili kama wasogeze mbele tarehe ya kusitisha huduma ya TikTok au waendelee na utaratibu uliopo. Kwa upande wa wawakilishi wa mtandao wa TikTok wapo tayari kusitisha huduma Marekani kuliko kuuza hisa kwa Raia wa Marekani. Follow #neliudcosiah -
MJUE MNYAMA MAMBA KIUNDANI
Mamba ni moja ya mnyama alaye nyama, maisha yake ni majini na nchi kavu tuu, watu wengi hufikiri mamba ni mnyama anayezaa, lakini sivyo mamba ni mnyama anayetaga na hutaga mayai kwa wastani wa 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe anaatamia vipi wakati maisha yake ni ya heka heka, ukweli ni huu hutengeneza kiota kwa kuchimba pembezoni mwa mto, na kisha kufukia mayai yake mpaka hapo ambapo mayai yatakapokuwa tayari.
Mayai yake yanapokuwa tayari kwa kutoa watoto, mamba husikia sauti na akiyatoa mayai hayo katika kiota watoto wake hujitoa wenyewe, yaani watoto hutumia nguvu binafsi na kuvunja gamba la yai, kisha hutoka katika ulimwengu mpyaa, kazi ya mama kwa wakati huo itakuwa ni kuhakikisha anawachukua wanaye na kuwapeleka majini, ambapo huwabeba kwa kutumia mdomo wake.
Wakati huu wanyama wote ambapo huliwa na mamba ndio wakati ambapo hulipiza kisasi, mfano kenge, mijusi wakubwa pamoja na ndege, humtegea anapopeleka watoto wa awamu ya kwanza wale wanaosaria hujeruhiwa vibaya, au kubebwa kama chakula na wanyonge wa Mamba, na mamba hujisikia tabu sana kiasi kwamba anapoibuka katika maji huwatizama kwa jicho la Shari sana.
Watoto wa Mamba ukiwaona katika udogo wao ni wanashangaza sana, hutokaa ufikirie kwamba ndio hao wafikapo ukubwani hufikia urefu wa futi 13 na zaidi, na uzito wa kilo zaidi ya 1000, ni viumbe ambao huonekana wadogo sana unaweza hisi labda ni kenge tuu.
Kwa taarifa yako Mamba ni miongoni mwa wanyama wakubwa sana duniani, meno yake yamejipanga kama msumeno, ana macho makubwa, ngozi ngumu na mkia mrefu ambao humsaidia katika kuwinda, hupendelea sana kukaa kwenye maji lakini jua lichomozapo na likaribiapo kuzama hupendelea sana kwenda kuchukua vitamin.
Ajabu la mnyama huyu ni moja, pamoja kwamba wanyama wanaokula nyama tuu ndio huishi muda mfupi, lakini yeye maisha yake ni marefu anaweza kugonga miaka 50 na zaidi kabisa, muone vile na sura yake mbaya vile vile lakini ni mnyama ambaye anafahamu anafanya nini na kwa wakati gani, Dume huwa refu na zito kuliko jike.
CHAKULA CHAKE
Chakula kikuu cha Mamba ni nyama tuu, hutafuna samaki, wanyama wadogo wadogo nk, hapo ni wakati umri ukiwa bado Mdogo, lakini umri unapoongezeka mnyama mamba humuwinda moja kwa moja nyumbu, hawa huwakamata kiurahisi kwa sababu ya ujinga wao wanapovuka MAJI au kunywa maji, Twiga anapofata maji, Nyati pia anapoenda kunywa MAJI , wakati mwingine hujaribu hata kumuwinda tembo Mdogo, lakini anapotokea mama wa tembo zoezi hill huishia hapo.
SIFA ZAKE ZA KIPEKEE
1. Jamaa ni fundi wa kuogelea vibaya mno, ana kasi kubwa sana ndani ya maji.
2. Anaweza kuishi majini na nchi kavu.
3. Mashambulizi yake ni ya kishitukiza.
4. Ana akili na mjanja sana anapomuona mnyama ambaye hana uwezo wa kucheza naye hujifanya amelala usingizi ili uingie katika maji.
