Upgrade to Pro

  • Kila la heri @SimbaSCTanzania kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

    @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu
    Kila la heri @SimbaSCTanzania kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika. @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu
    Like
    2
    1 Comments ·52 Views
  • Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

    @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Like
    2
    2 Comments ·48 Views
  • "INJINI MOJA YA BOEING787 DREAMLINER INASUKUMA TANI MOJA NA ROBO YA HEWA KWA SEKUNDE IKIWA KATIKA 'FULL POWER'
    (Hesabu inasema, inachukua takribani miezi isiyopungua mitatu kwa binaadam wa kawaida kutumia kiwango hiki cha hewa)

    Leo si vibaya kama tukifahamu juu juu kuhusu aina ya injini za ndege ili kila mmoja wetu asibaki nyuma sana.

    Zipo ndege zenye injini 1,2,3,4,6 hadi 8 katika ndege moja.
    Ndege nyingi zinaendeshwa na injini za aina 2 kwa muonekano tuliozoea.

    (1)-Injini za Jeti (Zenye mfano wa pipa lililolazwa)

    (2)-Injini za Propeller (Maarufu Mapangaboi)

    1> MFUMO WA INJINI ZA JETI
    Huu umegawanyika kutokana na 'modification' ya ufanisi na matumizi yake ambazo pia zipo katika makundi mbalimbali mfano,

    *Turbojet 'PureJet'(Mfumo wa ndege nyingi za awali)

    *Turbofan(Mfumo wa ndege nyingi za sasa)

    *Turboshaft(Mfumo wa baadhi ya ndege za sasa mfano Helicopter n.k

    *Scramjet.(Mfumo ulio katika ndege za majaribio za mwendokasi mara nyingi ufanisi wake uanzia mara tano ya kasi ya sauti 'Hypersonic')

    Injini za jeti zinafanya kazi kwa:

    1-Kunyonya hewa mbele (suck)
    2-Kukandamiza (compression)
    3-Kulipua hewa iliyokandamizwa kwa kuchanganya na mafuta(Ignition)
    4-Kisha inatoka/kupulizwa nyuma kwa kasi kubwa na kuisukuma ndege mbele.(Thrust)
    Mfano mzuri kazi ya injini hizi ni kama Puto lililopulizwa na kuachiwa hewani pasipo kuzibwa mdomo wake.(Action and reaction)

    Ndege nyingi za kisasa zinatumia injini aina ya 'Turbofan' (Gas driven) katika kundi la jeti ambazo zinasemakana kuwa na nguvu kubwa na ulaji mdogo wa mafuta.
    (Unaweza kutambua injini hizi kwa haraka kwa kuona feni kubwa lililo mbele ya injini kwa ndani kidogo..usifananishe na mapangaboi)

    Injini za 'Turbojet/Purejet' ambazo moja kwa moja zinanyonya hewa mbele zinakandamiza,kulipua na kuitoa hewa moja ya moto kwa kasi nyuma ambayo ndiyo nguvu pekee inayosukuma ndege kwenda mbele, hutumia mafuta mengi kuliko
    Injini ya 'Turbofan' ambayo ni tofauti kidogo kwani feni lake linavuta na kusukuma hewa mbili nyuma huku hewa ya kwanza ikiwa ile inayoingia kwenye mfumo wa ndani ya injini ambayo unyonywa,kukandamizwa na kulipuliwa na hewa ya pili ni pale hewa ya kwanza iliyolipuliwa kabla ya kufika nje inazungusha visahani maalum 'turbine' zilizoungwa na 'shaft' kwenda kwenye feni lake mbele ambapo huzunguka pamoja na feni na kufanya livute na kusukuma nyuma hewa ya pili yenye nguvu zaidi inayopita nje ya mfumo wa injini(Bypass air) hivyo kuleta nguvu zaidi kwa kutumia mafuta kidogo.

    2-MFUMO WA INJINI ZA MAPANGABOI
    Mapangaboi au 'Propeller'nazo zinafanya kazi kwa kutumia mapanga yake kuchota hewa mbele na kuisukuma nyuma kwa kasi na kuifanya ndege kwenda mbele.

    *Pangaboi linaweza kuwa linazungushwa na 'propeller' iliyoungwa na piston za injini,

    *Au kwa mapangaboi yenye injini ya 'turbo' (turbopropeller)yanazungushwa na hewa iliyolipuliwa (hii aina ya jeti engine yenye mapangaboi)kupitia visahani 'turbine' vilivyo ungwa na propela ya mapangaboi kupitia mfumo wa gear(Geared turboprop)au yanayozunguka kupitia mkandamizo 'pressure' ya hewa iliyolipuliwa pasipo kuungana na chochote (free turbine).

    *Pia 'turboshaft' Mapangaboi yanayozungushwa na hewa iliyolipuliwa kupitia visahani 'turbine' vilivyoungana na propela ya mapangaboi moja kwa moja,pia yaweza kuwa 'Geared' au ila si 'free turbine'

    Mifumo ya injini za kisasa ya mapangaboi inafanya kazi sawa na jeti (Ukiacha za piston)katika mfumo wa ufuaji wa nishati na kuzitofautisha tu katika muonekano wa nje wa injini.