5. Ndio mnyama pekee ambaye amewatafuna sana binadamu.
6. Anapoiona hatari hukimbilia katika maji haraka sana, na akifika huko anakukaribisha.
7. Hapatani na simba kabisa kwakuwa ndiye mnyama, ambaye hupenda kumbughuzi awapo mapumzikoni, hivyo wawili hawa wanapokutana ni kama watani.
8. Mamba anajua sana kuzira, hupenda kuachana na vitu vinavyomuumiza kichwa.
9. Wakati mwingine huigiza amekufa ili kuwakamata samaki wakubwa kwa urahisi, akiwa majini utaona anazunguka tuu kama anapelekwa na maji, samaki wakubwa hubaki kumshangaa.
10. Ngozi yake ni dili sana, ila ukikamatwa nayo popote duniani utashughulikiwa maana anarindwa na Sharia umoja wa mataifa.
11. Aonapo hatari hukimbilia majini na akifika tuu hugeuza kichwa chake alikotoka.
12. Mkia wake pia huutumumia kumsukumia kiumbe anayejaribu kumshangaa nchi kavu, na ukishaingia kwenye naye huja.
13.:huwa na nguvu zaidi akiwa kwenye maji, kuliko nchi kavu.
14. Ni mnyama anayeua haraka sana, tofauti na wanyama wengine walao nyama, hivyo kifo chake sio cha mateso sana kama kwa simba au chui, ila kwa mtizamaji atapata hofu Mara dufu kuliko akiona mauaji ya wanyama wengine.
15. Anaweza kunyata katika maji na kiumbe aliyepo pembeni asishituke kabisa, akiwa mwanadamu ndio kabisa atakosa habari.
16. Mamba jike hapendi mambo ya mahaba, Mara nyingi hutumia muda mwingi kulikimbia dume.
17. Madume kwa sababu ya ukubwa wao na uzito, wakati mwingine hutumia ubabe kulipanda jike lake.
18. Dume LA mamba lina msaada mdogo sana kwa jike, msaada huo hutoa pindi linapokuwa na muda wa ziada.
19. Kutafuta chakula huweza kushirikiana.
20. Ni mnyama pekee anayekula nyama na anaishi umri mrefu, tofauti na wanyama wengine ambao hula nyama umri wao wa kuishi ni mfupi, hii ni kwasababu moja tuu mfumo wake wa mmeng'enyo wa chakula upo vizuri anaweza kula hata mifupa pasina kuchagua steki tuu.
21. Wakati mwingine mamba humeza mawe lakini bado sijapata uhakika mawe hayo sababu ya kumeza ni IPI, baadhi ya watu hudai mawe hayo humsaidia katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula na wengine hudai humsaidia katika kuogelea.
UKIKUTANA NAYE UFANYE NINI
Ushauri wa pekee ni kukimbia tuu, kwani hakuna namna yoyote inayoweza kukufanya utoke salama, mnyama huyu ana nguvu kubwa ya mwili na ni kiumbe ambaye huwezi pambana naye hata ukiwa na silaha kwa sababu ya ngozi yake ngumu.
Epuka kukaa sehemu ambazo kuna uwezekano wa uwepo wa kiumbe huyu ni hatari sana, sehemu hizo ni kama mito iliyopo vijijini au mbugani, kaa mbali kabisa na fukwe za mito hiyo, wala usidiriki kunawa au kutaka kunywa maji yake bila ruhusa ya anayewaongoza.