    Injini zenye mfumo ya jeti ni fanisi zaidi kwa ndege zinazopaa anga za juu ambapo hewa ni hafifu,masafa marefu na mwendokasi hasa unaozidi spidi ya sauti 'supersonic'
    Wakati,
    Injini za mfumo wa Mapangaboi ni fanisi zaidi katika mwendo ulio chini ya spidi ya sauti 'subsonic',anga za chini na kati na masafa mafupi kwenda ya kati.

    Tukumbuke pia injini za ndege hazina mahusiano wala kiunganishi chochote na tairi za ndege.
    Tairi za ndege ni 'freewheel' na zimeunganishwa na mfumo wa 'brake' na kona tu.
    Hakuna kinachozungusha tairi kutoka kwenye injini bali zinafuata uelekeo wa kule ndege inaposukumwa.

    Crdts: Online,Aero book,wikimedia.
    "INJINI MOJA YA BOEING787 DREAMLINER INASUKUMA TANI MOJA NA ROBO YA HEWA KWA SEKUNDE IKIWA KATIKA 'FULL POWER' (Hesabu inasema, inachukua takribani miezi isiyopungua mitatu kwa binaadam wa kawaida kutumia kiwango hiki cha hewa) Leo si vibaya kama tukifahamu juu juu kuhusu aina ya injini za ndege ili kila mmoja wetu asibaki nyuma sana. Zipo ndege zenye injini 1,2,3,4,6 hadi 8 katika ndege moja. Ndege nyingi zinaendeshwa na injini za aina 2 kwa muonekano tuliozoea. (1)-Injini za Jeti (Zenye mfano wa pipa lililolazwa) (2)-Injini za Propeller (Maarufu Mapangaboi) 1> MFUMO WA INJINI ZA JETI Huu umegawanyika kutokana na 'modification' ya ufanisi na matumizi yake ambazo pia zipo katika makundi mbalimbali mfano, *Turbojet 'PureJet'(Mfumo wa ndege nyingi za awali) *Turbofan(Mfumo wa ndege nyingi za sasa) *Turboshaft(Mfumo wa baadhi ya ndege za sasa mfano Helicopter n.k *Scramjet.(Mfumo ulio katika ndege za majaribio za mwendokasi mara nyingi ufanisi wake uanzia mara tano ya kasi ya sauti 'Hypersonic') Injini za jeti zinafanya kazi kwa: 1-Kunyonya hewa mbele (suck) 2-Kukandamiza (compression) 3-Kulipua hewa iliyokandamizwa kwa kuchanganya na mafuta(Ignition) 4-Kisha inatoka/kupulizwa nyuma kwa kasi kubwa na kuisukuma ndege mbele.(Thrust) Mfano mzuri kazi ya injini hizi ni kama Puto lililopulizwa na kuachiwa hewani pasipo kuzibwa mdomo wake.(Action and reaction) Ndege nyingi za kisasa zinatumia injini aina ya 'Turbofan' (Gas driven) katika kundi la jeti ambazo zinasemakana kuwa na nguvu kubwa na ulaji mdogo wa mafuta. (Unaweza kutambua injini hizi kwa haraka kwa kuona feni kubwa lililo mbele ya injini kwa ndani kidogo..usifananishe na mapangaboi) Injini za 'Turbojet/Purejet' ambazo moja kwa moja zinanyonya hewa mbele zinakandamiza,kulipua na kuitoa hewa moja ya moto kwa kasi nyuma ambayo ndiyo nguvu pekee inayosukuma ndege kwenda mbele, hutumia mafuta mengi kuliko Injini ya 'Turbofan' ambayo ni tofauti kidogo kwani feni lake linavuta na kusukuma hewa mbili nyuma huku hewa ya kwanza ikiwa ile inayoingia kwenye mfumo wa ndani ya injini ambayo unyonywa,kukandamizwa na kulipuliwa na hewa ya pili ni pale hewa ya kwanza iliyolipuliwa kabla ya kufika nje inazungusha visahani maalum 'turbine' zilizoungwa na 'shaft' kwenda kwenye feni lake mbele ambapo huzunguka pamoja na feni na kufanya livute na kusukuma nyuma hewa ya pili yenye nguvu zaidi inayopita nje ya mfumo wa injini(Bypass air) hivyo kuleta nguvu zaidi kwa kutumia mafuta kidogo. 2-MFUMO WA INJINI ZA MAPANGABOI Mapangaboi au 'Propeller'nazo zinafanya kazi kwa kutumia mapanga yake kuchota hewa mbele na kuisukuma nyuma kwa kasi na kuifanya ndege kwenda mbele. *Pangaboi linaweza kuwa linazungushwa na 'propeller' iliyoungwa na piston za injini, *Au kwa mapangaboi yenye injini ya 'turbo' (turbopropeller)yanazungushwa na hewa iliyolipuliwa (hii aina ya jeti engine yenye mapangaboi)kupitia visahani 'turbine' vilivyo ungwa na propela ya mapangaboi kupitia mfumo wa gear(Geared turboprop)au yanayozunguka kupitia mkandamizo 'pressure' ya hewa iliyolipuliwa pasipo kuungana na chochote (free turbine). *Pia 'turboshaft' Mapangaboi yanayozungushwa na hewa iliyolipuliwa kupitia visahani 'turbine' vilivyoungana na propela ya mapangaboi moja kwa moja,pia yaweza kuwa 'Geared' au ila si 'free turbine' Mifumo ya injini za kisasa ya mapangaboi inafanya kazi sawa na jeti (Ukiacha za piston)katika mfumo wa ufuaji wa nishati na kuzitofautisha tu katika muonekano wa nje wa injini. Injini zenye mfumo ya jeti ni fanisi zaidi kwa ndege zinazopaa anga za juu ambapo hewa ni hafifu,masafa marefu na mwendokasi hasa unaozidi spidi ya sauti 'supersonic' Wakati, Injini za mfumo wa Mapangaboi ni fanisi zaidi katika mwendo ulio chini ya spidi ya sauti 'subsonic',anga za chini na kati na masafa mafupi kwenda ya kati. Tukumbuke pia injini za ndege hazina mahusiano wala kiunganishi chochote na tairi za ndege. Tairi za ndege ni 'freewheel' na zimeunganishwa na mfumo wa 'brake' na kona tu. Hakuna kinachozungusha tairi kutoka kwenye injini bali zinafuata uelekeo wa kule ndege inaposukumwa. Crdts: Online,Aero book,wikimedia.
    ·102 Views
  • TUJIKUMBUSHE MATUMIZI YA KALAMU KWA KUFUATA RANGI

    Nakuja tu na maswali chokonozi

    1. Hivi ni Kwa Nini Waalimu wanatumia kalamu ya rangi nyekundu na si bluu kama wanafunzi?

    2. Ni Kwa Nini pia Maraisi ndio Huandikia peni nyekundu?
    Kwa nini Wakaguzi aghalabu wa Hesabu hutumia peni ya kijani?
    3. Vipi Kuhusu Kalamu Nyeusi?

    nauliza hivi kwa sababu hizi rangi ukigeukia muktadha mwingine zinamaana tofauti sana mfano wengine husema unapotumia kalamu nyeusi inaa maana unatengeneza pesa na bluu maana yake unapoteza pesa ilihali nyekundu ikielekezwa zaidi kwenye mikosi

    MAJADILIANO COMPILED

    RANGI ZA KALAMU NA MATUMIZI YAKE .......@@!!!

    Mara Nyingi sana tumekuwa tukitumia pen bila kujipa angalizo fulani hivi ama kujua mantiki yake ..................

    1. Kalamu ya rangi ya Samawi/samawati (Bluu) ndiyo maarufu kutumika na wengi na hasa kwenye official document za kawaida (not mandated or authentic)
    We basically have two choices when it comes to pens: black or blue. Unless you are a teacher in which case you get to use red as well........."Of course blue pens. Because they contrast better with the documents you're writing on..................The modern tradition is THAT only blue ink for all in Government.

    2. Kalamu Nyeusi aghalabu hutumika kwenye miamala ya Kibiashara zaidi............."Black edges it on the grounds that it looks more professional and is a legal requirement for signing legal documents and form-filling............."Some entities are now requiring signatures in blue ink in order to differentiate the original from a copy.......Black ink is used ( where bold remarks are needed ) for business deals, display credit in a bank statement, headings etc.

    3. Kalamu Nyekundu Aghalabu Hutumiwa na wenye Mamlaka Katika Kusaini Official Documents na hasa Sheria na Hati fulani fulani na mara nyingi anayeruhusiwa kutumia kalamu nyekundu ni Mh Rais na Waalimu katika kujitofautisha na wanafunzi na kuweka msisitizo zaidi kwenye masahihisho ingawa utafiti uliofanywa Marekani umewezesha kupelekea kupigwa marufuku kwa kalamu nyekundu kwa wanafunzi kutokana na wengi kutaarifu kwamba zinawatisha (psychological trauma)
    http://www.dailymail.co.uk/news/article-2263874/Teachers-shouldnt-use-red-coloured-pens-mark-homework-like-shouting-upsets-pupils.html

    4. Kalamu ya Chanikiwiti (KIJANI) inatakiwa kutumiwa na Wakaguzi na hasa wa HESABU, aghalabu Peni ya kijani hutumiwa pia na Mawaziri...Majaji....ma RCs na Kamishna wa kiapo...aghalabu wataalamu wa dawa/wafamasia pia hutumia kalamu ya kijani .....Green ink is used by very senior bureaucrats as well as Ministers to sign files indicating their approval....also green color pen are used by Managers, gazetted officers, Judges and big people. Green testifies the high position and no one can question the authenticity when signed by the green color.

    5. Kimsingi na KISHERIA, UNATAKIWA KILA MTU KUWA NA PENI MAALUM YA SIGNATURE. tumewahi kupata kesi ya mtu ambaye saini yake ilidukuliwa na yeye kukiri dhahiri shari kwamba ni saini yake kabisaaaa ila kwenye utetezi akasema kwamba peni iliyotumika siyo peni yake kwani ana peni maalum ya kuweka saini nyaraka zake zote za kisheria
    https://keetonsonline.wordpress.com/2013/02/18/how-to-choose-the-right-pen/

    6. Si salama sana kutumia kalamu nyeusi kwenye maandishi meusi, kisheria hiyo ni kopi na si halisi, jitahidi sana kutumia kalamu ya bluu kwenye maandishi meusi na hasa typed (Many copiers are so good now that black ink can look like part of a photocopy."-

    7. Ball Pen ndiyo offical pen kwa nchi nyingi duniani. kumbuka Kama unatumia 'jel pen' basi ukitumia 'ball pen' mwandiko 'kitaalamu' unatofautiana (hasa kama kalamu hizo zikiwa na ukubwa wa maandishi unaotofautiana.)
    "bic, speedo, cello, etc" ndio ballpoint pens.Na jell pens ni kama zile kalamu za zamani za kuchovya wino "tulikuwa tunaziita fountain - ambazo siku hizi zimeboreshwa zinawekewa wino.