Like na Follow tMJUE MNYAMA MAMBA KIUNDANI Mamba ni moja ya mnyama alaye nyama, maisha yake ni majini na nchi kavu tuu, watu wengi hufikiri mamba ni mnyama anayezaa, lakini sivyo mamba ni mnyama anayetaga na hutaga mayai kwa wastani wa 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe anaatamia vipi wakati maisha yake ni ya heka heka, ukweli ni huu hutengeneza kiota kwa kuchimba pembezoni mwa mto, na kisha kufukia mayai yake mpaka hapo ambapo mayai yatakapokuwa tayari. Mayai yake yanapokuwa tayari kwa kutoa watoto, mamba husikia sauti na akiyatoa mayai hayo katika kiota watoto wake hujitoa wenyewe, yaani watoto hutumia nguvu binafsi na kuvunja gamba la yai, kisha hutoka katika ulimwengu mpyaa, kazi ya mama kwa wakati huo itakuwa ni kuhakikisha anawachukua wanaye na kuwapeleka majini, ambapo huwabeba kwa kutumia mdomo wake. Wakati huu wanyama wote ambapo huliwa na mamba ndio wakati ambapo hulipiza kisasi, mfano kenge, mijusi wakubwa pamoja na ndege, humtegea anapopeleka watoto wa awamu ya kwanza wale wanaosaria hujeruhiwa vibaya, au kubebwa kama chakula na wanyonge wa Mamba, na mamba hujisikia tabu sana kiasi kwamba anapoibuka katika maji huwatizama kwa jicho la Shari sana. Watoto wa Mamba ukiwaona katika udogo wao ni wanashangaza sana, hutokaa ufikirie kwamba ndio hao wafikapo ukubwani hufikia urefu wa futi 13 na zaidi, na uzito wa kilo zaidi ya 1000, ni viumbe ambao huonekana wadogo sana unaweza hisi labda ni kenge tuu. Kwa taarifa yako Mamba ni miongoni mwa wanyama wakubwa sana duniani, meno yake yamejipanga kama msumeno, ana macho makubwa, ngozi ngumu na mkia mrefu ambao humsaidia katika kuwinda, hupendelea sana kukaa kwenye maji lakini jua lichomozapo na likaribiapo kuzama hupendelea sana kwenda kuchukua vitamin. Ajabu la mnyama huyu ni moja, pamoja kwamba wanyama wanaokula nyama tuu ndio huishi muda mfupi, lakini yeye maisha yake ni marefu anaweza kugonga miaka 50 na zaidi kabisa, muone vile na sura yake mbaya vile vile lakini ni mnyama ambaye anafahamu anafanya nini na kwa wakati gani, Dume huwa refu na zito kuliko jike. CHAKULA CHAKE Chakula kikuu cha Mamba ni nyama tuu, hutafuna samaki, wanyama wadogo wadogo nk, hapo ni wakati umri ukiwa bado Mdogo, lakini umri unapoongezeka mnyama mamba humuwinda moja kwa moja nyumbu, hawa huwakamata kiurahisi kwa sababu ya ujinga wao wanapovuka MAJI au kunywa maji, Twiga anapofata maji, Nyati pia anapoenda kunywa MAJI , wakati mwingine hujaribu hata kumuwinda tembo Mdogo, lakini anapotokea mama wa tembo zoezi hill huishia hapo. SIFA ZAKE ZA KIPEKEE 1. Jamaa ni fundi wa kuogelea vibaya mno, ana kasi kubwa sana ndani ya maji. 2. Anaweza kuishi majini na nchi kavu. 3. Mashambulizi yake ni ya kishitukiza. 4. Ana akili na mjanja sana anapomuona mnyama ambaye hana uwezo wa kucheza naye hujifanya amelala usingizi ili uingie katika maji. 5. Ndio mnyama pekee ambaye amewatafuna sana binadamu. 6. Anapoiona hatari hukimbilia katika maji haraka sana, na akifika huko anakukaribisha. 7. Hapatani na simba kabisa kwakuwa ndiye mnyama, ambaye hupenda kumbughuzi awapo mapumzikoni, hivyo wawili hawa wanapokutana ni kama watani. 8. Mamba anajua sana kuzira, hupenda kuachana na vitu vinavyomuumiza kichwa. 9. Wakati mwingine huigiza amekufa ili kuwakamata samaki wakubwa kwa urahisi, akiwa majini utaona anazunguka tuu kama anapelekwa na maji, samaki wakubwa hubaki kumshangaa. 10. Ngozi yake ni dili sana, ila ukikamatwa nayo popote duniani utashughulikiwa maana anarindwa na Sharia umoja wa mataifa. 