    8. Kuna Baadhi ya nchi;
    i. mwanafunz unaruhusiwa kuandika kwa penseli na kalamu ya rangi yeyote ile (bluu, kijani, nyekundu, nk).

    ii. Hawaruhusu kuweka sahihi (signature) kwa kalamu ya rangi nyingine yeyote ile isipokuwa 'bluu'. Kuna sehemu zingine hata kujaza fomu iliyochapwa ni lazima utumie kalamu ya rangi ya bluu......kalamu ya bluu ndiyo inayotambulika duniani kote (official pen)

    iii. Wanatumia kalamu nyekundu kuandika jina la mtu aliyefariki (marehemu). Yaani hairuhusiwi na huwezi kuandika jina la mtu aliyehai kwa kalamu nyekundu.Mathalani ukiwa Ureno na unatumia kalamu nyekundu unahesabika ni mkaidi ama mleta mikosi ( It's considered rude to write in red ink in Portugal.)

    iv: Jeshi la Marekani utatumia rangi kulingana na wadhifa (rank) wako Jeshini
    In US Navy there is a long tradition of prescribed ink colors for officers - blue color for officers, black color for departmental heads, green color for Executive officers and red color for commanding officers.

    v. Huko Ujerumani, rangi ya Hudhurungi (Brown) hutumika kuweka saini HUKUMU YA KIFO ILIHALI huko Pakistan wao hutumia kalamu nyekundu kwa lengo hilohilo-Brown color ink is used to sign death warrants in Germany and red color ink was used for same purpose in Pakistan.