11. Aonapo hatari hukimbilia majini na akifika tuu hugeuza kichwa chake alikotoka. 12. Mkia wake pia huutumumia kumsukumia kiumbe anayejaribu kumshangaa nchi kavu, na ukishaingia kwenye naye huja. 13.:huwa na nguvu zaidi akiwa kwenye maji, kuliko nchi kavu. 14. Ni mnyama anayeua haraka sana, tofauti na wanyama wengine walao nyama, hivyo kifo chake sio cha mateso sana kama kwa simba au chui, ila kwa mtizamaji atapata hofu Mara dufu kuliko akiona mauaji ya wanyama wengine. 15. Anaweza kunyata katika maji na kiumbe aliyepo pembeni asishituke kabisa, akiwa mwanadamu ndio kabisa atakosa habari. 16. Mamba jike hapendi mambo ya mahaba, Mara nyingi hutumia muda mwingi kulikimbia dume. 17. Madume kwa sababu ya ukubwa wao na uzito, wakati mwingine hutumia ubabe kulipanda jike lake. 18. Dume LA mamba lina msaada mdogo sana kwa jike, msaada huo hutoa pindi linapokuwa na muda wa ziada. 19. Kutafuta chakula huweza kushirikiana. 20. Ni mnyama pekee anayekula nyama na anaishi umri mrefu, tofauti na wanyama wengine ambao hula nyama umri wao wa kuishi ni mfupi, hii ni kwasababu moja tuu mfumo wake wa mmeng'enyo wa chakula upo vizuri anaweza kula hata mifupa pasina kuchagua steki tuu. 21. Wakati mwingine mamba humeza mawe lakini bado sijapata uhakika mawe hayo sababu ya kumeza ni IPI, baadhi ya watu hudai mawe hayo humsaidia katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula na wengine hudai humsaidia katika kuogelea. UKIKUTANA NAYE UFANYE NINI Ushauri wa pekee ni kukimbia tuu, kwani hakuna namna yoyote inayoweza kukufanya utoke salama, mnyama huyu ana nguvu kubwa ya mwili na ni kiumbe ambaye huwezi pambana naye hata ukiwa na silaha kwa sababu ya ngozi yake ngumu. Epuka kukaa sehemu ambazo kuna uwezekano wa uwepo wa kiumbe huyu ni hatari sana, sehemu hizo ni kama mito iliyopo vijijini au mbugani, kaa mbali kabisa na fukwe za mito hiyo, wala usidiriki kunawa au kutaka kunywa maji yake bila ruhusa ya anayewaongoza. Like na Follow t0 Comments ·0 Shares ·605 Views -
Most DOWNLOADED premium Apps From DUDUU_MENDEZ COMMUNITY WEBSITE
- DARK TOOLS (instagram story downloader, reels downloader,Profile downloader, Fonts generator, ai chat,Netflix, n.k)
- CAPCUT PRO ( unlocked premium)
- AZAM TV (free, no subscription)
- DSTV & GO TV( no subscription)
- NETFLIX PREM
- PRIME BETTING (unlocked premium betting tips)
- INSTA BOOSTER ( TOP FOLLOW likes,comments and followers)
- ADVANCED CHATGPT (unlocked premium mode)
- ADOBE PRO (no subscription)
- TIKTOK BOOSTERS (likes,comments,followers)
Website
https://mendez-website.vercel.app/
Thanks For Your Support
#Duduumendez
#Duduu_mendez
#Duduu_mendez_backup
> 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1
▶︎ ●────────── 0:41Most DOWNLOADED premium Apps From DUDUU_MENDEZ COMMUNITY WEBSITE - DARK TOOLS (instagram story downloader, reels downloader,Profile downloader, Fonts generator, ai chat,Netflix, n.k) - CAPCUT PRO ( unlocked premium) - AZAM TV (free, no subscription) - DSTV & GO TV( no subscription) - NETFLIX PREM - PRIME BETTING (unlocked premium betting tips) - INSTA BOOSTER ( TOP FOLLOW likes,comments and followers) - ADVANCED CHATGPT (unlocked premium mode) - ADOBE PRO (no subscription) - TIKTOK BOOSTERS (likes,comments,followers) Website https://mendez-website.vercel.app/ Thanks For Your Support #Duduumendez #Duduu_mendez #Duduu_mendez_backup > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1 ▶︎ ●────────── 0:41
More Results