    mfano nchi ya Australia officials pen ni NYEUSI TU! hata baadh ya benki hapa kwetu mfano NBC official pen ni nyeusi ingawa pia si salama sana kisheria .....NMB official ink ni blue,kwa documents zao....tofauti na hapo....hupokelewi.
    Exim.....nyeusi na blue, CRDB.....Blue ama nyeusi; nyekundu, kwa wenye uoni hafifu na maafisa wa benki hasa kuthibitisha nyaraka
    TUJIKUMBUSHE MATUMIZI YA KALAMU KWA KUFUATA RANGI Nakuja tu na maswali chokonozi 1. Hivi ni Kwa Nini Waalimu wanatumia kalamu ya rangi nyekundu na si bluu kama wanafunzi? 2. Ni Kwa Nini pia Maraisi ndio Huandikia peni nyekundu? Kwa nini Wakaguzi aghalabu wa Hesabu hutumia peni ya kijani? 3. Vipi Kuhusu Kalamu Nyeusi? nauliza hivi kwa sababu hizi rangi ukigeukia muktadha mwingine zinamaana tofauti sana mfano wengine husema unapotumia kalamu nyeusi inaa maana unatengeneza pesa na bluu maana yake unapoteza pesa ilihali nyekundu ikielekezwa zaidi kwenye mikosi MAJADILIANO COMPILED RANGI ZA KALAMU NA MATUMIZI YAKE .......@@!!! Mara Nyingi sana tumekuwa tukitumia pen bila kujipa angalizo fulani hivi ama kujua mantiki yake .................. 1. Kalamu ya rangi ya Samawi/samawati (Bluu) ndiyo maarufu kutumika na wengi na hasa kwenye official document za kawaida (not mandated or authentic) We basically have two choices when it comes to pens: black or blue. Unless you are a teacher in which case you get to use red as well........."Of course blue pens. Because they contrast better with the documents you're writing on..................The modern tradition is THAT only blue ink for all in Government. 2. Kalamu Nyeusi aghalabu hutumika kwenye miamala ya Kibiashara zaidi............."Black edges it on the grounds that it looks more professional and is a legal requirement for signing legal documents and form-filling............."Some entities are now requiring signatures in blue ink in order to differentiate the original from a copy.......Black ink is used ( where bold remarks are needed ) for business deals, display credit in a bank statement, headings etc. 3. Kalamu Nyekundu Aghalabu Hutumiwa na wenye Mamlaka Katika Kusaini Official Documents na hasa Sheria na Hati fulani fulani na mara nyingi anayeruhusiwa kutumia kalamu nyekundu ni Mh Rais na Waalimu katika kujitofautisha na wanafunzi na kuweka msisitizo zaidi kwenye masahihisho ingawa utafiti uliofanywa Marekani umewezesha kupelekea kupigwa marufuku kwa kalamu nyekundu kwa wanafunzi kutokana na wengi kutaarifu kwamba zinawatisha (psychological trauma) http://www.dailymail.co.uk/news/article-2263874/Teachers-shouldnt-use-red-coloured-pens-mark-homework-like-shouting-upsets-pupils.html 4. Kalamu ya Chanikiwiti (KIJANI) inatakiwa kutumiwa na Wakaguzi na hasa wa HESABU, aghalabu Peni ya kijani hutumiwa pia na Mawaziri...Majaji....ma RCs na Kamishna wa kiapo...aghalabu wataalamu wa dawa/wafamasia pia hutumia kalamu ya kijani .....Green ink is used by very senior bureaucrats as well as Ministers to sign files indicating their approval....also green color pen are used by Managers, gazetted officers, Judges and big people. Green testifies the high position and no one can question the authenticity when signed by the green color. 5. Kimsingi na KISHERIA, UNATAKIWA KILA MTU KUWA NA PENI MAALUM YA SIGNATURE. tumewahi kupata kesi ya mtu ambaye saini yake ilidukuliwa na yeye kukiri dhahiri shari kwamba ni saini yake kabisaaaa ila kwenye utetezi akasema kwamba peni iliyotumika siyo peni yake kwani ana peni maalum ya kuweka saini nyaraka zake zote za kisheria https://keetonsonline.wordpress.com/2013/02/18/how-to-choose-the-right-pen/ 6. Si salama sana kutumia kalamu nyeusi kwenye maandishi meusi, kisheria hiyo ni kopi na si halisi, jitahidi sana kutumia kalamu ya bluu kwenye maandishi meusi na hasa typed (Many copiers are so good now that black ink can look like part of a photocopy."- 7. Ball Pen ndiyo offical pen kwa nchi nyingi duniani. kumbuka Kama unatumia 'jel pen' basi ukitumia 'ball pen' mwandiko 'kitaalamu' unatofautiana (hasa kama kalamu hizo zikiwa na ukubwa wa maandishi unaotofautiana.) "bic, speedo, cello, etc" ndio ballpoint pens.Na jell pens ni kama zile kalamu za zamani za kuchovya wino "tulikuwa tunaziita fountain - ambazo siku hizi zimeboreshwa zinawekewa wino. 8. Kuna Baadhi ya nchi; i. mwanafunz unaruhusiwa kuandika kwa penseli na kalamu ya rangi yeyote ile (bluu, kijani, nyekundu, nk). ii. Hawaruhusu kuweka sahihi (signature) kwa kalamu ya rangi nyingine yeyote ile isipokuwa 'bluu'. Kuna sehemu zingine hata kujaza fomu iliyochapwa ni lazima utumie kalamu ya rangi ya bluu......kalamu ya bluu ndiyo inayotambulika duniani kote (official pen) iii. Wanatumia kalamu nyekundu kuandika jina la mtu aliyefariki (marehemu). Yaani hairuhusiwi na huwezi kuandika jina la mtu aliyehai kwa kalamu nyekundu.Mathalani ukiwa Ureno na unatumia kalamu nyekundu unahesabika ni mkaidi ama mleta mikosi ( It's considered rude to write in red ink in Portugal.) iv: Jeshi la Marekani utatumia rangi kulingana na wadhifa (rank) wako Jeshini In US Navy there is a long tradition of prescribed ink colors for officers - blue color for officers, black color for departmental heads, green color for Executive officers and red color for commanding officers. v. Huko Ujerumani, rangi ya Hudhurungi (Brown) hutumika kuweka saini HUKUMU YA KIFO ILIHALI huko Pakistan wao hutumia kalamu nyekundu kwa lengo hilohilo-Brown color ink is used to sign death warrants in Germany and red color ink was used for same purpose in Pakistan. mfano nchi ya Australia officials pen ni NYEUSI TU! hata baadh ya benki hapa kwetu mfano NBC official pen ni nyeusi ingawa pia si salama sana kisheria .....NMB official ink ni blue,kwa documents zao....tofauti na hapo....hupokelewi. Exim.....nyeusi na blue, CRDB.....Blue ama nyeusi; nyekundu, kwa wenye uoni hafifu na maafisa wa benki hasa kuthibitisha nyaraka
    Like
    2
    ·189 Views
  • Nimewahi onekana msumbufu kwake, wiki moja baada ya kuniambia ahsante kwa kunijali.

    Nilikuwa mstari wa mbele kwenye matatizo yake yanayohusu pesa, bila kujali umaskini wangu.

    Nilimpenda sana yule mwanamke, aliyewahi niomba nisichoweza kukimudu, ili anikasirikie.

    Kwangu haikuwa blue ticks zisizojibiwa, wala block, alikosa kabisa, muda wa kufungua jumbe nilizomtumia, licha ya kuwa online muda wote.

    Kuna siku aliniahidi kuja, halafu akanizimia simu, dakika chache baada ya kumtumia nauli.

    Hadi nikaitwa kitenzi king'ang'anizi, zilipokuja dalili za wazi, kuwa sitakiwi na yeye.

    Aliyesema mapenzi upofu, ni kama alitaka nisione nafasi yangu kwenye dharau zake.

    Corabo ya dunia isiyonihitaji, na shetani aliyefanikiwa, ikaniaminisha nipo sahihi, ili nizidi kupotea.

    Huzuni ikawa kurasa ya kwanza, kwenye daftari lililoandikwa ninavyostahili.

    Kabla yakuwa single, ilikuwa ngumu kuamini kama naweza kuishi bila yeye.

    Baada ya kuvipa onyo viungo vyangu vya uzazi, siku hizi upweke umekuwa rafiki anayeongozana na mimi kila mahali, nainjoi.

    Mwambieni nimemsamehe Farashuu, maana nikisema nilipize hastahili kuishi, ila msimtaje mbele yangu.

    N.B, Hii Haina uhusiano wowote na mwandishi

    #neliudcosiah
    Nimewahi onekana msumbufu kwake, wiki moja baada ya kuniambia ahsante kwa kunijali. Nilikuwa mstari wa mbele kwenye matatizo yake yanayohusu pesa, bila kujali umaskini wangu. Nilimpenda sana yule mwanamke, aliyewahi niomba nisichoweza kukimudu, ili anikasirikie. Kwangu haikuwa blue ticks zisizojibiwa, wala block, alikosa kabisa, muda wa kufungua jumbe nilizomtumia, licha ya kuwa online muda wote. Kuna siku aliniahidi kuja, halafu akanizimia simu, dakika chache baada ya kumtumia nauli. Hadi nikaitwa kitenzi king'ang'anizi, zilipokuja dalili za wazi, kuwa sitakiwi na yeye. Aliyesema mapenzi upofu, ni kama alitaka nisione nafasi yangu kwenye dharau zake. Corabo ya dunia isiyonihitaji, na shetani aliyefanikiwa, ikaniaminisha nipo sahihi, ili nizidi kupotea. Huzuni ikawa kurasa ya kwanza, kwenye daftari lililoandikwa ninavyostahili. Kabla yakuwa single, ilikuwa ngumu kuamini kama naweza kuishi bila yeye. Baada ya kuvipa onyo viungo vyangu vya uzazi, siku hizi upweke umekuwa rafiki anayeongozana na mimi kila mahali, nainjoi. Mwambieni nimemsamehe Farashuu, maana nikisema nilipize hastahili kuishi, ila msimtaje mbele yangu. N.B, Hii Haina uhusiano wowote na mwandishi 😀😀🙌🙌 #neliudcosiah
    Like
    2
    1 Comments ·239 Views
  • https://socialpop.online
    https://socialpop.online
    Love
    2
    ·240 Views
  • MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA

    Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii.

    Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake.

    Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi.

    Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono.
    Ingia Playstore Search “SocialPop”

    Download https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace

    Website https://socialpop.online/

    Posted by ptechtanzania
    MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii. Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake. Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi. Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono. Ingia Playstore Search “SocialPop” Download 👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace Website https://socialpop.online/ Posted by ptechtanzania
    PLAY.GOOGLE.COM
    SocialPop - Apps on Google Play
    Meet new friends from different parts of the world
    Like
    Love
    Yay
    4
    ·358 Views
  • JIFUNZE KUHUSU GAME GUARDIAN (GAME HACKING APP)

    $Game guadian ni app ambayo inatupa sisi uwezo wa ku weka uanvyotaka(modify)
    mifumo inayofanya kazi kwenye games za android ili kupata faida na improvement
    kinyume na inavyo takiwa .kufanya kwake kazi kuna jikita sana kwenye code injetion
    wakati game linachezwa kwa ku modfy parameters za game

    $Pale tu gamaguardian imekuwa installed unaweza ukuliacha file likawa linafanya
    kazi kwa nyuma(background)na inabaki transparent icon kwenye screen ambayo unaweza
    ukaiona wakati unacheza game wakati wote. wakati ume launch game unaweza ukafungua
    game guardian na kuchangua process ipi ya game unataka ku modify. kwa mfano kama
    una kiasi fulani cha gold,coins au bullets unaweza ukatumia game guardian hexadecimal
    editor kutafuta hiyo namba na kuibadilisha na kuweka unayoitaka wewe

    🛎$Kitu kingine kuhusu gameguardian ina uwezo wa ku modify tarehe ya game na ya simu pia
    ili wewe uweze kupata kitu fulani ambacho ulitakiwa ukisubiri kwa muda mrefu mfano ⚰⚰Gangster
    Vegas ukienda kuuza zile super cars mfululizo wanakupa kama lisaa kusubiri na hauna pa kuliweka
    gari basi hili file linaweza kuurusha muda mbele na ukamaliza mission zako .ili kusimamisha
    au kupeleka muda haraka jaribu ku bonyeza ile floating icon na uchague mwenyewe mda uende slow
    au speed

    $Hili file limetengenezwa kaajili ya cheating lakini kuna games ambazo ukijulikana unatumia
    hili file kucheat basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuipoteza account yako ya kwenye game hilo
    hasa hasa online games
    ===============================================================================================

    JINSI YA KUTUMIA GAME GUARDIAN

    $Kama file hauna basi download kwenye official website ya game guardian na wala sio pengine ili
    kujikinga na hatari ya kudownload virus

    $Baada ya kuinstall file lako lifungue alafu bonyeza home button ili kuliacha liendelee kufanya kazi
    kwa nyuma (background)

    $Anzisha game ambalo unataka ku hack , hakikisha kwamba umeandika kiasi ambacho unataka kubadilisha mfano
    kiasi cha gold au scores

    $Baada ya hapo click ile transparent icon ya game guardian kwenye screen alafu click >>search<< baada
    ya hapo ingiza kiasi unachotaka kubadilisha

    $Itaonesha results nyingi sasa cheza game na tumia gold zaidi na zaidi

    $Baada ya hapo rudia tena kuandika namba zile mpaka upate tokeo moja

    $Baada ya kupata tokeo moja badi hold hiyo results alf ingiza namba ambayo ungependa zaidi iwe

    basi mambo yatabadilika baada ya wewe kubonyeza OK na hii ndio njia nzima ya ku hack game kwa kutumia game guardian
    ili kupata free rewards pia kuna files nyingi kama vile lucky patcher,aimbots,wallhacks,speed hacks, na hizi sana sana
    zinatumika kwenye games kama vile PUBG

    ======================================================================================================================
    🏁🎭 JIFUNZE KUHUSU GAME GUARDIAN (GAME HACKING APP)🎭🎭 ⏰⏰$Game guadian ni app ambayo inatupa sisi uwezo wa ku weka uanvyotaka(modify) mifumo inayofanya kazi kwenye games za android ili kupata faida na improvement kinyume na inavyo takiwa .kufanya kwake kazi kuna jikita sana kwenye code injetion wakati game linachezwa kwa ku modfy parameters za game 🕑🕑🕑$Pale tu gamaguardian imekuwa installed unaweza ukuliacha file likawa linafanya kazi kwa nyuma(background)na inabaki transparent icon kwenye screen ambayo unaweza ukaiona wakati unacheza game wakati wote. wakati ume launch game unaweza ukafungua game guardian na kuchangua process ipi ya game unataka ku modify. kwa mfano kama una kiasi fulani cha gold,coins au bullets unaweza ukatumia game guardian hexadecimal editor kutafuta hiyo namba na kuibadilisha na kuweka unayoitaka wewe 🛎🛀$Kitu kingine kuhusu gameguardian ina uwezo wa ku modify tarehe ya game na ya simu pia ili wewe uweze kupata kitu fulani ambacho ulitakiwa ukisubiri kwa muda mrefu mfano ⚰⚰⌚⏳Gangster Vegas ukienda kuuza zile super cars mfululizo wanakupa kama lisaa kusubiri na hauna pa kuliweka gari basi hili file linaweza kuurusha muda mbele na ukamaliza mission zako .ili kusimamisha au kupeleka muda haraka jaribu ku bonyeza ile floating icon na uchague mwenyewe mda uende slow au speed 🚜 🚜🚜$Hili file limetengenezwa kaajili ya cheating lakini kuna games ambazo ukijulikana unatumia hili file kucheat basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuipoteza account yako ya kwenye game hilo hasa hasa online games =============================================================================================== ⚓⚓ JINSI YA KUTUMIA GAME GUARDIAN⛽⛽ 🚧 🚧🚧 $Kama file hauna basi download kwenye official website ya game guardian na wala sio pengine ili kujikinga na hatari ya kudownload virus 🚔🚔$Baada ya kuinstall file lako lifungue alafu bonyeza home button ili kuliacha liendelee kufanya kazi kwa nyuma (background) 🙄🙄$Anzisha game ambalo unataka ku hack , hakikisha kwamba umeandika kiasi ambacho unataka kubadilisha mfano kiasi cha gold au scores 🤗🤗$Baada ya hapo click ile transparent icon ya game guardian kwenye screen alafu click >>search<< baada ya hapo ingiza kiasi unachotaka kubadilisha 😎😎 $Itaonesha results nyingi sasa cheza game na tumia gold zaidi na zaidi 🤔🤔$Baada ya hapo rudia tena kuandika namba zile mpaka upate tokeo moja 😐😐 $Baada ya kupata tokeo moja badi hold hiyo results alf ingiza namba ambayo ungependa zaidi iwe basi mambo yatabadilika baada ya wewe kubonyeza 😣OK na hii ndio njia nzima ya ku hack game kwa kutumia game guardian ili kupata free rewards pia kuna files nyingi kama vile lucky patcher,aimbots,wallhacks,speed hacks, na hizi sana sana zinatumika kwenye games kama vile PUBG ======================================================================================================================
    Like
    1
    ·426 Views
  • 𝗣𝗮𝘁𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘆𝗮 𝗻𝗶𝗱𝗮 𝗢𝗻𝗹𝗶𝗻𝗲

    Mamlaka ya vitambulisho vya taifa Tanzania (nida) unajua ina tovuti ambayo itakusaidia kuweza kufanya usajili online ya kupata namba ya nida kupitia simu au kompyuta.

    Sio lazima Tena mtu atembelee kituo cha nida kwa ajili ya kujisajili kupata kitambulisho cha taifa  unaweza kujisajili Mahali popote ulipo na kupunguza msongamano wa kutembelea kituo cha Nida.

    Unachotakiwa ni kutembelea tovuti hii

    eonline.nida.go.tz

    kupitia simu au kompyuta yako utaweza kujisajili kupitia fomu na kuweka taarifa zako sahihi ukimaliza inabidi hu print form yako uliyojaza.

    Kisha utaweza kuchukua form na kupeleka serekali za mtaa kuthibitisha taarifa za ukaaji wa eneo unaloishi alafu utaweza kutuma taarifa zako kwenye ofisi za Nida pamoja na nakala zako Ili kukamilisha utaratibu.

    @
    𝗣𝗮𝘁𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘆𝗮 𝗻𝗶𝗱𝗮 𝗢𝗻𝗹𝗶𝗻𝗲 💭 Mamlaka ya vitambulisho vya taifa Tanzania (nida) unajua ina tovuti ambayo itakusaidia kuweza kufanya usajili online ya kupata namba ya nida kupitia simu au kompyuta. 💭 Sio lazima Tena mtu atembelee kituo cha nida kwa ajili ya kujisajili kupata kitambulisho cha taifa  unaweza kujisajili Mahali popote ulipo na kupunguza msongamano wa kutembelea kituo cha Nida. Unachotakiwa ni kutembelea tovuti hii 👇 eonline.nida.go.tz 💭 kupitia simu au kompyuta yako utaweza kujisajili kupitia fomu na kuweka taarifa zako sahihi ukimaliza inabidi hu print form yako uliyojaza. 💭 Kisha utaweza kuchukua form na kupeleka serekali za mtaa kuthibitisha taarifa za ukaaji wa eneo unaloishi alafu utaweza kutuma taarifa zako kwenye ofisi za Nida pamoja na nakala zako Ili kukamilisha utaratibu. @
    Like
    1
    ·86 Views
  • Best Password Managers Online

    1. LastPass:
       - URL: https://www.lastpass.com/
       - Description: Securely manage and store passwords with LastPass.

    2. Dashlane:
       - URL: https://www.dashlane.com/
       - Description: User-friendly password manager with secure storage and digital wallet.

    3. 1Password:
       - URL: https://1password.com/
       - Description: Robust password manager for creating and managing secure passwords.

    4. Bitwarden:
       - URL: https://bitwarden.com/
       - Description: Open-source password manager for secure storage and syncing.

    5. Keeper:
       - URL: https://keepersecurity.com/
       - Description: Password manager with strong encryption and biometric login options.
    🦇Best Password Managers Online 🦇 1. LastPass:    - URL: https://www.lastpass.com/    - Description: Securely manage and store passwords with LastPass. 2. Dashlane:    - URL: https://www.dashlane.com/    - Description: User-friendly password manager with secure storage and digital wallet. 3. 1Password:    - URL: https://1password.com/    - Description: Robust password manager for creating and managing secure passwords. 4. Bitwarden:    - URL: https://bitwarden.com/    - Description: Open-source password manager for secure storage and syncing. 5. Keeper:    - URL: https://keepersecurity.com/    - Description: Password manager with strong encryption and biometric login options.
    WWW.LASTPASS.COM
    #1 Password Manager & Vault App with Single-Sign On & MFA Solutions - LastPass
    Go beyond saving passwords with the best password manager! Generate strong passwords and store them in a secure vault. Now with single-sign on (SSO) and adaptive MFA solutions that integrate with over 1,200 apps.
    Like
    3
    ·182 Views
  • *BACK TOBUSSNESS *


    *na rudia tena, mtaji ni 12,500 tuu unalipia mala moja🫰baada ya hapo unaanza zakokujitengenezea pesa online bila kuuliza hapa2024pesaaaa*



    *🫵🏻 U'R WELCOME*
    *🪀🪀🥏BACK TO💵💸✅BUSSNESS 🙏* *💵📌🥏✍️❤️na rudia tena, mtaji ni 12,500 tuu 🪀♻️✅💸unalipia mala moja🫰🖐️💵baada ya hapo unaanza zako📲🙉👉🙌👻💵💸🖐️kujitengenezea pesa online bila kuuliza hapa🪀✅✅2024pesaaaa* *♻️🥏✅🙌🫵🏻 U'R WELCOME🤌*
    Like
    2
    4 Comments ·307 Views
  • Usikose kutazama kipindi cha Sports Online kila siku kuanzia 11:00 jioni mpaka saa 20:00 usiku pale darleo24TV kuipata darleo fuata link na Usubscribe htts://www.youtube.com/@darleo255
    Usikose kutazama kipindi cha Sports Online kila siku kuanzia 11:00 jioni mpaka saa 20:00 usiku pale darleo24TV kuipata darleo fuata link na Usubscribe htts://www.youtube.com/@darleo255
    Like
    Love
    4
    ·372 Views
  • MOVIE KALI SANA HII
    Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie

    ipo iliyotafsiliwa
    Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm

    #HFilam #Socialpop #Online
    MOVIE KALI SANA HII Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie ipo iliyotafsiliwa Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm #HFilam #Socialpop #Online
    Like
    5
    6 Comments ·838 Views ·135 Views ·1 Shares
  • Hii movie Inatizamwa na watuwazima tyu
    Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie

    ipo iliyotafsiliwa na isiyotafsiliwa ...
    Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm

    #HFilam #Socialpop #Online
    Hii movie Inatizamwa na watuwazima tyu Ni single movie , Je Ungependa Kutizama Full Movie ipo iliyotafsiliwa na isiyotafsiliwa ... Tufate Telegram https://t.me/dj_hxm #HFilam #Socialpop #Online
    Like
    Love
    6
    11 Comments ·762 Views ·183 Views
  • Kwani online kitugani
    Kwani online kitugani
    ·188 Views
  • Shida sio kutukana tatizo unanitukania online
    Shida sio kutukana tatizo unanitukania online
    ·211 Views
  • Online nimerudi
    Online nimerudi
    Like
    1
    1 Comments ·192 Views
  • https://socialpop.online/posts/6733
    https://socialpop.online/posts/6733
    SOCIALPOP.ONLINE
    Social Pop - NOTICE TO THE PUBLIC We would like to remind you that...
    NOTICE TO THE PUBLIC We would like to remind you that it is a criminal offense to use someone's name without their permission, the law of networks warns against the use of names that are not yours and pretending to be someone famous, and when we SOCIAL POP find out that we will block your...
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·216 Views
  • Nahuku nipo #be

    https://socialpop.online/paulswai
    Nahuku nipo #be https://socialpop.online/paulswai
    Like
    Love
    5
    1 Comments ·309 Views
  • Stuka online aliekula kaliwa
    Stuka online aliekula kaliwa
    Like
    1
    1 Comments ·203 Views
More Results